Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Halmashauri Zakumbushwa Shule Kuachana na Michango

$
0
0
HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016. Akizungumza juzi jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini alisema ni jukumu la kila halmashauri kusaidia shule

Lowassa Kuzungumza na Watanzania Kuhusu Uchaguzi Zanzibar na Msimamo wake Baada ya Magufuli Kutangazwa Mshindi

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameibuka na mambo mengi mazito kuhusiana na kile kilichotokea katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 na kumuweka madarakani Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Taarifa kutoka ndani ya muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambavyo Lowassa alikuwa akiviwakilisha kwa

UVCCM Yazidi Kumkaba Maalim Seif Sharif Hamad...... Yawatoa Hofu Vijana wa Zanzibar

$
0
0
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka vijana Zanzibar kutobabaishwa na kuendelea kwa mjadala au mazungumzo ya viongozi wa kisiasa kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambao umefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). UVCCM imesema mazungumzo hayo ni sehemu ya harakati za kuhakikisha amani inaendelea kuwepo nchini na kwamba hayawezi kubadilisha uamuzi

Mashambulizi ya Magaidi Yatikisa Ufaransa, Watu 127 Wauawa......Rais Magufuli Atuma Salamu za Pole kwa Rais wa Ufaransa

$
0
0
Rais John Magufuli amemtumia salamu za pole Rais wa Ufaransa François Hollande, kutokana na mashambulizi ya kigaidi yaliyogharimu vifo vya watu 127. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Rais Magufuli alisema Serikali yake inaungana na wapenda amani wote duniani kulaani tukio hilo lililogharimu maisha ya watu wengi. Awali taarifa za AFP

Afande Kova: Mita 200 za UKAWA Zilitunyima Usingizi

$
0
0
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Suleiman Kova amesema kati ya masuala ambayo yaliliumiza kichwa Jeshi la Polisi ni maagizo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa wafuasi wao. Kova alisema suala ambalo liliwanyima zaidi usingizi ni maagizo ya maandamano baada ya uchaguzi pamoja na wananchi kutakiwa

Edward Lowassa Aongea na Vyombo vya Habari....Atoa Tamko Zitto

$
0
0
Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu.   Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

CCM Yapitisha Majina Matatu ya Wagombea Uspika......Samwel Siita, Emmanuel Nchimbi Out!!!

$
0
0
Kamati Kuu CCM imewapitisha Job Ndugai, Abdullah Ali Mwinyi na Dr. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la 11. Majina hayo yamepenya kutoka katika orodha ya majina 21, miongoni mwao akiwemo Spika wa Bunge la 9, Samuel Sitta, Dkt. Didas Masaburi ambaye alitangaza kujitoa katika dakika za mwisho, Dkt Kalokola na wengineo.   Katika waliopitishwa: Job Ndugai ni

Mwakyembe Azungumzia Tetesi za Yeye Kuwa Waziri Mkuu

$
0
0
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.   Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu

Kifo cha Mawazo Chazua Balaa: Polisi Wapiga Mabomu ya Machozi Hospitali ya Bugando Kuwatawanya Wafuasi wa Chadema

$
0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, jana lililazimka kupiga mabomu ya macho katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), kuwatawanya wafuasi wa Chadema waliokuwa wameupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa kwa kukatwa mapanga. Tukio hilo lilitokeaza jana jioni, baada ya wafuasi hao kuanza mvutano na askari Polisi mmoja na ndipo zikaibuka vurugu

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Novemba 16

Historia Mpya Kuandikwa Dodoma Wiki Hii......Spika wa Bunge, Waziri Mkuu wa 11 wa Bunge la 11 Kujulikana Wiki Hii

$
0
0
Historia mpya inaandikwa wiki hii mkoani Dodoma ambako Bunge la 11 la Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli linatarajiwa kuanza vikao vyake kesho. Wiki hii Watanzania watashuhudia upatikanaji wa Spika mpya pamoja na Naibu wake, na pia ni mwanzo wa mikutano ya Bunge jipya, lakini pia ni wiki ambayo Bunge litathibitisha jina la Waziri Mkuu wa 11 wa Tanzania ambaye kwa

Vijana Wasusa Kupiga Kura Jimbo la Lulindi Kisa Lowassa

$
0
0
Kushindwa kwa mgombea wa urais wa Chadema kupitia Ukawa, Edward Lowassa kumesababisha vijana wengi katika Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara kususia uchaguzi mdogo wa mbunge jana.   Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya vijana wa jimbo hilo, Jafari Hamisi, Nurudini Majaliwa na Saidi Mohamed walisema sababu kubwa ya kususia kuchagua mbunge ni kutoridhishwa na mfumo wa siasa ambao

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Atengua Uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu Dr Tulia Ackson, Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, amethibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk. Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila, amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa

Taarifa Ya Kusitishwa Kwa Huduma Ya MRI Kwa Muda na Matengenezo ya CT-SCAN

Mbio za Uspika: CCM Wamteua Job Ndugai Kuwania Nafasi ya Spika wa Bunge

$
0
0
Kamati ya wabunge wa CCM leo wampitisha Job Ndugai kuwania nafasi ya Spika wa Bunge baada ya wagombea wengine; Abdula Mwinyi na Dk Tulia Ackson kujitoa kuwania nafasi hiyo.

UKAWA wamtangaza Ole Medeye kuwa Mgombea Uspika

$
0
0
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umemteua, Goodluck Ole Medeye (Chadema) kusimama katika nafasi ya uspika,huku katika nafasi ya unaibu Spika akiteuliwa,Magdalena Sakaya wa Chama Cha Wananchi (CUF). Tangu kuanza kwa mchakato wa kumpata mwakilishi aliyekuwa anatazamiwa kuwakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika kinyang’anyiro cha nafasi

Watu 5 Waliofukiwa na Kifusi Kwa Siku 41 Katika Machimbo ya Dhahabu Nyangarata Waokolewa Wakiwa Hai.

$
0
0
WACHIMBAJI wadogo wa madini waliopotea kwa kufunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Nyangarata, Kahama mkoani Shinyanga, Oktoba 5 mwaka wamepatikana, watano wakiwa hai na mmoja akiwa amefariki. Taarifa hiyo imetolewa leo na Afisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wachimbaji hao ambapo amesema kuwa waliishi chini ya mgodi

Kifo cha Mwenyekiti wa Chadema Geita: BAVICHA Waapa Kulipa Kisasi

$
0
0
BEN SAANANE ambaye ni mkuu wa Idara ya sera na utafiti wa chadema akionyesha baadhi ya picha za mauaji ya viongozi wa Chama hicho yaliyowahi kufanyika na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa jambo ambalo sasa wamesema wamechoka na wameamua kujilinda wenyewe kwa kuhakikisha kuwa wanawakamata wale wote walioendesha tukio la GEITA ************** Baraza la vijana la chama cha 

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Bugando Walaani Polisi Kupiga Mabomu ya Machozi Hospitalini Hapo

$
0
0
Uongozi wa hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza, umelaani matumizi mabaya ya mabomu ya machozi yaliyofanywa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa lengo la kuwatawanya wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo ( Chadema ) ndani ya hospitali hiyo na kusababisha taharuki kubwa kwa baadhi ya wagonjwa pamoja na watumishi wa hospitali hiyo.   Mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Prof. Kien

Mugabe: Raila Odinga Akikanyaga Zimbabwe Nitamkamata Na ‘Kumhasi’ ......Alichokifanya Tanzania Kinatosha

$
0
0
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemshambulia kwa maneno makali mwanasiasa mkongwe wa Kenya ambaye pia ni kiongozi wa chama cha CORDS huku akimpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hiyo. Akizungumza huko Marondela katika hafla iliyowahusisha wanajeshi walioshiriki katika vita mbalimbali, Mugabe alimtuhumu Raila kwa kutaka kumpindua kwenye nafasi yake kwa kuwapandikiza wapinzani nchini
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images