Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

DAWASCO washauriwa kufunga mita za kulipa kwanza

0
0
Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Maji Safi na Maji Taka Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) kuona namna ya kuweka mita za maji ambazo mteja hatoweza kutumia maji iwapo hajalipia kwanza (Prepaid). Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika shirika hilo, Profesa Mbarawa amesema kwa kuwekwa kwa

CHADEMA Waapa 'Kufa' na Profesa Sospeter Muhongo Bungeni

0
0
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumshughulikia Bungeni, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kikidai kuwa bado hajasafishwa kwenye kashfa ya akaunti ya  Escrow. Ahadi hiyo ilitolewa juzi na Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, John Mnyika katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Handeni, akimnadi Daudi Lusewa. Alisema

John Mnyika Apinga Tamisemi Kuhamishiwa Ofisi ya Rais

0
0
Mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika amekosoa uamuzi wa Rais John Magufuli wa kuhamishia wizara inayohusu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) chini ya ofisi yake, akidai kitendo hicho kimelenga kuvibana vyama vya upinzani ambavyo vimeshinda halmashauri nyingi nchini. Mnyika (pichani) aliyasema hayo jana wakati akitoa shukrani zake kwa wananchi wa Kata ya Salanga iliyopo

Mdahalo Wa Tahliso Kujadili Hotuba ya Magufuli Waingia Dosari Baada Ya Wanafunzi wa UDSM Kuupinga

0
0
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye  jana alinusuru kuvunjika kwa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO), baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuupinga. Mdahalo huo ulilenga kujadili hotuba ya Rais Dk. John Magufuli aliyosoma bungeni Novemba 20, mwaka huu wakati akizindua Bunge la 11. Dosari hiyo ilijitokeza mapema

Lema atangazwa mshindi Jimbo la Arusha Mjini

0
0
Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Arusha Mjini, Mh Godblees Lema ameibuka Mshindi na kutangazwa kuwa mbunge wa Jimbo hilo. Katika uchaguzi huo ulioshirikisha vyama vitano vya Siasa Mh Lema amepata kura 68,848 kati ya kura 104,353 zilizopigwa sawa na asilimia 65.9 akifuatiwa na Mgombea wa CCM Bw Philemon Mollel aliyepata kura 35.907 sawa na asilimia 34.4

Wakulima Na Wafugaji Wauana na Kujeruhiana Morogoro......Waziri Mwigulu Afika Kutatua Ugomvi

0
0
Mkulima mmoja ameuawa, mwingine amejeruhiwa wakiwemo askari  polisi wawili kwenye mapigano dhidi ya wafugaji wa kimang’ati kwenye kijiji cha Dihimba Turiani, mkoani Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa amesema mapigano hayo yametokea baada ya wafugaji kutaka kuwachukua kwa nguvu ng’ombe zaidi ya 150 waliokuwa wakishikiliwa na wakulima kwenye ofisi ya kijiji hicho. Mkwasa

Profesa Muhongo Aiagiza Tanesco Kuandaa Mpango Madhubuti wa Utiririshaji Maji

0
0
Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limetakiwa kuandaa mpango madhubuti wa utitirishaji maji kutoka kwenye bwawa la Nyumba ya Mungu ili kuwepo na maji ya kutosha kuzalisha umeme kwenye vituo vya Hale na New Pangani. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alitoa agizo hilo wakati  wa ziara yake katika mabwawa ya kuzalishia umeme ya Hale na Pangani yaliyoko mkoani  Tanga na

Mtoto Achomwa Moto Kwa Kutoaniaka Shuka Alilokojolea

0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Bi Kulwa Shasumuni mkazi wa Igunga Mkoani Tabora amemchoma moto mwanaye Hassani Faustino (9)kwenye mkono wa kushoto kwa kile alichodai ameshindwa kuanika shuka zake alizokojolea kitandani. Wakizungumza kwa machungu kwa nyakati tofauti, baadhi ya majirani wamedai mama huyo amekuwa akimfanyia vitendo vya kikatili mwanaye mara nyingi hata wanapomzuia

Wapiga Kura Kibamba Wamtaka Mnyika Kuanza Kufanyia Kazi Ahadi Zake Badala Ya Kuendelea Kutoa Matamko Kwenye Vyombo Vya Habari

0
0
Wakazi wa jimbo la kibamba wamemtaka mbunge wao, John Mnyika kuanza kufanyia kazi ahadi zake badala ya kuanza kutoa matamko kwenye vyombo vya habari kuzungumzia mambo ya kitaifa wakati ana mambo kadhaa ya kuyafanyia kazi jimboni kwake. Wakiongea na mwandishi wa Dar24, wakazi hao wamesema pamoja na kushukuru sana kwa kupewa jimbo jipya ambalo limegawanywa kutoka lililokuwa jimbo la Ubungo,

Mawaziri Wa Magufuli Waanza Kazi Kwa Spidi........Nape Ang'aka Kuyafungia Magazeti,Lukuvi,Jaffo Watoa Tamko

0
0
WAZIRI  wa Habari,Utamaduni,Wasanii na Michezo,Nape Nnauye amewatoa hofu wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini hususani Magazeti pamoja na wanahabari kwa kusema hatafungia magazeti badala yake atahakikisha anakuwa mlezi wa vyombo vya habari pamoja waandishi wa habari ili viweze kufanya kazi kwa weredi. Akizungumza na wafanyakazi wa wizara ya Habari na utamaduni,wasanii na Michezo wakati

Mbunge wa Ubungo Atiwa Mbaroni kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda

0
0
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Tukio hilo limetokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800 wa kiwanda cha nguo cha TZ TOOKU ambao walimpigia mbunge wao aende kutatua mgogoro huo. Kubenea alifika katika eneo hilo saa 6 mchana, akakutana na wafanyakazi kusikiliza

Dr. Mwaka Amkimbia Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala.........Atakiwa Kujisalimisha Kesho Saa Mbili Wizarani

0
0
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala leo majira ya jioni amefanya ziara ya kushtukiza  katika kituo kinachotoa tiba mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka  kilichopo Ilala Bungoni na kujionea hali halisi ya kituo hicho.    Mara baada ya kufika alianza kufanya ukaguzi kuanzia sehemu ya Mapokezi mpaka kwenye

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Disemba15

Jinsi Kitambi Kinavyopatikana na Jinsi Kinavyoondolewa na Dawa ya Mkataa Kitambi

0
0
Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANA Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu.  Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana

Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi

0
0
MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi. Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi,  Mikocheni B, Dar

Ujue Mfumo wa Nguvu za Kiume Unavyofanya Kazi Na Jinsi Ya Kukabiliana na Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume

0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze 

Tamko la CHADEMA Kulaani Mbunge wao Saed Kubenea Kukamatwa Kwa Amri Ya Mkuu wa Wilaya

0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Ndugu Saed Kubenea aliwekwa chini ya ulinzi na kuamriwa kwenda kituo cha polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye inadaiwa hakutaka mbunge huyo azungumze na wananchi ambao ni

Taarifa Kwa Umma Juu Ya Wito Wa Kutoa Maoni Kuhusu Sheria Ya Ununuzi Waumma, Sura Ya 410

0
0
  WITO WA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA, SURA YA 410 _________________________ 1.0     Utangulizi Kama inavyofahamika, Sheria ya Ununuzi wa Umma inayotumika sasa, Sura ya 410, ilitungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano mwaka 2011 kwa lengo la kuweka mfumo wa kisheria na kitaasisi wa usimamizi wa ununuzi wa umma.   Katika utekelezaji wa Sheria hiyo, Serikali

Habari Njema Kwa Wanao Sumbuliwa Na Vipele Vya Kisogoni

0
0
Unasumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  vipele  kisogoni ? Vipele  vinavyo  sababishwa  na  kunyoa  saluni  ?    Kama  jibu  lako  ni  NDIO , basi  hii  ni  HABARI  NJEMA  SANA  KWAKO.  Neema  Herbalist & Nutritional  Foods  Clinic  ni duka la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili.     Tunakuarifu  kuwa, tunayo  dawa  asilia inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  kutokwa 

Mvutano Waibuka ADA Elekezi Shule Binafsi

0
0
Maandalizi ya upangaji wa ada elekezi kwa shule binafsi nchini yameibua mvutano kati ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi na Chama cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi (Tamongsco) baada ya kulalamikia kutopewa nafasi ya ushiriki katika hatua za awali. Katibu Mkuu wa Tamongsco, Benjamini Nkonya alisema jana kuwa chama hicho kiliwachagua mawakili wake wanne kwa ajili ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images