CCM inafuatilia kwa karibu zoezi zima la uchaguzi kote nchini. Leo, tarehe 25.10.2015, saa kumi alasiri, CCM itafanya mkutano na waandishi wa habari. Hata hivyo, kabla ya hapo, tunapenda kuelezea yafuatayo yanayojiri katika zoezi la upigaji kura linaloendelea:
1. Utaratibu wa kupiga kura ndani ya kituo unachukua muda mrefu na kusababisha watu kukaa muda mrefu kwenye mistari. Ni muhimu
Taarifa Maalumu Ya CCM Kuhusu Zoezi Zima La Kupiga Kura
↧
↧
Balaa Sumbwanga: Wanachi Wachoma MOTO Vifaa Vya Kupigia Kura......Wasimamizi Wapigwa Na Kujeruhiwa
Watu wapatao 200 wameteketeza kwa moto vifaa vya kupiga kura huku wengine wakiwajeruhi wasimamizi wa uchaguzi kwa kile kinachoonekana kuwa ni hofu ya kusambazwa kwa kura feki.
Katika tukio lililotokea wilaya ya Sumbawanga, watu hao wanadaiwa kuteketeza vifaa mbalimbali yakiwamo makasha 45 ya kuhifadhia kura wakidai kuwa yalikuwa na kura ambazo tayari zilikuwa zimeshapigwa .
↧
Vunjo: Wasimamizi Wawili wa Uchaguzi Wajeruhiwa Vibaya Baada Ya Kunaswa Wakisafirisha Kura FEKI
Wasimamizi wasaidizi watatu wamejeruhiwa kwa kipigo kutoka kwa
wananchi waliowashuku kusafirisha masanduku yenye kura
zilizokwishapigwa usiku wa kuamkia jana.
Tukio
hilo liliwalazimu polisi kupiga mabomu ya machozi mfululizo kwa nyakati
tofauti kati ya saa 5:00 na saa 8:00 usiku wa kuamkia jana ili
kuwatawanya wananchi waliofurika kituo cha Polisi Himo.
Tafrani
hiyo iliibuka baada
↧
Uchaguzi Wahairishwa Bariadi Kwa Kukosa Karatasi za Udiwani
Wakati zoezi la upigaji kura likiendelea nchi nzima wakazi wa kata ya Matongo, jimbo la Bariadi, mkoani Simiyu wameshindwa kupiga kura kwa nafasi ya udiwani kwa kile kinachodaiwa uhaba wa karatasi za kupigia kura.
Akiongea na waandishi wa habari Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo Abdallah Malela amesema kukosekana kwa karatasi ndicho chanzo cha uchaguzi kwa ngazi ya udiwani
↧
Tuhuma za Kura FEKI Moshi na Pemba
Hii imeripotiwa kutokea Moshi
Tazama Video Hii
Hii imeripotiwa kutokea Pemba
↧
↧
Hadi sasa Wananchi wa Kituo cha Kimara Stop Over Jijini Dar es Salaam Hawajapiga Kura.....Tume Imesema Wasimamizi Wameharibu Vifaa Makusudi
Ripota wetu yupo kituo cha Kimara Stop Over jijini Dar es salaam ambapo hadi sasa wananchi hawajapiga kura hadi muda huu. Tangu saa 12 asubuhi watu wamekusanyika kituoni lakini hakuna hata mmoja aliyepiga kura. Zaidi ya masaa 13 sasa akina mama, vijana na wazee wanasubiri kupiga kura,
Sababu za Kuchelewa
Sababu iliyotolewa na maafisa wa Tume ya uchaguzi ambao wamefika muda mfupi
↧
Gari La Tume Ya Uchaguzi Lazua Utata Kituoni Baada Ya Kukamatwa Likiwa Na Milioni 6
Gari lilokodiwa na tume ya uchaguzi ya Wilaya ya Arumeru Mashariki limezua utata baada ya kukutwa na kiasi cha fedha zaidi ya Sh 6 milioni.
Akizungumzia sakata hilo, Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi, kata ya Imbaseny , Jefason Mwangura ,amekiri kubeba fedha hizo kwenye gari hilo mali ya Enong’oto na kudai kuwa zilikuwa ni za malipo ya wasaidizi wa vituoni kwa ajili ya kujikimu.
Alisema
↧
Matokeo ya Awali Ya Uraisi kujulikana LEO saa Nne Asubuhi
Watanzania wametakiwa kuwa wavumilivu na wenye utulivu wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikiendelea na zoezi la uhesabuji wa kura ili kupata matokeo ya uraisi kutokana na idadi halali za kura.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
↧
Polisi Wavamia Kituo cha Kukusanya Matokeo UKAWA
Polisi jijini Dar es Salaam jana usiku walivamia kituo cha kukusanya matokeo ya nchi nzima cha Chadema kilichopo Kijitonyama na kuwakamata watu wote wanaokiendesha.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini Makene alisema tukio hilo lilitokea saa nne usiku wakati vijana hao wakiendelea kukusanya matokeo hayo.
Alisema kituo hicho kilichokuwa kikiendeshwa na vijana
↧
↧
Mabomu ya Machozi Yarindima Mwanza Kuwatawanya Wafuasi wa Chadema Walioingia Barabarani Kushangilia Ushindi
Polisi mkoani Mwanza jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema walioingia mitaani kushangilia wakiamini wagombea wao wanaongoza katika matokeo ya awali.
Tukio hilo lilitokea kwenye kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Mlimani, eneo la Butimba, Ghana na Shule ya Msingi Buzuluga kwenye majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Taarifa toka
↧
Wananchi wa Moshi Jana Walishambulia Gari La Kampeni Meneja Wa Mbunge Wa CCM Baada ya Kudai lilikuwa Na Kura FEKI
Gari la mmoja wa makampeni meneja wa mgombea ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya CCM, Dk. Cyrill Chami, jana lilishambuliwa na kuharibiwa vibaya na wananchi wakilishuku kuwa na kura bandia.
Katika tukio hilo lililotokea saa 10:00 alasiri katika kijiji cha Uru Kitandu, meneja kampeni huyo wa Dk. Chami aitwaye Kizitto George, aliokolewa na Polisi lakini wakati huo akiwa ameumizwa
↧
Video: Kura FEKI Zakamatwa Shuleni Bukoba Zikiwa Zimepigwa kwa Ajili ya Wagombea wa CCM
Wilayani Bukoba, karatasi za kupigia kura ambazo ziliwekewa alama ya vema kwenye sehemu za wagombea wa udiwani, ubunge na urais, jana ziligundulika nyuma ya bweni la Shule ya Sekondari ya Kahororo.
Karatasi hizo zilikuwa zimesambaa nyuma ya bweni la wanafunzi wa kidato cha sita, hali iliyowafanya wanafunzi wahisi kuwapo kwa karatasi zaidi ndani ya mabweni.
Mmoja wa wanafunzi alisema
↧
ZEC yatangaza Matokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu 2015 Kwa Majimbo Mawili Upande wa Zanzibar Pekee
LEO Majira ya saa nane usiku,Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Salim Jecha, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar kwa majimbo mawili ya Kiembesamaki na Fuoni, ambapo kwenye majimbo yote mawili mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, anaongoza. Zanzibar ilikuwa na majimbo 54
Baki nasi. Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa kikitokea.....Kwa upande wa
↧
↧
Picha 7 Za Ukumbi Utakaotumiwa Na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutangaza Matokeo ya Urais Kuanzia Saa Nne Asubuhi HII
Kwa
mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo
ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4
asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
↧
Vibanda vya Mama Lishe na Mitumba Vyachomwa Moto Mkoani Njombe......Polisi Yawataka Wananchi Kuwa Watulivu Wakati Wakisubiri Matokeo
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.
Hata hivyo, kikosi cha Zimamoto mkoani humo kimefanikiwa kuuzima moto huo usiku wa kuamkia leo ambapo polisi wamesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.
Kwa mujibu kikosi hicho, mabanda mengine yamesalimika katika ajali hiyo.
Hata hivyo,
↧
ZEC Imetangaza Matokeo ya Urais Zanzibar Katika Majimbo Manne Mpaka Sasa.......CCM imeshinda matatu, CUF 1
Hadi sasa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza matokeo ya kura za urais kwa majimbo manne kati ya 54.
Majimbo hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki na Malindi. Dk. Shein wa CCM anaongoza kwenye majimbo matatu ya Kwahani, Fuoni na Kiembesamaki huku Maalim Seif wa CUF akiongoza kwenye jimbo la Malindi.
↧
Zanzibar: Vijana Wawili Wapigwa Risasi Na Vikosi Vya Usalama
Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, taarifa
ni kwamba wamepokelewa watu watatu waliojeruhiwa, wawili kati yao
wakiwa wamepigwa risasi ambapo mmoja tayari anafanyiwa operesheni baada
ya risasi kupitia ubavuni kuelekea ubavu mwengine.
Ripoti kutoka eneo la
Jang'ombe zinaeleza kuwa vikosi vya usalama vilipita eneo hilo na
kuwashambulia vijana waliokuwa wamejikusanya mitaani.
Chanzo : DW
↧
↧
Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye
↧
Ester Matiko (Chadema) Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti cha Ubunge Tarime Mjini
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.
Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya
↧
Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yaanza Kutangaza Matokeo ya Urais......Majimbo Matatu yametangazwa na Yote Yamechukuliwa na CCM
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na Lulindi
Katika majimbo yote matatu yaliyotangazwa, Dr Magufuli ameongoza kwa mbali dhidi ya mpinzani wale Edward Lowassa.
↧
More Pages to Explore .....