Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MAJANGA: BABA MZAZI AMBAKA BINTI YAKE

$
0
0
Aziza Kibibi alikuwa na umri wa miaka minane tu wakati baba yake - Mwongozaji wa Tuzo za muziki za MTV - alipoanza kumbaka. Alipofika miaka 10, somo ambalo Aswad Ayinde alikuwa akimfundisha binti yake 'jinsi ya kuwa mwanamke' likabadilika na ubakaji wake wa mara kwa mara ukazaa watoto watano kutokana na makosa ya kujamiiana kwa kisingizio cha kujaribu kutengeneza damu 'halisi'. Kwa namna

Sheikh Ponda aondolewa hospitalini na kupelekwa Gerezani

$
0
0
Wakili Nassor Jumaa anayesimamia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi mpya ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezungumzia kitendo cha kumhamisha mteja wake kutoka hositalini hadi Segerea.Leo hii majira ya saa 7 mchana nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

"KIAMA CHA WASANII MAMISS KIMETIMIA.....FANI IMEWASHINDA NA WAMEKIMBILIA KUJIUZA"...THEA

$
0
0
BAADA ya wasanii waliotoka kwenye mashindano ya u-miss kuvuma sana na kupotea ghafla, msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka na kudai utabiri wake umetimia. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Thea alisema miaka kadhaa iliyopita alitabiri kuwa wasanii waliokuwa wanavuma sana ambao walitokea kwenye mashindano ya u-miss, hawatadumu

"LEO NITAWAANIKA VIGOGO WOTE AMBAO NI WAUZA UNGA ".....MWAKYEMBE

$
0
0
Siku moja baada ya kufanya ziara ya ghafla Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema leo ataweka hadharani majina ya watu wanaosafirisha dawa za kulevya nchini. Dk Mwakyembe juzi alifanya ziara hiyo JNIA kukagua utendaji kazi kwenye uwanja huo ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kashfa ya

BINTI ANYIMWA KUGOMBEA UONGOZI KWA SABABU NI MZURI KUPITA KIASI

$
0
0
  Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo. Nina Siahkali Moradi (27), alikuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi wa halmashauri ya jiji la Qazvin nchini Iran, ambapo baada ya kura kuhesabiwa alikamata nafasi ya 14.  Lakini hata hivyo wiki moja baadaye

Daktari aliyemtibu Sheikh Ponda atiwa mbaroni.....

$
0
0
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba na Mifupa (Moi), jana aliondolewa na kupelekwa katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam.  Kitendo hicho kimelaaniwa vikali na familia yake na wafuasi wake, ambao wamepanga kufanya maandamano makubwa leo  ... Sheikh Ponda, ambaye alisomewa shtaka la uchochezi akiwa

MTANZANIA AKAMATWA HONG KONG NA MADAWA YA KULEVYA YAKIWA NDANI YA MASHINE

$
0
0
  Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha mashine.Dawa hizo aina ya heroin zilikamatwa katika nyakati mbili tofauti kwa jumla zikiwa na kilo 1.5 na thamani ya dola milioni 1.3 za Marekani.Maafisa hao wanasema kwa kuwa wamekuwa

WACHOMEWA NYUMBA WAKIDAIWA KUIBA KWENYE GARI LILILOPATA AJALI

$
0
0
NYUMBA sita katika eneo la Mbwewe wilayani Bagamoyo mkoani Pwani zimeteketezwa kwa moto na watu. Inaelezwa kuwa hatua hiyo imechukuliwa baada ya kudaiwa kuwa wakazi wa nyumba hizo walihusika na wizi wa marobota na viatu yaliyokuwamo katika gari ya Fuso iliyopata ajali katika eneo hilo.    Gari hiyo ilipata ajali katika eneo la Mbwewe katika barabara ya Chalinze- Segera baada ya

Huyu ndo kijana aliyekamwa na Mwakyembe akisafirisha madawa ya kulevya Airport

$
0
0
Habari ambayo imeripotiwa na ITV inadai  kwamba baada ya siku moja ya ziara ya kushtukiza ya Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-Salaam, kiasi kikubwa cha dawa za kulevya kimekamatwa uwanjani hapo katika harakati za kusafirishwa kwenda nchi za nje. Aliekamatwa ni kijana ambae alikua anazisafirisha hizo dawa

Wananchi waua majambazi mawili jijini Mwanza

$
0
0
WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP. Akizungunzumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka kuiba. <!-- adsense -->

Mwakyembe awafukuza kazi waliomsaidia Agness Masigange kupitisha madawa ya kulevya

$
0
0
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa agizo kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kuwafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi nchini kuwaunganisha na wengine kwenye kesi mahakamani ili kujibu mashitaka ya jinai, wale wote waliohusika katika kuuwasaidia Agness Gerald na mwenziye Mellisa Edward kupitisha dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine "TIK" au "Meth" au "USAN

Mwanamke abakwa na kuchomekwa kisu sehemu za siri huko Shinyanga

$
0
0
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa macho na kuonesha kupigwa na kitu kizito usoni. Mwanamke huyo ambaye hajatambulika jina lake na anakotoka alikuwa amevaa Blauzi nyeusi yenye madoa meupe, viatu vyenye urembo wa silva, mnene kiasi, mweusi na

Moto ulitokea kwenye mitambo ya vodacom jana lakini emeshadhibitiwa

$
0
0
Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.<!-- adsense -->

Shahidi wa tano aeleza alivyolazimishwa kuzini na mchungaji wa TAG

$
0
0
SHAHIDI wa tano katika kesi ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la TAG, raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), Jean Felix Bamana ameieleza mahakama namna alivyolazimishwa kufanya mapenzi na mchungaji huyo.   Shahidi huyo, Angela Swai (19), akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu, Naomi Mwerinde wa Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, alisema Mchungaji huyo

"Kutekwa kwa Sheikh Ponda ni harakati za serikali kuwapendelea wakristo"...Tamko la waislamu

$
0
0
SAKATA la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, limeendelea kuwa gumzo katika maeneo mbalimbali, huku matamko makali yakitolewa dhidi ya Serikali.Sakata hilo limeonekana kutikisa na kutawala vyombo vya habari, baada ya kiongozi huyo wa dini kudaiwa kupigwa risasi, kusomewa mashtaka kitandani na baadaye kupelekwa gerezani chini ya ulinzi mkali

Polisi feki ajitetea...adai kuwa njaa ndo ilimfanya ajifanye traffic

$
0
0
MKANDA mzima wa askari bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki), James Juma Hussein (45)  aliyekamatwa saa 1:30 asubuhi ya Agosti, 14, 2013 maeneo ya Tabata Kinyerezi Mnara wa Voda, jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake za kazi, umepatikana....   Kwa nini James alikamatwa? Asubuhi hiyo, afisa mmoja wa trafiki mwenye cheo cha ukaguzi alikuwa akipita eneo hilo kwenda kazini

Feza Kessy ayaanika matiti yake nje wakati wa uzinduzi wa Yahaya

$
0
0
  Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee  na  Mkolon... Pamoja  na  kuwa  mgeni  rasmi, Feza  anadaiwa  kuwa  miongoni  mwa  wasanii  waliokuwa  wamevaa  vibaya.... Vazi   lake  lilikuwa  likiyaanika  matiti  yake  hadharani, hali  ambayo  iliwafanya  hata  watoto  wayashuhudie. <

Picha za utupu za wapenzi wengine zavuja...

$
0
0
<!-- adsense -->    Wapiga  picha  za  uchi  wameendelea  kuumbuka  siku  hadi  hadi.... Baada  ya  picha  chafu  za  msanii  Manaiki  Sanga  kuvuja, mtandao  huu  umefanikiwa  kuzinasa  picha  nyingine  chafu  wa  wapenzi  ambao  walijipiga  makusudi  pindi  wakiwa  gesti ..... Kila  kitu  kipo  hapo  chini <<  PICHA, BOFYA  HAPA  >>

Rais wa Malawi ammwagia sifa Rais Kikwete...

$
0
0
RAIS wa Malawi, Joyce Banda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuimarisha demokrasia, amani na usalama katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika (SADC). Banda alitoa pongezi hizo jana wakati akihutubia Mkutano wa 33 wa Wakuu wa SADC baada ya kukabidhiwa nafasi ya uenyekiti wa jumuiya hiyo kutoka kwa Rais wa Msumbiji, Dk Armando Guebuza. “Wananchi wa Malawi, mimi

CHADEMA yafukuza wanachama wake 8 -Ukonga

$
0
0
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga imewafukuza uanachama wanachama wake wanane huku wawili wakipewa onyo kali kwa tuhuma za kukihujumu.Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa CHADEMA Jimbo la Ukonga, Jumaa Mwipopo, alisema kuwa kwa muda mrefu kulikuwa na tuhuma za wanachama hao kukihujumu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images