Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha 3 za Waziri Mkuu Akishirikiana na Wananchi Kufanya Usafi Kariakoo

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye

Lowassa: Magufuli Anatekeleza Hoja Zangu na Chadema

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema kuwa serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais John Magufuli imeanza kuzifanyia kazi hoja zake alizozieleza wakati wa uchaguzi. Lowassa aliyasema hayo jana jijini Arusha alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni. Lowassa aliishukuru

Habari ilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Disemba 10

Atakayeugua Kipindupindu Mpanda Kuburuzwa Kortini

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, ameagiza kuwa mtu yeyote atakayeugua  ugonjwa wa kipindupindu  akitibiwa na kupona, atafikishwa mahakamani kujibu kosa la kukiuka taratibu za afya na kuugua ugonjwa huo.   Mwamlima alitoa agizo hilo juzi  wakati wa uzinduzi wa usafi wa mazingira na upandaji miti uliofanyika eneo la Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani Manispaa ya Mpanda mkoani

Mwasisi wa CHADEMA ( Edwin Mtei ), Prof. Lipumba na Spika Msekwa Wammwagia Sifa Rais Magufuli

$
0
0
Watanzania wa Kada mbalimbali wamempongeza Rais John Magufuli kwa kuokoa mamilioni ya shilingi ambayo yangetumika kwenye maazimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania . Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia Muasisi wa chama hicho, Edwin Mtei, amesema kuwa uamuzi wa Rais Magufuli wa kufuta sherehe za uhuru utakuwa umeleta tija kubwa kwa taifa ambapo

TRA Yagomea Wamiliki wa Makontena Yaliyotoroshwa Bandarini Bila Kulipiwa Ushuru.

$
0
0
Mmamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewagomea kulipa kodi bila adhabu baadhi ya wamiliki wa makontena, ambayo yalitoroshwa kwenye bandari kavu bila kulipiwa kodi.    Badala yake, TRA imewapelekea hati ya malipo inayowataka wafanyabiashara hao, kuhakikisha wanalipa kodi hiyo na adhabu ndani ya siku saba, la sivyo watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo. Hatua hiyo inatokana na

Kikwete Ajibu Tuhuma Za Kulea Ufisadi Bandarini.......Aitetea Familia Yake, Awapiga Kijembe UKAWA

$
0
0
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900. Akizungumza baada ya kuwashitukiza wananchi wa Chalinze katika soko kuu la eneo hilo kwa kuungana nao kufanya usafi kuitikia agizo la

Sherehe za Uhuru: Rais Magufuli Asamehe Wafungwa 2,336

$
0
0
Katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Nchi yetu tarehe 9 Desemba, 2015 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa wafuatao:- i) Wafungwa wote wamepunguziwa moja ya sita(1/6) ya vifungo vyao zaidi ya punguzo la kawaida linalotolewa chini ya kifungu 49

Breaking News: Rais Magufuli Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

$
0
0
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri. Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elekezi, baraza nitakaloliteua

Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu

$
0
0
Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA. Piga simu 0689 122 515 Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516 Pia ametoa

Profesa Lipumba, Lissu wapinga uteuzi wa Muhongo na Mwakyembe

$
0
0
Saa chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu wamekosoa uteuzi wa Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Harison Mwakyembe. Dk. Mwakyembe alikuwa waziri wa Uchukuzi katika serikali ya awamu ya nne na hivi sasa ameteuliwa kuwa

Home Shoppinga Center Yajitokeza Kujibu Tuhuma Za Kukwepa Kodi

$
0
0
Baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao zikieleza kuwa kampuni ya Home Shopping Centre imefunga maduka yake kutokana na kukwepa kodi na kuhusika kwenye sakata la makontena yaliyopotea bandarini, uongozi wa kampuni hiyo umejitokeza na kupinga taarifa hizo. Kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari, kampuni hiyo imeeleza kuwa habari hizo sio za kweli na kueleza kuwa haijawahi

Alhamisi inavyoakisi nyota ya Dk. Magufuli

$
0
0
Kama ni suala la kusafiria nyota katika maisha, basi kwa Rais Dk. John Magufuli (pichani), Alhamisi ndiyo ya mafanikio zaidi kwake na amekuwa akiitumia katika matukio mbalimbali makubwa. Kuzaliwa Dk. Magufuli ambaye kwa sasa ana miaka 56, alizaliwa Alhamisi Oktoba 29, 1959 Wilaya ya Chato mkoani Geita. Hiyo inamfanya kuwa siku muhimu sana kwake katika maisha. Kushinda Urais Alhamisi

Taarifa kwa Umma Kuhusu Mlipuko wa Homa ya Nguruwe Jijini Mwanza

$
0
0
Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena.   Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA umethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe katika Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.   Katika taarifa iliyotolewa na Katibu tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwanza, Yohana Sagenge

TFF Yampongeza Nape Nnauye Kwa Kuteuliwa Kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo

$
0
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye kufutia kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo katika serikali ya awamu ya tano. Katika salamu zake, Malinzi amempongeza Nape na kusema TFF ina imani nae katika nafasi hiyo, na kuahidi kushirikiana katika michezo na haswa katika

Billioni 473 Zatolewa Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya juu.....Tahliso Yammwagia Sifa Rais Magufuli

$
0
0
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa  mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh. bilioni 132 katika bajeti ya mwaka huu. Hayo yalisemwa  jana jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania(Tahliso)  bwn. Nzilanyingi  John  alipokuwa

Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Yafuta Vyama Vya Kijamii 1,268

$
0
0
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama vya Kijamii 1,268 kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao na sheria zilizowekwa katika uendeshaji wa vyama pamoja na mashirika yasiyo ya Kiserikali (NG’0s). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga alisema kuwa kufutwa kwa vyama hivyo ni kutokana na kukiuka

Wafanyabiashara 21 watupwa rumande kwa kudharau usafi

$
0
0
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amewaweka ndani wafanyabiashara 21 kwa saa 6 kwa kukiuka agizo la Rais la kufanya usafi na kufungua maduka kabla ya muda ulioelekezwa. Mkuu huyo wa wilaya alichukua hatua hiyo juzi, baada ya wafanyabiashara hao kufungua maduka kabla ya saa nne Sikukuu ya Uhuru ya Desema 9, mwaka huu, huku wananchi wakiendelea na usafi katika maeneo

Serikali Yaelekeza Uendeshaji wa Sekondari Zake za Bweni

$
0
0
SERIKALI inatarajiwa kutoa utaratibu wa namna wanafunzi wa shule za Serikali za mabweni, watakavyosoma huku ikionya wakuu wa shule watakaodai ada au michango ya aina yoyote, kwamba watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini amesema hayo jana wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa mwaka

Wafanyabiashara Wapuuza Agizo la Siku 7 Lililotolewa na Rais Magufuli........ Kamanda Kova Atangaza Zawadi Nono Atakayemdaka Mfanyabiashara Huyu

$
0
0
Makampuni 26 yamekaidi agizo la Rais John Magufuli lililowataka wafanyabiashara wote waliokwepa kodi kwenye Makontena 326 yaliobainika kupotea bandarini walipe kodi ndani siku saba. Hata hivyo ni Makampuni 6  tu ndio yaliyotii agizo la Magufuli baada ya kulipa kodi iliyokadiliwakuwa  pamoja na faini. Vilevile Makampuni 16 yamelipa kodi  nusu tu tofauti na ile iliyokadiliwa,ambapo  jana
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images