Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kazi Imeanza: Rais Magufuli Amteua George Masaju Kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali

$
0
0
Saa chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli ameanza kazi kwa kasi zaidi ambap leo hii ameanza kazi kwa kumteua mwanasharia mkuu na kuitisha bunge. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya serikali katika viwanja vya Ikulu Jijijini Dar es salaam katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa Rais Magufuli amaenza kazi  leo hii kwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Nov 6

Kikwete Aaga Kwa Kusamehe Wafungwa 4,160

$
0
0
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Dk Magufuli aliapishwa jana kuwa Rais wa Tano wa Tanzania katika sherehe zilizofana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam huku Kikwete akimaliza miaka yake 10 ya kuongoza nchi kama ilivyoelekezwa na Katiba.

Masaju aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

$
0
0
Rais Dk John Magufuli amemuapisha George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu mjini Dar es Salaam. Huo ni uteuzi wa kwanza kufanywa na Rais Dk Magufuli tangu aapishwe jana katika sherehe zilizofana na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwemo marais takribani wanane toka nchi kadhaa za kiafrika.

Marekani Yatoa TAMKO Kuhusu Uchaguzi wa Tanzania

$
0
0
Tamko la Waziri wa Mambo ya Nje John Kerry kuhusu Uchaguzi wa Tanzania   Kwa niaba ya Rais Obama na watu wa Marekani, nawapongeza watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchaguzi wa rais na wabunge ulioendelea kuthibitisha rekodi nzuri ya Tanzania katika kujenga demokrasia imara.   Wakati Rais John Pombe Magufuli na serikali yake wakichukua majukumu yao, tunatarajia kuendelea na

Masanja Mkandamizaji Kuwania Ubunge Jimbo La Ludewa.

$
0
0
Wagombea tisa akiwemo mdogo wake marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa,Mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Uchaguzi wa kumpata Mbunge wa jimbo hilo ulilazimika kuhairishwa baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Deogratius Filikunjombe.   Miongoni

Serikali Yatoa Picha Rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Magufuli

$
0
0
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiwaonesha waandishi wa Habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambayo itakuwa ikitumika katika ofisi za Serikali na Binafsi ambayo inapatikana Idara ya Habari (MAELEZO) kwa gharama ya Shilingi 15,000/=

Mke wa Lowassa Akataa Ubunge Wa Viti Maalumu Aliopewa na Chadema

$
0
0
Mke wa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, Regina Lowassa, ameikataa nafasi ya ubunge wa viti maalum aliyopewa na kamati Kuu ya chama hicho cha upinzani. Kwa mujibu taarifa wa kutoka familia ya Lowassa iliyotufikia, Regina anaichukulia kwa heshima kubwa nafasi hiyo, lakini anaamini ataweza kushughulikia matatizo ya akina mama

Majambazi Wateka Magari Huku Wakiimba "Hapa Kazi Tu"

$
0
0
Kundi la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali kama mapanga na marungu, juzi waliteka magari katika kijiji  cha Igogo,Wilaya ya Igunga huku wakiimba ‘hapa kazi tu’. Baadhi ya madereva waliokumbwa na dhahama hiyo, walidai kuwa baada ya kusimamishwa na majambazi hao waliwashambulia kwa marungu na bapa la panga huku wakiwaamrisha watoe fedha na simu za mkononi huku

TB Joshua Ayeyuka Ghafla...... Aacha Maswali Mazito Hapa Nchini

$
0
0
Muhubiri wa kimataifa nabii maarufu duniani Temipote Balogun maarufu kama TB  Joshua ameacha maswali baada ya kushindwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa awamu ya tano Dk.John Magufuli. TB Joshua aliwasili nchini November 03 kwa ndege binafsi na kupokewa na Dk.MAGUFULI pamoja na Mbunge mteule Mwigulu Nchemba katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere,Dar es salaam.

Picha: Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza

$
0
0
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano.

Hapa Kazi Tu: Rais John Pombe Magufuli Afanya Ziara Ya Ghafla Wizara Ya Fedha

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo.   Akitembea kwa miguu na maofisa usalama kuelekea  Wizara ya Fedha.   **** Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa

Tazama VIDEO Hii Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao.  Tazama  Video  hii  kuona  kilichotokea (function(d, s, id) { var js, fjs = d.getElementsByTagName(s)[0]; if

Polisi yapiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa nchini

$
0
0
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa. Akizungumza na wanahabari jijini  Dar es Salaam leo, msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP), Advera Bulimba amesema, polisi imefikia hatua hiyo kutokana na hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa. Kwa

Urusi yapinga Ripoti ya Marekani kuanguka ndege ya Nchi hiyo, Putin Afanya Maamuzi Magumu

$
0
0
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepiga marufuku safari ya ndege zote za Urusi kuelekea nchini Misri hadi pale itakapobainishwa kwa usahihi sababu zilizopelekea kuangushwa kwa ndege ya nchi hiyo, Metrojet Flight 9268 katika eneo la Sinai, Jumamosi iliyopita. Uamuzi huo wa Rais Putin umekuja kufuatia mapendekezo yaliyotolewa na mkuu wa kitengo cha huduma za ulinzi za Urusi, Alexander

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Aondoka Rasmi Ikulu Na Kuelekea Kijijini Msoga Leo

$
0
0
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. Kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais Mstaafu Kikwete akiagana na

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa idadi ya Wabunge wa Viti Maalum .....CCM viti 64 CHADEMA viti 36 CUF viti 10

$
0
0
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam.   Jaji Lubuva akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari alisema kwamba, kwa mujibu wa Ibara ya 66(1) (b) na Ibara ya 78 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na

Update: Serikali YASITISHA Matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli

$
0
0
Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena. Awali majira ya saa 6: 00 mchana leo Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais,

Wafuasi 17 wa Chadema Kizimbani

$
0
0
WATU 17 wanaodaiwa ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Igunga mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani kwa mara ya pili wakikabiliwa na shitaka moja la kufanya mkusanyiko usio halali wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015 katika eneo la Halmashauri ya wilaya hiyo.   Awali Mwendesha Mashitaka wa Polisi wilaya ya Igunga, Elimajid Kweyamba akiwasomea

Sakata la Uchaguzi Kufutwa: Wapinzani Zanzibar Wagawanyika

$
0
0
Vyama vya upinzania kisiwani Zanzibar vimetofautiana kuhusu uamuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa maelezo kuwa haukuwa huru na haki. Jana Chama Cha ACT-Wazalendo kiliunga mkono chama cha CUF, kupinga uamuzi huo wa Mwenyekiti wa ZEC. Akiongea na waandishi wa habari visiwani humo, Makamu mwenyekiti wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images