Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MREMA Afunguka: Sijakata Tamaa, Nitaendelea Kuwania Nafasi Mbalimbali za Kisiasa

$
0
0
Mwenyekiti wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, amesema hata kama vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimefanikiwa kumwangusha kwenye kinyang’anyiro cha ubunge katika Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, bado ana nguvu ya kuendelea kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa na wala hajakata tamaa ya kukisuka upya chama chake. Mrema aliangushwa katika kiti

Dr. Magufuli Ashauriwa Kutofanya Uteuzi Wa Baraza la Mawaziri Kwa Kulipa FADHILA

$
0
0
RAIS Mteule wa awamu ya tano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli, ameshauriwa kuwa makini katika uundaji wa Baraza lake la Mawaziri kwa kuepuka masuala ya kujuana au kuteua kwa shinikizo la baadhi ya wanasiasa wenye masilahi binafsi.   Akizungumza na m,wandishi wetu jana jijini Dar es Salaam, Mhadhiri mstaafu wa masuala ya Uongozi katika Chuo Kikuu cha Mzumbe,

Mwanajeshi FEKI Akamatwa Kigoma

$
0
0
Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo. Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza. Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles

Rais Kikwete Amteua Ramadhan Kaswa Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua  Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba  30, mwaka huu, 2015. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi,  Mkoa wa Tanga. Imetolewa na:   Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, DAR ES SALAAM. 2 Novemba, 2015

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza Lazuia Maandamano ya Kumpinga Magufuli

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limepiga maarufuku maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi, Rais mteule wa awamu ya tano, John Magufuli. Kauli hiyo ilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa mwanza, Kamishna Msaidizi, Charles Mkumbo, wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambako alisema ni marufuku kwa mtu yeyote yule

Polisi Shinyanga Yapiga Marufuku Maandamano ya Novemba 3 Kupinga Ushindi wa Magufuli

$
0
0
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limezuia maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 03,2015 katika mji wa Shinyanga kwa lengo la kupinga matokeo yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25,2015. Akizungumza na waandishi wa habarijana,i kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP Justus Kamugisha

Polisi SINGIDA Yapiga Marufuku Maandamano Novemba 3 Kupinga Ushindi wa Dr Magufuli

$
0
0
JESHI la polisi Mkoani Singida limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na vyama vya siasa vilivyosimamisha mgombea wa Urais chini ya mwavuli wa UKAWA,kufanyika nov,03,mwaka huu kwa nchi nzima kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi nchini (NEC). Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake jana,kamanda wa polisi Mkoa wa Singida,Kamishna Msaidizi wa polisi (ACP)

Polisi Kanda ya Pwani (Pwani, Dar es Salaam, Morogoro) Yapiga Marufuku Maandamano Novemba 3 Kumpinga Magufuli

$
0
0
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria. Kamanda wa Kanda hiyo, Suleiman Kova aliwaambia waandishi wa habari jana ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, kwamba maandamano hayo yana viashiria vya uvunjifu wa amani. Maandamano

Yericko Nyerere Apandishwa Kizimbani kwa Kutoa Taarifa za Uongo Facebook

$
0
0
Mfanyabiashara Yericko Nyerere amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matano ya kutoa taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook. Nyerere alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka na mawakili wa Serikali, Simon Wankyo na Paul Kadushi mbele ya Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha. Anashitakiwa chini ya Kifungu cha 16

Mafuriko ya maji ya mvua yaua wawili Mwanza ....Uwanja wa Ndege Wafungwa Kwa Muda

$
0
0
MVUA kubwa imenyesha mkoani Mwanza na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka. Aidha, mvua hiyo imesababisha kufungwa kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza kutokana na kujaa maji. Mvua hiyo inasadikiwa ndiyo mwanzo wa El-Nino kutokana na taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kueleza jana kwamba, kutakuwa na

Maandalizi Kumwapisha Magufuli Yaiva

$
0
0
WAGENI wa kimataifa zaidi ya 50 wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli zitakazofanyika keshokutwa jijini Dar es Salaam. Ofisa Uhusiano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Rosemary Malale, alisema orodha hiyo ya wageni walioalikwa, inajumuisha mashirika ya kimataifa, mashirika ya kikanda, wakuu nchi na mabalozi. Rais mteule

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Nov. 3

CCM Yafuta Ushindi wa Mtoto wa Dk Abdallah Kigoda

$
0
0
Kamati Kuu ya CCM imefuta matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Handeni, mkoani Tanga ambako Omar Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa mbunge wa zamani, marehemu Abdallah Kigoda alikuwa ameshinda. Akizungumza jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema jana kuwa kutokana na kufutwa kwa matokeo hayo, uchaguzi wa kura maoni katika jimbo hilo unarudiwa leo. Alifafanua

CCM Watuhumiana kwa Unafiki kila Kona

$
0
0
Baada ya upepo wa Uchaguzi Mkuu kuanza kutulia, baadhi ya makada wa CCM wameanza kutuhumiana kuwa unafiki na hujuma zilizofanywa na baadhi ya wanancha wa chama hicho zimesababisha kishindwe kufanya vizuri katika baadhi ya maeneo kwa ngazi za udiwani na ubunge. Baadhi ya makada hao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakieleza kuwa CCM ina ‘wanafiki’ wengi ambao wanaangalia zaidi masilahi yao

Mazoezi ya Kuapishwa Rais Mteule Dr Magufuli yapamba moto jijini Dar

$
0
0
Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.    Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za

TB Joshua Atua Dar es Salaam Kushuhudia Kuapishwa Dr. Magufuli

$
0
0
Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli alimpokea Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua Uwanja wa ndege Dar leo jioni. Mhubiri huyo aliyekuja na watu 40 kwa ndege yake mwenyewe, amekuja kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa. Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli wakibadilishana mawazo na Mhubiri wa

CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini

$
0
0
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe. Akitangaza matokeo hayo Mwenyekiti  aliyesimamia uchaguzi huo Dk Maua Daftari alisema kuwa wajumbe wote kwenye mkutano walikuwa 690 na waliopiga kura ni 660

Chadema ‘Wajigamba’ Kufawafanyisha Polisi Maandamano

$
0
0
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoani Shinyanga leo kimedai kwamba Jeshi la Polisi mkoani humo limefanya maandamano ya Chadema bila kujijua. Kwa mujibu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho walidai kupokea taarifa kutoka kwa uongozi wa juu wa chama hicho ukiwataka kufanya maandamano leo nchi nzima  ya kupinga ushindi wa Dkt. John Pombe Magufuli kwa madai

Chadema Kupinga Ushindi wa Hussein Bashe Mahakamani

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).   Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Hawa Mniga alimtangaza Hussein Bashe kuwa mshindi baada ya kupata kura 18,774 akifuatiwa na

Walioihujumu CCM Wakati Wa Kampeni Kutimuliwa

$
0
0
WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama. Kauli hiyo imetolewa juzi na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tabora Mjini, Abdulrahman Nkonkota alipokuwa akihutubia mkutano wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images