Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Treni ya Mizigo Yaanguka....Abiria 1000 Wakwama

$
0
0
ABIRIA zaidi ya 1000 waliyokuwa wakisafiri na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), jana wamekwama mkoani Dodoma na kushindwa kuendelea na safari kutokana kuanguka treni ya mizigo kati ya Kituo cha Itigi na Kitakaa. Tukio la kukwama abiria hao limetokea juzi saa 2:00 asubuhi mjini hapa mara baada treni hiyo ya abiria ilivyo kuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Tabora, Kigoma na

Balozi Sefue: Maagizo Ya Rais Magufuli Hayavunji Sheria ya Ununuzi

$
0
0
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema maagizo ya Rais  Magufuli kutaka fedha zilizokuwa zitumike kwa matumizi yasiyo ya lazima, kupelekwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini, hayavunji sheria ya manunuzi wala utaratibu mwingine wa kisheria. Hivi karibuni,Rais Magufuli aliagiza sh.milioni 225 zilizokuwa nimechangwa kwa ajili ya hafla ya wabunge zipelekwe Hospitali ya

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na Mwenyekiti wa Kamisheni wa Umoja wa Afrika na Waziri wa Mambo ya nje wa Libya

$
0
0
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika nchini Comoro  amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa, Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma kuzungumzia hail ya siasa nchini Comoro. Katika Mkutano huo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwasilisha taarifa ya ziara maalum aliyoifanya Comoro tarehe 1 Desemba, 2015. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete

Kiama Cha Waliotorosha Makontena 2431 Kimekaribia.....Majina Yao Yameshatua Kwa Waziri Mkuu

$
0
0
Baada ya moto kuwawakia watumishi wa Mamlaka ya Mapato wanaotuhumiwa kujihusisha na ukwepaji kodi wa kifisadi kwenye Bandari Kavu (ICDS) na kupelekea wanane kati ya watuhumiwa 37 kufikishwa mahakamani, zamu ya Mamlaka ya Bandari inakaribia, imefahamika.   Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam, waliohusika na kupitisha makontena 2,431 bila kulipiwa kodi wanakaribia kuchukuliwa hatua za

Watumishi Waandamizi 7 wa TANESCO Wafukuzwa kazi kwa Tuhuma Mbalimbali

$
0
0
UFAFANUZI WA MASUALA MBALI KWA WATEJA WA TANESCO KUPITIA VYOMBO VYA HABARI.  1. HALI YA UZALISHAJI UMEME NCHINI Hali ya umeme nchini imeendelea kuimarika licha ya changamoto mbali mbali tunazokabiliana nazo kwa sasa. Kuanzia taerehe 17 Septemba tulipoanza kutumia gesi inayotoka Mtwara tumeweza kuongeza uzalishaji wa umeme unaotumia gesi kutoka Megawati 260 zilizokuwepo kabla hadi Megawati

Wenyeviti wa CCM Mikoa Wampongeza Rais Magufuli Kwa Kasi Aliyoanza Nayo

$
0
0
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu.    Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za kubana matumizi ya umma, kuziba mianya ya rushwa, kupiga vita ubadhirifu wa mali ya umma na kurejesha nidhamu na uwajibikaji kwenye taasisi za umma na nchi kwa ujumla. Aidha, wenyeviti hao

Barua ya TRA kwa BAKWATA kuhusu Msamaha wa Kodi ya Gari

Katibu Mkuu Tamisemi Akagua Miundombinu ya Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka

$
0
0
Katibu Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Kampuni ya UDA-RT, Bw. Robert Kisena wakati alipofanya ziara kwenye miundombinu ya mfumo wa Mabasi yaendayo haraka kabla kipindi cha mpito hakijaanza mwezi ujao mwisho mwa wiki. UDA-RT ndiyo kampuni itayotoa huduma ya usafiri

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Desemba 7

Ofisa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Atiwa Mbaroni Kwa Kuruhusu Usafirishaji wa Magogo 665

$
0
0
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia Ofisa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Michael Mwingira ili kusaidia uchunguzi wa magogo 665 na mbao za mti wa mkurungu vilivyokuwa vinasafirishwa kinyume cha sheria kwenda China. Mwingira ni Ofisa Forodha wa TRA katika Kituo cha Forodha kilichopo kijijini Kasesya wilayani Kalambo mkoani Rukwa katika mpaka wa Tanzania na nchi jirani ya Zambia.

Lowassa Kupiga Kambi Maalumu Jijini Arusha Kupigania Ushindi Wa Godbless Lema

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anatarajiwa kuanza kambi nzito jijini Arusha kuanzia keshokutwa (Jumatano) kwa nia ya kuhakikisha kuwa mgombea ubunge wa chama chake katika katika Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema anatetea kiti chake kwa ushindi wa kishindo. Taarifa ambazo tulizipata jana toka kwa  watu wa karibu wa Lowassa

Ubunge wa Saed Kubenea Wapingwa Mahakamani

$
0
0
Kubenea Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Massaburi, amefungua kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Dk. Massaburi amefungua kesi hiyo ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.   Mbali ya Kubenea, wengine waliounganishwa katika kesi hiyo ni Masimamizi wa Uchaguzi katika

Magufuli Ateka Kampeni za Urais Uganda kwa Museveni......Wapinzani Watumia Jina Lake Kuomba Kura

$
0
0
Kasi ya Rais John Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima ya serikali ili fedha zinazookolewa zielekezwe katika kuimarisha huduma za jamii imeendelea kuvutia wengi katika nchi jirani za Afrika Mashariki baada ya jina lake kuanza kutumiwa na wagombea urais nchini Uganda. Kati ya wagombea wote, aliyejipambanua kwa uwazi kuwa atafuata nyayo za Magufuli katika kuhakikisha kuwa

Mwenyekiti Wa UWT (CCM) Ahamia Chadema

$
0
0
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa CCM wilaya ya Arusha, Vicky Mollel ametangaza kukihama chama hicho na kuhamia Chadema. Akizungumzia uamuzi wake, Vicky ameeleza kuwa amechukua uamuzi huo baada ya kuchoka na majungu yaliyo ndani ya chama hicho ambayo amedai kuwa yanasababisha kuishi kwa kuogopa watu fulani badala ya kufuata katiba. “Nilipokaa niliona nadhoofisha kipaji

Magufuli Kuyatumbua MAJIPU Yaliyojificha Ndani ya CCM

$
0
0
Kasi ya Rais  John Magufuli ya kutumbua majipu serikalini inatarajiwa kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), mara tu atakapokabidhiwa rungu la uenyekiti na Mwenyekiti wa chama hicho kwa sasa, Rais mstaafu, Jakaya Kikwete. Mara tu atakapokabidhiwa rungu la uenyekiti, Magufuli anatarajiwa kufanya kile kile anachoendelea kukifanya ndani ya serikali kwa kuwaumbua viongozi ndani ya chama hicho

Gazeti la Mwanahalisi Latoa Majina Yaliyovuja Baraza la Mawaziri wa Magufuli

$
0
0
Wakati joto la kusubiri rais John Magufuli atangaze majina ya baraza lake la mawaziri likizidi kupanda, gazeti la Mwanahalisi limetoa baadhi ya majina yanayodaiwa kuvuja kutoka kwenye orodha hiyo. Mmoja kati ya majina ambayo yamevuta usikivu wa wengi ni jina la aliyekuwa waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe ambaye alikuwa mmoja kati ya wagombea wa CCM waliokuwa wanatajwa kuwa chaguo la

Breaking News: Rais Magufuli Avunja Bodi ya Bandari.....Amsimamisha Kazi Katibu Mkuu Wizara Ya Uchukuzi

$
0
0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda

Mwenyekiti Wa Ccm Jakaya Mrisho Kikwete Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu Ya Taifa Ccm, Akutana Na Mwakilishi Wa Benki Ya Dunia

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli , Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo

NEC Yatoa Tamko Kuhusu Uchaguzi Wa Wabunge Arusha Mjini Na Handeni.

$
0
0
Na Jacquiline Mrisho-Maelezo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza siku ya kupiga kura kwa baadhi ya majimbo ambayo uchaguzi wake ulihairishwa kutokana na sababu mbalimbali   Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametaja siku hiyo ya uchaguzi itakuwa Disemba 13, mwaka huu. “Natoa rai kwa Wananchi wote waliojiandikisha kama wapiga

Kasi ya Rais MAGUFULI imegonga hodi ofisi ya Rais-utumishi.......Watumishi wa Umma Watakiwa Kusaini Kiapo cha Ahadi na Uadilifu

$
0
0
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini . Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab  Mkwizu amesema utekelezaji huo umeanza rasmi Desemba, 2015 ambapo kila Mtumishi wa Umma ataweka saini  ya kiapo  kwa kuzingatia  taratibu zilizowekwa na  mazingira ya taasisi husika. “Utaratibu wa Utekelezaji wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images