Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Watu Sita Wapoteza Maisha Katika Ajali ya Gari Morogoro

$
0
0
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Princess Muro, lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Tunduma, katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro-Iringa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la hifadhi ya taifa ya

Kidato cha Nne Kuanza Mtihani wa Taifa kesho

$
0
0
WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea, wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne, kuanzia kesho hadi Novemba 27 mwaka huu. Idadi hiyo ni ongezeko la watahiniwa 150,870 ikilinganishwa na watahiniwa 297,488 waliosajiliwa mwaka 2014. Aidha, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde alisema jana kwamba baraza lake halijapokea taarifa ya kuwapo

Wolper adai Lowassa ni Shupavu Na Jasiri

$
0
0
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Jacqueline Wolper, aliyekuwa mstari wa mbele kumsapoti mgombea urais kwa mwavuli wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa, amedai kuwa kwake yeye mheshimiwa huyo ndiye kiongozi shupavu na jasiri. Wolper, amemmwagia sifa lukuki waziri mkuu huyo wa zamani na kuwataka Watanzania kuwa pamoja katika kuijenga nchi na kudai kuwa Mh. Lowassa amekuwa mstari wa mbele kwa

Baada Ya Kushinda Udiwani, Baba Levo Kutumia Milioni 110 Kufungua Studio Kubwa Kigoma

$
0
0
Baba Levo ambaye hivi sasa ni mheshimiwa Diwani Mteule wa Kata ya Mwanga, Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT –Wazalendo, amepanga kubadili mazingira ya muziki Kigoma na kuwavuta wasanii wa Dar es Salaam katika mji huo kupitia uwekezaji wa zaidi ya milioni 110. Msanii huyo wa Bongo Flava ameeleza kuwa baada ya kushinda udiwani, amepanga kutekeleza ahadi yake ya kuanzisha studio kubwa ya muziki

Butiku: Wazanzibar Msikubali Kurudia Uchaguzi

$
0
0
Taasisi ya mwalimu Nyerere imeitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC kufanya kazi kwa kuzingatia katiba ya nchi na sheria na sio kutanguliza mbele maslahi binafsi ya kisiasa hatua ambayo inaweza kusababisha machafuko na umwagaji wa damu.   Akizungumza na vyombo vya habari mjini Musoma, mkurugenzi mtendaji wa

Highnes Kiwia Kupinga Matokeo Ya Mabula Mahakamani

$
0
0
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Highnes Kiwia, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa ushindi, Angelina Mabula (CCM). Kiwia amesema kuwa matokeo yaliyompa ushindi Mabula yalikuwa ni ya kutengenezwa ili kumbeba mgombea huyo wa CCM kabla ya kufanyika kwa uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari jana,

CCM Washikana 'Uchawi' Baada ya Kulipoteza Jimbo La Bunda

$
0
0
BAADHI ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bunda wamemtuhumu mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Chacha Gimanwa, kwamba alichangia jimbo la Bunda Mjini kuchukuliwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Vijana hao walitoa tuhuma hizo, juzi wakati wakitembea matembezi ya amani ya kushangilia ushindi wa

Matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015 Yako Hapa

$
0
0
Haya  ndo  Matokeo...Bonyeza  Mkoa   husika  kuyaona ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA IRINGAKAGERAKIGOMA KILIMANJAROLINDIMARA MBEYAMOROGOROMTWARA MWANZAPWANIRUKWA RUVUMASHINYANGASINGIDA TABORATANGAMANYARA GEITAKATAVINJOMBE SIMIYU

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Novemba 2

Wabunge Wateule Waitwa Dar Katika Hafla ya Kuapishwa Dk. Magufuli.

$
0
0
Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam, imewataka wabunge wote wateule walioko majimboni kufika katika ofisi hizo Jumatano wiki hii kwa ajili ya kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule itakayofanyika Novemba 5, mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu wa Bunge, John Joel, alisema wabunge wateule watakaohudhuria

Kafulila Adai Kuporwa Ubunge....Asema Atafungua Kesi Mahakamani ili Atangazwe Mshindi

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, ambaye ametangazwa kushindwa katika jimbo hilo uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu, ameibuka na kusema anakusudia kwenda mahakamani ili atangazwe kuwa mshindi wa jimbo hilo. Amedai kwa mujibu wa kura alizokusanya kupitia mawakala wake katika vituo 182, alishinda kwa kura 34,149 dhidi ya

Dr. Shein Aongozewa Muda Wa Urais Zanzibar

$
0
0
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetoa tamko kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, ataendelea kushikilia wadhifa huo hadi hapo rais mwingine atakapochaguliwa kihalali na kuapishwa.   Akitoa taarifa ya Serikali kwa vyombo vya habari mjini hapa jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, alisema Katiba ya Zanzibar inamruhusu kuendelea na wadhifa

Vifaru na Magari ya Maji ya Kuwasha Havitaleta Ufumbuzi Wa Mgogoro Zanzibar-CUF

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kuwa ufumbuzi wa mgogoro wa Zanzibar hauwezi kupatikana kwa kutumia nguvu au vitisho vya kuingiza vifaru na magari ya maji ya kuwasha, kama inavyotokea sasa; bali kinachotakiwa ni meza ya majadiliano.   Tamko hilo limetolewa na mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, alipozungumza na waandishi wa habari mjini hapa.   Aliwataka wafuasi wa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Yafafanua Ongezeko la wapiga kura

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ongezeko la wapigakura limetokana na idadi hiyo kuongezeka baada ya kufanya uhakiki kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kabla ya Uchaguzi Mkuu. Kabla ya uchaguzi huo uliofanyika Jumapili iliyopita, katika taarifa yake, tume ilisema jumla ya wapiga kura 23.78 milioni waliandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa Biometric

Nafasi Za Mafunzo Ya Ujasiliamali

$
0
0
Kituo  cha  NEEMA  HERBALIST  TRAINING  CENTER, kinatangaza  nafasi za  kujiunga  na  MAFUNZO  YA  UJASIRIAMALI. Sifa  za  mwombaji  awe  na   akili  timamu, mwenye  uwezo wa kusoma  na  kuandika Masomo  yatakayo  fundishwa  katika  mafunzo  haya  ni  pamoja  na A.USINDIKAJI   WA  DAWA  ZA  MIMEA  NA  MBOGAMBOGA. Vipengele  vitakavyo  fundishwa  katika  somo  la  usindikaji  wa  dawa

Kingunge Kuzungumzia Uchaguzi Mkuu WA Oktoba 25

$
0
0
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amesema atazungumzia mchakato wa Uchaguzi Mkuu baadaye baada ya kukusanya taarifa za kutosha. Akizungumza kwa njia ya simu baada ya kuombwa kutoa maoni yake kuhusu Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni na Dk John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutangazwa mshindi, Kingunge bila kufafanua zaidi alisema: “Nitazungumzia mchakato wa

Ijue Sayansi Ya Kusimama Kwa Uume

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze 

Ikulu Yakanusha Kikwete Kutopokea Simu Ya Maalim Seif Shariff Hamad

$
0
0
Wakati saa 48 zilizotolewa na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea na mchakato wa majumuisho ya kura na kumtangaza mshindi wa urais wa Zanzibar zikiwa zimemalizika, Ikulu ya Jamhuri ya Muungano imesema haijapokea maombi ya Maalim Seif kutaka kuonana na Rais Jakaya Kikwete. Ijumaa iliyopita, Maalim

Lipumba aibukia ofisi za CUF...Amtaka Rais Kikwete Akabidhi Zanzibar Kwa Maalim seif Kwa Kuwa Yeye Ndo Mshindi

$
0
0
Hatimaye aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amejitokeza kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Buguruni jijini Dar es Salaam na kumtaka Rais Jakaya Kikwete amalize haraka mgogoro wa uchaguzi uliopo Zanzibar kabla ya kumpisha        mrithi wake,    Dk. John Magufuli. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi kuu

Lowassa Asema Anajipanga Upya Kwa Awamu Ya Pili....Ukawa Kuhamishia Kambi Zanzibar

$
0
0
Hatimaye aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa ametangaza kurudi nyuma na kujipanga upya kwa awamu ya pili. Akiongea juzi  kwenye tafrija fupi ya kuishukuru timu yake ya kampeni pamoja na wananchi waliomuunga mkono, Lowassa aliwataka wote waliokuwa wanamuunga mkono kutokata tamaa na kujipanga upya kwani awamu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images