Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Wa Marekani, Barack Obama Amwaga Machozi Hadharani

$
0
0
Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani ili kupunguza idadi ya watu wanaoshambuliwa na kuuawa kwa Risasi nchini humo. Obama aliwaambia Wamarekani kwamba mageuzi anayoyatete  ni kwa manufaa yao wenyewe kwa kuwa yeye huu ni mwaka wake wa mwisho kukaa madarakani na wala hana mpango wa kugombea. Rais

Mwigulu Nchemba Atumbua Majipu Mengine Iringa......Awasimamisha Kazi Viongozi wa Vyama vya Msingi vya Tumbaku

$
0
0
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba amewasimamisha kazi viongozi wa vyama vya msingi vya tumbaku mkoani Iringa wanaotuhumiwa kushiriki katika ufisadi wa mkopo wa matrekta 9 kupitia mgongo wa vyama vya msingi vya wakulima wa tumbaku na kujimilikisha wenyewe. Nchemba alifikia hatua hiyo jana baada ya wakulima wa tumbaku kuwalalamikia viongozi wa vyama hivyo kwa kuwatapeli.

TRA Yavuka Lengo .......Yakusanya Trilioni 1.4 Kwa Mwezi

$
0
0
Jumla ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015. Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la wastani wa shilingi  bilioni 490 kwa mwezi ukulinganisha na wastani wa makusanyo ya kuanzia Julai hadi Novemba ambapo ,TRA ilikuwa inakusanya wastani wa shilingi bilioni 900 kwa mwezi. Takwimu hizo zimetolewa leo

Rais Magufuli Atuma Salamu za Pole kwa IGP Mangu

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba aliyepoteza maisha katika ajali ya kusombwa na mafuriko ya maji wakati akikatiza katika eneo la Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma. Katika ajali hiyo iliyotokea 03 Januari, 2016

‘Hausigeli’ Ajinyonga Kwa Mtandio

$
0
0
Mfanyakazi wa ndani anadaiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia mtandio kwenye nyumba ya mwajri wake iliyopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Iringo, Asia Temu alisema mfanyakazi huyo alijiua hivi karibuni bila ya kuacha ujumbe wowote kuhusiana na sababu za kuchukua uamuzi huo. Temu alisema tukio hilo liligundulika baada ya mtoto mdogo wa mfanyakazi huyo

TRA Yaongeza Mwezi Mmoja Usajili Wa Pikipiki

$
0
0
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016. Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema

TRA Kupambana Na Wizi Wa Kazi Za Wasanii

$
0
0
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wale wote watakaogundulika kwa wizi wa kazi za sanaa. Agizo hilo limetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari na kueleza kuwa wapo katika operesheni ya kukamata wezi wa kazi za sanaa . "Ipo  kamati ambayo inajumuisha wadau kama Bodi ya Filamu, Baraza la

TRA Yawajibu BAKWATA Waliodai Wakatoliki Wanapendelewa Kupewa Misamaha

$
0
0
TAARIFA KWA UMMA Kumekuwa na upotoshwaji kuhusu zoezi la ufuatiliaji wa matumizi ya misamaha ya kodi inayosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa wafanyabiashara, wawekezaji, Taasisi za Dini na Taasisi zisizo za kiserikali kwa maelezo kwamba TRA inazilenga baadhi ya Taasisi. Sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania inaipa Mamlaka ya kusimamia, kukagua na kuhakiki mapato ya Serikali

Wageni Wote Wanaoishi Nchini Na Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Kukamatwa - Masauni

$
0
0
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeiagiza Idara ya Uhamiaji nchini kuanza Operesheni maalum ya kuwabaini wageni walioingia na kufanya kazi ambazo sio za kitaalamu zinazoweza kufanywa na Watanzania ili kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuwaondosha. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni baada ya kutembelea Makao Makuu ya

TANESCO Yakanusha Kuuza Asilimia 49 ya Hisa Zake

$
0
0
Tunakanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la The Citizen la Januari 5, 2016 katika ukurasa wake wa 12 yenye kichwa cha habari: ‘Umma kununua asilimia 49 ya hisa za Tanesco’. Mwandishi na Mhariri wamejiandikia taarifa hiyo kwa sababu wanazozijua wao. Sehemu ya taarifa inasema: Serikali ya Tanzania ina mpango wa kuuza hisa ya Shirika la Umeme Tanzania kwa umma... Pia, sehemu nyingine

Waziri Mkuu Asema Serikali Haijaridhia Viwango Vipya Vya Nauli Ya Mabasi Yaendayo Kasi....Asema kama UDA-RT Wameshindwa Serikali Itauendesha Mradi Huo

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART). Akizungumza  leo na waandishi  wa habari, mara baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea mkoani

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Amtembelea Rais Magufuli Na Kufanya Mazungumzo Nae Ikulu Jijini Dar Es Salaam

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam.   Katika Mazungumzo hayo Rais Mstaafu Kikwete amemtakia Rais Magufuli heri ya Mwaka mpya na kumpongeza kwa uongozi mzuri.   Rais Kikwete pia amesema anaunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na Rais

Abiria 269 Wanusurika Kufa ziwa Victoria

$
0
0
ABIRIA 269 waliokuwa wakisafiri kutoka Mwanza kuelekea wilayani Bukoba, wamenusurika kufa baada ya meli ya Mv Serengeti waliokuwa wakisafiria kupata hitilafu ya injini katika ziwa Victoria. Meli ya Mv Serengeti ambayo muda sio mrefu ilitoka katika matengenezo, katikati ya mwaka jana ilipata hitilafu kama hiyo ikiwa ziwa Victoria na abiria kitendo ambacho kinaelezwa kuwapa wasiwasi

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Januari 7

"Mimi ndiye Rais Halali wa Zanzibar na Nisiposema Mimi Nitawatuma Wasaidizi wangu Kuwaeleza" - Dk Shein

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar na kutoa changamoto kwa wasioiamini Katiba hiyo kupeleka shauri hilo Mahakama Kuu ya Zanzibar ambayo ndiyo pekee yenye uwezo wa kutafsiri Katiba. Amebainisha kuwa yeye

Jumuiya Za Kiislamu Zanzibar Zapinga Uchaguzi Kurudiwa......Zamlilia Rais Magufuli Aokoe Jahazi

$
0
0
TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR (JUMAZA) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA KIISLAM ZANZIBAR KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MGOGORO WA KISIASA ZANZIBAR TAREHE 6-1-2016 KATIKA UKUMBI WA UMOJA WA WALEMAVU ***** Awali tunamshukuru Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kukutana katika hafla hii hali ya kuwa ni wazima; sala na salamu zimfikie Mtume wetu Mtukufu Muhammad (S.A.W), jamaa zake,

WAziri Simbachawene Amwagiza Mkurugenzi Wa Wa Manispaa Ya Ilala Kumsimamisha Kazi Mara Moja Kaimu Afisa Biashara Wa Manispaa Hiyo

$
0
0
 TAARIFA KWA UMMA. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene (Mb) amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kumsimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala Bw. Dennis. N. Mrema kuanzia leo tarehe 07 Januari, 2016 kwa kosa la kusababisha upotevu wa Mapato ya Serikali kutokana na urasimu wa kukusudia, mazingira ya rushwa na uzembe katika utoaji wa

Bunge Lamkingia Kifua Rais Magufuli

$
0
0
BUNGE limetoa idhini kwa mawaziri walioteuliwa na Rais John Magufuli ambao hawajala kiapo cha ubunge kushiriki shughuli za kibunge. Limesema wateule wa Rais Magufuli  katika nafasi za uwaziri ambao kwanza waliteuliwa kuwa wabunge watakula kiapo cha ubunge wakati wa mkutano wa pili wa Bunge la 11, ili kutimiza matakwa ya kikatiba na kanuni za Bunge kabla ya kuanza rasmi kutekeleza majukumu

CAG Aanza Kuwasaka Walionufaika na Mikopo Elimu ya Juu

$
0
0
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa sheria inayozitaka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu.   Hadi Mei mwaka jana, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilikuwa imekusanya Sh65.2 bilioni kati ya Sh123.8 bilioni zilizopaswa kuwa zimerejeshwa.   Bodi hiyo

Mahakama Kuu Kitengo Cha Ardhi Yazuia Jumba la Mchungaji Lwakatare Kubomolewa

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa  la  Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa.   Uamuzi huo wa mahakama ulitolewa juzi na Jaji John Mgeta, baada ya Wakili wa Lwakatare, Emmanuel Muga kuwasilisha maombi ya kupinga ubomoaji huo chini ya hati ya dharura.   Jaji Mgeta alizuia ubomoaji wa jengo hilo ama kuchukua hatua
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images