Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ruge: Hakutakuwa na Fiesta Mwaka Huu, Tumsapoti Magufuli

$
0
0
Mkurugenzi wa Clouds Media Group ambao ni waandaaji wa tamasha la Fiesta, Ruge Mutahaba amesema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu. Amesema wameamua kuahirisha kufanya tamasha hilo mwaka huu kutokana na ufinyu wa muda uliobaki hasa baada ya kupisha kipindi cha uchaguzi. “Tulijua tukimaliza kampeni tutafanya kwa mikoa michache lakini tumeona kwamba hakuna kitu kizuri kama

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Disemba 8

Wanne Watiwa Mbaroni Kwa Kupiga Picha Vifaa vya JWTZ na Kuvisambaza Mitandaoni

$
0
0
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema limeanza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na upigaji wa picha wa vifaa vya kijeshi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, ambapo hadi sasa tayari watu wanne wapo chini ya ulinzi. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa JWTZ, Kanali Ngemela Lubinga alisema kumekuwa na tabia

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Awafuta Kazi Maofisa 11 na Mkurugenzi Wao Kwa Ufisadi wa Milioni 92.8

$
0
0
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8. Dk Msengi alieleza kuwa Lukanga na maofisa 11 wa Manispaa ya Mpanda wanatuhumiwa kununua gari la kubeba taka ambapo kiasi cha Sh milioni 92.8

Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja Ahamishiwa Zimamoto

$
0
0
AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja. Habari za uhakika zilizopatikana mjini Dar es Salaam jana, zinasema Rais Magufuli amemteua Kamishina Chagonja kuwa Kamishina mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. “Rais amefanya

Meneja Mkuu Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi.

$
0
0
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imeingilia kati mgogoro wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kwa kuwasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, Nassoro Baraza na Naibu Meneja Mkuu,  Samweli Swai ili kupisha uchunguzi dhidi yao ufanyike na endapo watabainika kuwa ni chanzo cha mgogoro huo watachukuliwa hatua za kisheria. Aidha, serikali imetoa miezi sita kwa kiwanda hicho kiwe

Mkuu wa mkoa Mwanza Awasimamisha kazi Watumishi Watatu

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amewasimamisha kazi watumshi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, kutokana na kuruhusu ujenzi wa nyumba juu la bomba la mradi wa maji na kuamuru ivunjwe mara moja. Mulongo alitoa maagizo hayo jana baada ya kuitisha kikao cha dharura cha wakuu wa idara ya halmashauri hiyo kutaka kufahamu chanzo cha ujenzi wa nyumba hiyo baada ya kupata

Ada Elekezi shule Binafsi: Wamiliki wa Shule Waiijia Juu Serikali

$
0
0
Taharuki imetanda kwa wamiliki wa shule nchini baada ya kupokea waraka unaowakataza kuongeza ada kwa shule zisizo za serikali katika mwaka wa masomo unaoanza mwezi ujao. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Desemba 3, mwaka huu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Sifuni Mchome, shule zinatakiwa kutoongeza ada mwaka wa masomo 2016 hadi zitakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu.

Mnyika Aibukia Sakata la Bandari, Asema Dawa ya Jipu Sio Kulitumbua

$
0
0
Baada ya kuwa kimya tangu ashinde Ubunge, Mbunge wa Kibamba kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika ameibukia kwenye sakata la ubadhirifu kwenye Mamlaka ya Bandari nchini na kuitaka serikali kuweka wazi ripoti za Dk. Harrison Mwakyembe na Samwel Sitta. Mnyika ameyasema hayo jana alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amedai kuwa ripoti za Sitta na Dk. Mwakyembe

Chadema ‘Wapotezea’ Ahadi ya Kuuza gari la Meya

$
0
0
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameipotezea ahadi ya kuuza gari la kisasa lililokuwa likitumiwa na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Amani Mwamwindi (CCM) waliyoitoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wakati wa kampeni hizo, madiwani hao pamoja na Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa walisema wataliuza gari hilo la kisasa aina

UDSM Yakana chuo Kukumbwa Kipindupindu

$
0
0
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amesema wanafunzi wawili wa chuo hicho Kampasi ya Mlimani walioripotiwa kuumwa tumbo, hawana ugonjwa wa kipindupindu, bali walipata adha hiyo baada ya kula kwenye mgahawa wa Cafeteria One chuoni hapo. Alitoa ufafanuzi huo jana Dar es Salaam kutokana na uvumi kwamba ugonjwa wa kipindupindu umeingia chuoni hapo na

UKAWA Wajazana Kortini Kanda ya Ziwa Kutetea Nafasi zao za Ubunge

$
0
0
KESI za kupinga matokeo ya ubunge zimezidi kumiminika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, ikiwamo za kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya (Chadema).    Kesi nyingine zilizofunguliwa mahakamani ni za majimbo ya Nyamagana, Ilemela na jimbo la Kwimba, ambapo walalamikaji wamewasilisha malalamiko mbali mbali ikiwamo ya vitendo vya rushwa. Kesi ya

Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu

$
0
0
Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.   Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.   Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme. Kukutwa kwa Idris

Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Namna Ya Kuadhimisha Siku Ya Uhuru

$
0
0
Serikali imetoaufafanuzi kuhusu namnaya kuadhimisha siku yaUhuru yaani Tarehe 9 Desemba, 2015 kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Omben iSefue, amesema siku hiyo ni siku ya kazi kam ailivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa Mamlaka aliyonayo kisheria. Katika Ufafanuzihuo,Balozi Sefue amesema endapo wafanyakazi

Kamati Kuu Ya Ccm Yaipongeza Serikali Ya Awamu Ya Tano Kwa Utendaji Wake

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Kamati Kuu pia ilipokea taarifa juu ya utendaji wa Serikali katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Salam za Rais Magufuli kwa Wananchi katika Kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru

$
0
0
Namshukuru Mwenyezi Mungu aliyeiwezesha nchi yetu kutimiza miaka 54 ya uhuru kwa salama na amani.    Namshukuru Mungu pia kwa kuniwezesha kuiona siku hii nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.    Napenda kuchukua fursa hii, kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa Taifa letu kutimiza 54 ya Uhuru tarehe 09 Desemba, 2015.   Napenda kuwahakikishia kwamba, kama ilivyokuwa kwa

Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kufanya Usafi

$
0
0
Rais John Magufuli ameongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi leo kama alivyoelekeza baada ya kufuta shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Uhuru, Disemba 9.Rais Magufuli na mkewe Janeth wamefanya usafi katika maeneo ya Feri, eneo ambalo liko mita kadhaa kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam.Naye rais wa serikali ya awamu ya nne, Jakaya Kikwete na mkewe Salma nao wameingia barabarani na

Tuhuma za Matumizi mabaya ya Ofisi: BAKWATA yamsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuhu Baada ya kumshukuru Mwenye ezi Mungu na Kumtakia rehma na amani kiongozi wetu Bwana Mtume Muhammad S.A.W. Tunapenda kuwafahamisha ya kwamba baada ya siku chache tutakuwa tumeingia katika Mwezi wa mfungo sita. Na huu ndio Mwezi aliozaliwa Bwana Mtume S.A.W. kwa mujibu wa kalenda ya kiislamu. Waislamu wote

CUF wazungumzia taarifa za kufariki Maalim Seif, watoa msimamo wao kuhusu Uchaguzi Zanzibar

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki. Akiongea na ITV, Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma wa chama hicho, Ismail Jusa amesema kuwa taarifa hizo zina lengo la kuvuruga amani na usalama wa nchi kwa kutengeneza taharuki.

Rais Magufuli Atoa Namba yake Ya Simu Kwa Wavuvi.....Awaahidi Mambo Matatu.

$
0
0
Rais John Magufuli leo ameungana na wananchi katika kufanya usafi ambapo akiwa katika eneo la Feri jijini Dar es Salaam, ameweza kuzungumza moja kwa moja na wavuvi wadogo. Baada ya kusikiliza kwa makini kero zinazowakabili wavuvi hao wadogo akiwa amekaa ndani ya kifaa duni cha kufanyia uvuvi maarufu kama ‘mtumbwi’ usio na mashine, rais Magufuli aliwaahidi wavuvi hao kuzitatua kero hizo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images