Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MWANAMKE ANYOFOLEWA NYETI ZAKE KWA MADAI YA KULALA NA WAUME ZA WATU...

$
0
0
Mwanake  mmoja  nchini Zimbabwe amekumbwa  na  balaa  la  mwaka  baada  ya  kupoteza  VIUNGO  VYAKE VYA  SIRI ( Uke).... Mwanamke  huyo  alikumbwa  na  balaa  hilo usiku wa kuamkia  tarehe  29 mwezi wa  nne  mwaka  huu... Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia,  mwanamke  huyo  alimka usiku  na  kuelekea  chooni  kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa  kuona  mkojo hautoki.Alipojichungulia

PICHA: MBUNGE MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

$
0
0
Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani leo Watuhumiwa wengine wa vurugu za machinga na polisi wakishuka katika karandinga la polisi Wakili wa Msigwa kulia akiteta jambo nje ya mahakama Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MSIGWA KWA DHAMANA.....

$
0
0
WATUHUMIWA 60 wa vurugu kati ya machinga na polisi mjini Iringa akiwemo Mbunge  wa  Jimbo  hilo, Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa  wanafanyiwa  utaratibu  wa  dhamana  baada ya mahakama  kukubali  kupewa  dhamana.    Awali watuhumiwa  walisomewa mashitaka matatu  huku mbunge  akisomewa shitaka la  kushawishi  watuhumiwa hao kufanya  vurugu.    Watuhumiwa  wote  wamekana

AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA

$
0
0
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu anayoishabikia, Simba kitendo kilichompelekea asuse kula toka Jumamosi.Akizungumza na Suddy Brown katika segment maarufu ya U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama

SPIKA WA BUNGE AAMURU KUFUTWA KWA HOTUBA YA SUGU ILIYOSABABISHA BUNGE LISITISHWE ASUBUHI

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh Anne Makinda, ameamuru kambi ya upinzani kuyaondoa maneno yote yaliyomo kuanzia ukurasa wa kwanza mpaka wa 14 katika hotuba rasmi ya Kambi ya upinzani iliyosmwa na mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi ‘Sugu,’ ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Mh. Makinda ametoa amri hiyo baada ya

BIASHARA YA NGONO YASHIKA KASI DODOMA.....MAKAHABA WA DAR NAO WAPIGA KAMBI

$
0
0
BIASHARA ya ngono katika mji wa Dodoma imeshika kasi kubwa ambapo imebainika kuwa wateja wakubwa ni watumishi wa serikali, wanasiasa na madereva. Uchunguzi wetu  umebaini kuwa katika biashara hiyo kuna makundi mbalimbali yanayotofautiana kwa malipo ya biashara hiyo. Wapo wanafunzi wa vyuo vikuu na wanawake ambao wamedai kuwa wanalazimika kufanya biashara hiyo kutokana na kubanwa na

WATU SITA WANASWA WAKISHOOT VIDEO YA NGONO....

$
0
0
Watu sita mjini  Nakuru Kenya  wametiwa  nguvuni baada  ya  kunaswa  wakipiga  picha  za  uchi  kwa  ajili ya filamu yao ya ngono..... Tukio hili limetokea  ikiwa ni siku chache  tu  baada  ya  kundi  jingine  la  warembo 11  kunaswa  wakifanya  mapenzi  na mbwa  huko  Mombasa.... Habari  zinada  kwamba, tukio hili la Nakuru lilinaswa na walinzi wa jengo ambalo  vijana  hao walikuwa

RAIS KIKWETE AMWAGIA SIFA LOWASSA......AMEDAI KWAMBA LOWASSA NI "JEMBE"

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amemwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hatua ambayo inaweza kutafsiri mengi katika medani ya siasa nchini.    Akizungumza na wabunge wa CCM kwenye Ukumbi wa White House Dodoma juzi, Rais Kikwete ambaye pia mwenyekiti wa chama hicho, alisema nguvu za Lowassa pekee zinatosha kushinda uchaguzi mdogo wa kiti cha udiwani Kata ya Makuyuni kilichoko wilayani

" MATOKEO YA KIDATO CHA SITA".....SIFURI KIBAO ZAFUTWA KIMYA KIMYA

$
0
0
MPANGILIO wa alama mpya za kufaulu kwa wahitimu wa kidato cha sita waliohitimu mwaka jana, ambao matokeo ya mitihani yao yanaweza kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa, unadaiwa kuzua aibu na kama si uamuzi uliotajwa bungeni wa matumizi ya alama za ufaulu za zamani, matokeo hayo yangeibua aibu kama ilivyojitokeza kwa kidato cha nne, 2012. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari kutoka

HII NDIO KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA AJARI YA MELI YA MV BUKOBA ILIYOZAMA TAREHE 21 MAY

$
0
0
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uhokoaji   MV Bukoba ikiwa inazama ilikuwa ni tarehe 21 mei 1996    Makaburi ya Igoma ambako ndugu zetu waliokuwa wakisafiri kwa meli ya MV Bukoba walizikwa. RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli

PROFESA JAY AJIUNGA NA CHADEMA TAYARI KWA KUENDELEZA MAPAMBANO YA KISIASA KAMA MKONGWE SUGU

$
0
0
Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu.  Kujiunga rasmi kwa Profesa kwenye chama hicho kunaashiria kuwa huenda akawa na nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2015. Profesa ameamua

TUKICHOKA KUHUBIRI AMANI, BASI TUJIANDAE KUCHIMBIANA MAKABURI

$
0
0
 Ndugu zangu, Naiona hatari kubwa nyingine inakuja mbele yetu. Ni haya makundi mawili; MaBodaboda na MaMachinga.  Hofu yangu kuna wanasiasa wachache wanaowaona vijana hawa, katika matatizo yao ya kiuchumi, kuwa ni mtaji wa kisiasa. Na kimsingi wanawageuza kuwa ‘ Shuka za Kisiasa’. Na hapa ni wanasiasa wa vyama vyote.   Hatari yake? Viongozi wasipokuwa makini, wakaacha kutanguliza

UJIO WA RAIS OBAMA NCHINI TANZANIA

$
0
0
Rais wa Marekani Bw. Baraka Obama na Mkewe wanatarajia kufanya ziara ya nchi tatu barani Afrika itakayojumuisha nchi za Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania, Kuanzia tarehe 26 Juni hadi tarehe 3 Julai.  Katika ziara yake hiyo, Rais atawekea mkazo umuhimu ambao Marekani inauweka katika ushirikiano wetu wa kina na unaoendelea kuimarika na nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara

BABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI....

$
0
0
   Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.-----   Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes , Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa  akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuivuta. Tukio hilo la aina yake

WASANII WATAKAOTUMBUIZA KATIKA SHOW YA UFUNGUZI WA BIG BROTHER WATAJWA

$
0
0
Show ya ufunguzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa itafanyika Jumapili hii, May 26 nchini Afrika Kusini.  Usiku huo utawaonesha washiriki wote 28 watakaoanza safari ya miezi mitatu ya kuzisaka dola laki tatu za msimu wa nane wa Big Brother Africa, The Chase. Miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye ufunguzi huo ni pamoja na STL wa Kenya, Don Jazzy, D’ Prince na

TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WACHAPANE MAKOFI BUNGENI

$
0
0
Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.Mtafaruku huo uliibuka baada ya Kilango kusikika akimtuhumu Lissu kwa uchochezi, akisema kwamba amekuwa mbunge pekee anayeongoza kwa vurugu.   Maneno hayo hayakumfurahisha Lissu ambaye alishindwa kuvumilia na kumgeukia

GODBLESS LEMA AUMBUKA....VODACOM WADAI KWAMBA ULE UJUMBE WA VITISHO HAUKUTOKA KWA MKUU WA MKOA

$
0
0
KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amedai kuwa uchunguzi wa awali kuhusu ujumbe unaodaiwa kutumwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, umetumwa na mtandao wa simu wa nje ya nchi. Kamanda alisema katika ujumbe huo ambao Lema anadai uliandikwa na Mkuu wa Mkoa Mulongo na kutumwa kwenye simu yake Aprili mwaka huu, uchunguzi wa polisi umeonyesha kwamba haukutumwa

"WASANII WANAOVAA VIMINI KWENYE FILAMU HUWA WANAJIUZA"....MWAKIFAMBA

$
0
0
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema wasanii wanaovaa mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini kwenye sinema wanajiuza.Mwakifwamba aliyasema hayo katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, akiwa ameongozana na msanii Riyama Ally.  Kauli hiyo ya Mwakifwamba imekuja siku chache baada ya sakata la

VIDEO YA MKENYA ANAYELIA BAADA YA OBAMA KUPANGA KUJA TANZANIA NA KUIKACHA KENYA

$
0
0
Rais wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle mwezi ujao atakuwa na ziara katika nchi tatu za Afrika zikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Senegal. Ziara hiyo itaanza June 26 – July 3. Hata hivyo kitendo cha Obama kuiruka Kenya nchi anayotokea baba yake mzazi, kimewaumiza wakenya wengi hasa ukizingatia kuwa hajawahi kuitembelea nchi hiyo tangu aingie madarakani.  HUYU NI MKENYA

KAKA NA DADA WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA KATIKA MAPANGO YA UFUKWE WA COCO

$
0
0
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi   kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi Imefahamika kwamba vijana  hao, kaka na dada   wamenaswa ‘wakingonoka  katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa saa 9 na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images