Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tamko La Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini

$
0
0
Ndugu Waandishi wa Habari, Wizara yangu iliahidi kuendelea kutoa taarifa kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu hapa nchini kila wiki. Kuanzia Mwezi Agosti 2015 ugonjwa ulipoanza hapa nchini hadi tarehe 17 Januari 2016, jumla ya watu 14,105 wameugua ugonjwa huo, na kati yao watu 218 wamepoteza maisha kwa ugonjwa huu. Karibia mikoa yote ya Tanzania Bara ilikwisha

Lowassa Awapa Mtihani Mgumu Mameya wa UKAWA Dar.....Asema Atayeshindwa Kutimiza Majukumu Yake Ipaswavyo Atatimuliwa Chadema

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewakumbusha Wabunge na Mameya wa chama hicho ambao watashindwa kutekeleza vizuri majukumu yao kuwa watafukuzwa katika chama hicho. Ikumbukwe kuwa kitendo cha kutimuliwa uanachama kinaweza kupelekea mbunge au Meya kupoteza nafasi yake moja kwa moja. Lowassa

Ofisa Elimu msingi Chamwino amzaba vibao mwalimu

$
0
0
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Dk. Joyce Ndalichako ** MWALIMU wa shule ya msingi Ikombolinga, Peter Emma, ameeleza masikitiko yake ya kudhalilishwa na  Ofisa Elimu wa shule za msingi, Mohammed Msongo, wilaya Chamwino kwa kumzaba makofi mbele za walimu wenzake. Mwalimu Emma anasema udhalilishaji aliofanyiwa na Ofisa elimu huyo kwa kupigwa makofi mbele ya walimu wenzake

Askofu Pengo arudishwa tena Muhimbili

$
0
0
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amelazwa tena katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu. Jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa MNH, Neema Mwangomo, alisema Kardinali Pengo alifikishwa hospitalini hapo jana saa nne asubuhi. “Askofu aliletwa jana saa nne asubuhi na alilazwa katika kitengo chetu cha dharura ambapo madaktari

Shehena kubwa ya bidhaa za magendo yakamatwa katika bandari bubu Tanga ikitokea Zanzibar.

$
0
0
Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar.Operesheni hiyo imefanywa na Polisi 100 wakishirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama.Vyombo vilivyohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo vyote vimetaifishwa.  

Taarifa Mbalimbali Kutoka Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kuhusu Watuhumiwa wa madawa ya Kulevya, Magari ya Wizi yaliyokamatwa pamoja na Silaha

$
0
0
==>Watuhumiwa Sugu Wa Dawa Za Kulevya Kufikishwa Mahakamani Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujihusisha na mtandao wa kuuza madawa ya kulevya hapa nchini.  Watuhumiwa hawa ni miongoni mwa wauza madawa wazoefu na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu mashtaka yanayowakabili.   Watuhumiwa hao walikamatwa na kilogram 09 za

Ufisadi Ofisi ya CAG.......Yakarabati Nyumba ya Kigogo kwa Mamilioni ,Yanunua Samani, Gari kinyume na utaratibu

$
0
0
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imeingia katika kashfa nzito na kudaiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za umma. Hatua hiyo inakuja wakati Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk. John Magufuli inapambana na kudhibiti matumizi makubwa pamoja na vita dhidi ya ufisadi. Ofisi hiyo ambayo inaongozwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Juma

Dawa ya Jiko Yathibitishwa Na Mkemia Mkuu wa Serikali

$
0
0
JIKO  ni  dawa  asilia  inayo  tolewa  na  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  liitwalo  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC.  Dawa  hii  ni ya   asili  kabisa isiyo  na  kemikali  za  viwandani na   ambayo  inatibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ndani  ya  siku  thelathini. DAWA  YA  JIKO  IMETHIBITISHWA  NA  MKEMIA  MKUU  WA 

Msajili wa Vyama vya siasa awajibu BAVICHA Wanaotaka CCM Ifutiwe Usajili Kwa Ubaguzi Walioufanya Zanzibar

$
0
0
Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amejibu tamko la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) waliodai kuwa watamfungulia mashtaka endapo hatachukua hatua dhidi ya CCM ikiwa ni pamoja na kukifuta chama hicho kwa kuonesha ujumbe wa chuki na ubaguzi katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar. Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Jaji Mutungi alisema kuwa

Polisi mkoani Mwanza yakanusha kuhusika na uhalifu

$
0
0
 Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Polisi mkoani Mwanza imekanusha kuhusika na uhalifu kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini. Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Justus Kamugisha alipokuwa akizungumza ofisini kwake kuhusu tuhuma zilizotolewa juu ya Jeshi la Polisi mkoani humo kuhusika na Uhalifu.

Jukwaa La Wahariri, Saed Kubenea Watoa Onyo Kwa Nape Nnauye Kwa Kulifungia Gazeti La Mawio

$
0
0
MKURUGENZI wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea pamoja na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Absalom Kibanda wameionya serikali juu ya uamuzi wa kulifuta gazeti la MAWIO uliochukuliwa hivi karibuni. Kupitia tangazo la serikali lenye notisi namba 55, serikali ilichukua uamuzi wa kulifungia MAWIO, Januari 15, 2016 huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na

Zari na Wema Sepetu watukanana Instagram, soma walivyovuana nguo!

$
0
0
Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah. Zari aliamua kutoa ya moyoni kwa kuweka comment kwenye post yake mwenyewe baada ya matusi kutoka kwa kambi ya Wema kuzidi. “Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they

Gazeti la Jamhuri Laituhumu Familia ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kuhusika na Sakata la Uuzwaji wa UDA Kwa bei ya Kutupwa

$
0
0
Nyaraka za ukaguzi wa kina uliofanywa na kampuni ya Philip& Company imebaini kuwa  Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa rais mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ni sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Simon Group iliyonunua UDA kwa bei ya kutupwa. Taarifa kutoka katika nyaraka hizo za ukaguzi zimebainisha kuwa hesabu za mwaka 2008 za kampuni ya Simon Group zilionesha kuwa Khalifan Kikwete ni Mkurugenzi

Rais Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Israel.......Wameongea nini? Bofya Hapa

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemhakikishia Waziri Mkuu wa Israel kuwa Serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo tayari kushirikiana na kuimarisha zaidi mahusiano kati ya Tanzania na Israel katika nyanja mbalimbali ili kuleta manufaa kwa pande zote. Rais Magufuli amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Israel

Serikali Kufungua Viwanda Vya Ngozi Dar, Geita Na Shinyanga – Waziri Mkuu

$
0
0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kufungua viwanda vya kusindika ngozi kwenye mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar es Salaam ili kutoa soko kwa ngozi za wanyama wanaochinjwa kwenye machinjio ya mikoa hiyo. Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Januari 18, 2016) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Botswana kwenye kikao kilichofanyika kwenye kituo cha

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 20

Wahariri wa Mawio, MwanaHALISI waachiwa kwa dhamana

$
0
0
MHARIRI wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mhariri wa gazeti la MwanaHALISI ambaye pia ni mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa jana wameachia kwa dhamana na Jeshi la Polisi, baada ya kutimiza masharti ya dhamana hiyo. Wahariri hao walijisalimisha juzi  majira ya saa tisa jioni baada ya kupokea taarifa ya kutafutwa na jeshi la polisi kwa siku tatu na kuhojiwa kwa masaa

Mwili Wa Marehemu Leticia Nyerere Wawasili Jijini Dar Es Salaam .......Mazishi Yake Kufanyika Butiama Mkoani Mara Kesho

$
0
0
Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Leticia Nyerere aliyefariki nchini Marekani alikokuwa akitibiwa mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana jioni.  Mwili huo leo utaagwa nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Msasani  kabla ya kusafirishwa kwenda Butihama mkoani Mara kwa mazishi

Walimu Wapigwa Marufuku Kupaka Wanja

$
0
0
Serikali wilayani Geita  Mkoa wa Geita, imepiga marufuku walimu kuvaa mavazi yasiyolingana na taaluma yao na upakaji wanja na rangi ya mdomo kupita kiasi wanapokuwa kazini. Ofisa Utumishi wa Wilaya ya Geita, Thabitha Bugema alitoa amri hiyo jana wakati akizungumza na walimu wakuu wa shule za msingi na waratibu elimu kwenye kikao cha muongozo wa kutumia fedha za elimu bure zilizotolewa na

Radi Yaua watu Watatu wa Familia moja Rufiji

$
0
0
Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Mchukwi wilayani hapa Mkoa wa Pwani, wamekufa baada ya kupigwa na radi jikoni wakati mvua zikinyesha. Tukio hilo limetokea  jana jioni katika kijiji hicho. Inadaiwa kuwa radi hiyo ilianza kupiga mti uliokuwa pembezoni mwa jiko hilo kabla ya kuwaua ndugu hao. Shuhuda wa tukio hilo, Amina Tenge ambaye pia ni Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images