WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta ametangaza kuwa atawania nafasi ya Spika ili kuliongoza Bunge la 11. Sitta aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa amekuwa kada wa kwanza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitosa katika mchuano wa kuwania nafasi hiyo nyeti wakati huu ambao Bunge limevitaka vyama vya siasa viwe tayari kwa ajili ya kupeleka majina ya wateule wao wa nafasi hiyo mara itakapotangazwa
Samuel Sitta Kuwania Nafasi ya Kuwa Spika Wa Bunge la 11
↧
↧
Habari zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Nov 4
↧
LHRC: Polisi Wanaendelea Kushikilia Vifaa vyetu vya Kazi
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen-Kijo Bisimba, amesema vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na kituo hicho kukusanya taarifa za uchaguzi vilivyochukuliwa na polisi, havijarudishwa.
Alisema hayo alipokuwa akizungumza na mwandishi jana na kufafanua kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na polisi, bado uchunguzi dhidi ya vifaa hivyo unaendelea na vitarudishwa
↧
Sakata la Z'bar Lakwamisha Vyama Vya Siasa Kumuaga Rais Kikwete
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeahirisha kwa mara ya pili
hafla ya vyama vya siasa kumuaga Rais Jakaya Kikwete baada ya kumaliza
miaka 10 ya uongozi wake kwa mujibu wa katiba.
Hafla hiyo inayoratibiwa na Baraza la Vyama vya Siasa ilipangwa
kufanyika jana baada ya Oktoba 2, mwaka huu kuahirishwa ili kutoa
fursa kwa Rais Kikwete kushughulikia mvutano wa uchaguzi wa
↧
Serikali Yakanusha Taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa amefariki Dunia.
Akizungunza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mwambene amesema Rais Mkapa yupo salama na mzima wa afya na hakuna maradhi yoyote yanayomsumbua.
Mwambene amewaasa watumiaji
↧
↧
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mwanamuziki Queen Darleen, Diamond Plutnumz amzawadia gari mpya
Leo star na mkongwe wa Bongo Flava aitwae Queen Darleen, anasheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Sasa kaka yake ambaye pia ni Icon wa Muziki Afrika hivi sasa Naseeb
‘Diamond’ Abdul, ameamua kumzawadia zawadi ya gari mpya dada yake.
kupitia ukurasa wake wa Instagram, Plutnumz ameweka picha ya gari hiyo na kuandika ‘Happy Birthday my luvly and beutiful sisy.. let dat small
↧
Kesho Alhamisi, Novemba 5, Ni Sikuu Na Mapumziko.......Rais Kikwete ametangaza Mapumziko ili Kuikaribisha Serikali Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka
huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania
kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya
Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
↧
Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna tofauti za kisiasa kisiwani Zanzibar baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika .
↧
Wema Sepetu Amtusi Diamond Baada Ya Kununua Gari La Milioni 200 ( Range Rover )
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameangusha bethidei baab’kubwa ambayo imesheheni kufuru ya aina yake na ‘kumtusi’ hadharani mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumsema kuwa ni mtu wa kununua magari ya bei rahisi hivyo hawezi kuifikia hadhi yake.
Sherehe hiyo iliyosheheni mastaa kibao Bongo, ilifanyika katika ukumbi wa Wema Sepetu uliopo ndani ya jengo la Millenium Towers,
↧
↧
Asimilia 82 ya Wanafunzi Wakosa Mikopo 2015/16
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo
↧
Jukwaa la Wahariri Walaani Tukio la Kuzomewa Dk Reginald Mengi na Wafuasi wa CCM
JUKWAA la Wahariri (TEF), limelaani kitendo cha kuzomewa na kudhalilishwa kwa waandishi wa habari wa ITV, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, Oktoba 30 mwaka huu.
Akizungunza na waandishi wa habari Katibu wa Jukwaa hilo, Neville Meena amesema kuwa kitendo hicho si cha kukaliwa kimya kutokana na kukwaza utendaji wa kazi na kudhalilisha utu wa waandishi hao mbele ya
↧
Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa Dr. Magufuli
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema kuwa hawatashiriki shughuli ya kuapishwa kwa Dk. John Pombe Magufuli inayotarajiwa kufanyika Alhamis, Novemba 5, 2015.
Kauli hiyo ya Mwenyekiti Mbowe aliyoitoa leo, imekuja wakati kukiwa bado kuna
↧
T.B Joshua Akutana na UKAWA Kwa Lowassa
Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la
miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa
na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe, James Mbatia pamoja na
mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati
alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini
↧
↧
Tanzania Ya VIWANDA Kuanza Rasmi Leo...... Dunia Kushuhudia Kiapo Cha Magufuli
Hatimaye Tanzania inatarajia kuanza safari mpya ya mabadiliko ya kweli masaa machache yajayo baada ya Rais Mteule Dkt. John Magufuli kuapishwa jijini Dar es Salaam, zoezi litakalo hitimisha uongozi wa Rais Jakaya Kikwete.
Kuapishwa kwa Dkt. Magufuli kutafungua ukarasa mpya wa Tanzania ya Viwanda aliyoiahidi katika kila jukwaa alilopanda kuwaomba kura watanzania katika maeneo mbalimbali, “
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Nov.5
↧
Mawaziri Waagizwa Kurejesha Ikulu Magari ya Serikali leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza Mawaziri na Naibu Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa uongozi.
Jana Balozi Sefue alisema baada ya Bendera ya Rais kuteremshwa na kabla Bendera ya Rais mpya kupandishwa, magari ya mawaziri na Naibu Mawaziri, yatabadilishwa namba kwa kuondoa herufi ya
↧
Updates Toka Uwanja wa Uhuru Katika Sherehe za Kuapishwa Dr Magufuli
Leo Rais mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli anaapishwa rasmi ambapo asubuhi hii viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili uwanja wa uhuru kushuhudia sherehe hizi.
Watu ni wengi sana, mvua nayo inanyesha kuonyesha ni tukio lenye baraka
↧
↧
Dkt. Magufuli Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania
Hatimaye, Dkt. John Magufuli ameapishwa rasmi na kuwa Rais wa
serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
akihitimisha rasmi uongozi wa serikali ya awamu ya nne iliyoongozwa na
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Rais Magufuli na makamu wake Bi.
Samia Suluhu wamekula kiapo leo katika sherehe zilizofanyika katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mbele ya viongozi wa
↧
Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa
John Pombe Joseph Magufuli (56) ameapishwa mapema leo kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Jaji Othaman Chande Rais John Magufuli alitoa neno la shukrani kwa watanzania na kuwataka washindani wake saba waliokuwa wakichuana katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu kuweka
↧
Picha 39 za Dr Magufuli Alivyokula Kiapo Cha Kuwa Rais Na Kukagua Gwaride Kwa Mara Ya Kwanza
==>Picha ziko zaidi ya 39, zote ziko hewani ili Ushuhudie tukio hili la kipekee > Uendelee nazo
↧
More Pages to Explore .....