Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mahakama Yawang’ang’ania Vijana wa Chadema Waliokuwa Wakijumlisha Matokeo ya Lowassa

$
0
0
WASHITAKIWA nane wamefikishwa mahakani kwa kosa la jinai ya kukusanya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Urais mwaka huu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuyachapisha kupitia mitandao ya kijamii bila ya kuihusisha tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Washitakiwa hao, Mashinda Edwin Mtei (45),Mkazi wa Tengeru-Arusha, Julius Mwita (30), Mkazi wa Magomeni-Dar es Salaam, Frederick Eddie

Breaking News: Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefuta Matokeo yote ya Uchaguzi mkuu Zanzibar.

$
0
0
Tume  ya  Uchaguzi  Zanzibar  imeufuta uchaguzi  mkuu wa  Zanzibar  kutokana  na  kuwa  na  dosari  nyingi  ikiwemo uchaguzi  kutokuwa  huru  na  wahaki  Mwenyekiti  wa  ZEC  amewaambia  waandishi  wa  habari   mchana  huu  kuwa  amechukua  maamuzi  hayo  baada  ya  kujiridhisha  kuwa  uchaguzi  uligubikwa  na  dosari  nyingi. "Mimi nikiwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar,

Breaking News: LOWASSA Apinga Matokeo......Aitaka Tume Ya Uchaguzi Kusitisha Mara Moja Utangazaji Wa Matokeo Hayo

$
0
0
Ndugu waandishi wa habari; Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kote nchini.   Hii ni kwa sababu, upo ushahidi wa wazi unaothibitisha kwamba utangazaji wa matokeo hayo umevurugwa kwa

Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini Wapinga Uchaguzi Mkuu Kufutwa Zanzibar

$
0
0
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.   Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.   Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila

Updates: Vyama Vya Siasa Vinatia Saini Muda Huu Kukubali Matokeo Yaliyotangazwa

$
0
0
Vyama vyote vilivyosimamisha wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeridhia usahihi wa matokeo ya Urais isipokuwa CHAUMMA na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)   Hivi sasa wawakilishi wa vyama hivyo vilivyoridhia wanasaini fomu maalumu kuridhia matokeo hayo.   CHADEMA hakikuwakilishwa katika kikao cha kuridhia matokeo wakati mwakilishi wa CHAUMMA aliyekuwepo

Breaking News: Dr John Pombe Magufuli Atangazwa Rasmi Kuwa Mshindi Wa Kiti cha Urais wa Tanzania kwa Asilimia 58.46

$
0
0
Tume ya uchaguzi ya Tanzania Bara (NEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji Damian Lubuva   imemtangaza  Rasmi  mgombea  Urais  wa  CCM, Dr John Pombe  Magufuli  kuwa  mshindi  halali  wa  kiti  cha  Urais  katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya jumapili wiki iliyopita.   Kwa  Mujibu  wa  jaji  Lubuva, Dr  magufuli  amepata  ushindi  wa  kura Milioni 8 ( 8,882,935  ) sawa  na  asilimia  58.46

Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

$
0
0
Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi

Ridhiwani Asema Hana Chuki na Wasiompigia kura

$
0
0
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete amesema hana chuki kwa wale ambao hawakumpigia kura kwenye uchaguzi uliofanyika Jumapili kwani hizo ni changamoto za uchaguzi. Aliyasema hayo jana kwenye Uwanja wa Miembe Saba mjini Chalinze wakati wa mkutano wa hadhara wa kuwashukuru Wanachalinze kwa kumchagua kuwa mbunge kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika

Mambo Yaliyombeba Dr. Magufuli Kushinda Urais Wa Tanzania

$
0
0
Tanzania  imeandika historia mpya, ambapo jana imempata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli, ambaye alikuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu uliohitimishwa Jumapili ya Oktoba 25, mwaka huu. Dk Magufuli ambaye katika kampeni ya kuwania urais alikuwa na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu, si mgeni katika safu za uongozi wa Tanzania kwa kuwa amekuwa

Vyama 6 Yyamtaka Mwenyekiti ZEC Ajiuzulu......Maalim Seif atoa Wito kwa Rais Kikwete Na Dk Shein

$
0
0
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia katiba na sheria za nchi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mtendeni Maalim Seif amesema marais hao wawili kuheshimu maamuzi ya Wazanzibari waliyoyafanya tarehe 25 Oktoba

Rais Kikwete Alivyomkaribisha Kumpongeza Dk. Magufuli Baada ya Matokeo ya Urais Kutangazwa

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja

Update: Dr. Magufuli Akabidhiwa Rasmi CHETI Cha Ushindi wa Kiti cha Urais

$
0
0
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa kiti cha urais, Dk John Pombe Magufuli  na  mgombea  mwenza  wake  Samia  Suluhu  katika  Ukumbi wa Diamond Jubilee  asubuhi  hii. Katika  tukio  hilo, Wagombea urais wa Chadema Edward Lowassa na Hashim Rungwe wa Chauma wamesusia sherehe hizi  za kukabidhiwa cheti cha ushindi Dk John

Lembeli Aeleza Hatma Yake Baada Ya Kushindwa, Ajibu Tetesi Juu Yake

$
0
0
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema. Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya

Tamko: CUF yaipa ZEC siku tatu kukamilisha mchakato wa uchaguzi ........Isipofanya Hivyo Wananchi Wataamua Wenyewwe

$
0
0
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema hakuna malalamiko yoyote yaliyowasilishwa katika siku ya upigaji kura. Maalim Seif ambaye ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kuwa mawakala wa CCM wameitwa pamoja na maofisa wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) katika kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake Chake,

Raila Odinga Ampongeza Magufuli....Atoa Ushauri Kwa Lowassa

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania.   Aidha, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe. Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na kushindwa na Rais Uhuru Kenyatta.   Ameeleza pia

38 kizimbani kwa kufanya vurugu Mbagala wakati wa uchaguzi

$
0
0
 Watu 38 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  K isutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kutoa vitisho vya shinikizo kwa msimamizi  atoe matokeo ya Ubunge ya Mbagala bila ya kufuata utaratibu na  kuchoma maboxi 11 ya kupigia kura  na karatasi za kupigia kura zenye thamani ya Sh 2.2 milioni. Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali  Mwandamizi, Joseph Maugo akishirikiana

Rais Mteule, Dr. Magufuli Aikosoa CCM.....Awataka Wanafiki Walioko Ndani Ya CCM Wajisalimishe Mapema

$
0
0
Rais Mteule Dk John Magufuli ameamua kufunguka kuhusu ugumu aliokabiliana nao wakati wa mchakato wa kampeni akieleza kuwa  uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa kutokana na hujuma zilizofanywa na wanafiki waliojificha ndani ya Chama cha Mapinduzi(CCM). Amesema amekerwa na hali hiyo kiasi cha kushindwa kuvumilia kuizungumzia jana, hasa baada ya kuona  uchaguzi umekwisha,

Profesa Kitila Mkumbo Amtaka Lowassa Akubali Yaishe

$
0
0
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi hiyo. Pia Profesa Mkumbo alisema mgombea huyo kisheria, hakuwa na haki ya kujitangaza mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi wa mwaka huu. Juzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza

UKAWA Watoa Tamko Zito Lenye Masharti Manne

$
0
0
Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamesema baada ya kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wana taarifa za uhakika kwamba Maalim Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (Cuf) anayeungwa mkono na Umoja huo, ameshinda urais wa Zanzibar. Taarifa iliyotolewa na viongozi hao jana kwa vyombo vya habari imetoa masharti  manne kufuatia

Hali ni Tete Zanzibar....Bomu Lategwa Kituo cha Polisi, JWTZ Waliwahi na Kulilipua

$
0
0
Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ), limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunazini karibu na kituo cha polisi mjini Zanzibar.   Bomu hilo lilitegwa na watu wasiofahamika na jeshi la polisi lilipata taarifa ya kutegwa kwa bomu hilo kutoka kwa wasamaria wema. Akizungumza na mwandishi wetu, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images