Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Ateua Makatibu Wakuu Wanne na Manaibu Katibu Wakuu Watano Wapya

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa leo, Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab

Gari la Serikali Lakamatwa Huko Njombe Likiwa na Maboksi Yaliyokuwa Na Kura Zilizompigia Magufuli

0
0
Maboksi  kadhaa  ya  kura  yamekamatwa  mkoani  Njombe  yakiwa  na  kura  ambazo  zimepigwa  kumchagua  Mgombea  urais  wa  CCM, John Pombe  Magufuli.....Tazama  Picha  na  Video MKOANI NJOMBE, gari lenye kura zilizopigwa tayari. We can not tolerate this Posted by Mussa Samora on Saturday, October 24, 2015

Hali si shwari Tarime, Sita wakatwa mapanga

0
0
Watu sita wamejeruhuiwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao  Wilayani Tarime mkoani Mara akiwemo mwandishi wa habari wa Sahara Media, Geoge Nteminyanda (49) usiku wa kuamkia leo. Wakizungumza na mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi katika wodi namba tatu na namba nane walikolazwa, majeruhi hao wamesema kuwa walishambuliwa na wafuasi wa vyama vya Chadema na CCM ambao walikuwa

RPC aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu Arusha

0
0
Kamanda Mkuu wa polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na kuvionya kuacha mara moja. Akizungumza na waandishi wa habari leo ,amesema mpaka sasa wameweza kubaini zaidi ya watu 100 wakiwa ni vijana ambao wamesambazwa Arusha mjini pamoja na wilaya ya Arumeru kwaajili ya kufanya vurugu wakati wa uchaguzi . Amesema

Magufuli Afunika Jijini Mwanza....Tazama Picha 10 Za Mafuriko Yake Wakati wa Kufunga Kampeni

Hotuba Ya Mh. Edward Lowassa Aliyoitoa Leo Tarehe 24 Kwenye Viwanja Vya Jangwani Jijini Dar Wakati Wa Kufunga Kampeni Za Urais

0
0
 NDUGU •Watanzania wenzangu •Ndugu wanachama, marafiki na wapenzi wa CHADEMA •Ndugu Viongozi wakuu wa kitaifa na wanachama wa vyama vyetu vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). •Ndugu  Wana mabadiliko na watetezi wa kweli wa maendeleo •Mabibi kwa Mabwana Salaam Aleikum Bwana Yesu Asifiwe Tumsifu Yesu Kristo NIANZE hotuba yangu hii ya kuhitimisha ziara ndefu za

Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuhusu Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

Kada wa CCM amwagiwa Tindikali Tarime

0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana Chadema kata ya Sirari na kuhamia chama cha CCM, Weng’ari Mang’era (26) amemwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati wakimpokea mgombea ubunge wa Tarime Vijijini(CCM), Christopher Kangoye  katika uwanja wa Tarafa Sirari Wilayani Tarime. Shuhuda mmoja ambaye hakutaka jina lake liandikwe ameeleza” Mbunge Kangoye alikuwa anakwenda kwenye mkutano Uwanja wa

Askari Handeni watishia kugoma kusimamia vituo vya kupigia kura

0
0
Askari mgambo 114 wilayani Handeni wametishia kugoma kwenda kusimamia vituo vya kupigia kura kutokana na kutolipwa fedha zao kama walivyokubaliana na mkurugenzi. Wakiongea kwa nyakati tofauti leo mgambo hao wamesema kuwa katika makubaliano yao walisaini hela yote lakini kwenye malipo walipewa nusu ya hiyo hela ambapo ni kinyume na maelewano ya awali. Seiph Mhando askari kata ya Chanika

Kingunge Atoa Maneno Mazito Kwa CCM Na Kikwete

0
0
Aliyekuwa kada mkongwe wa CCM, mzee Kingunge Ngombale Mwiru amekishukia chama chake hicho cha zamani na viongozi wake wa sasa kwa madai kuwa ‘kimechanganyikiwa’. Akiongea leo katika mkutano wa kufunga kampeni za vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa baada ya kumnadi mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, Mzee Kingunge alidai kuwa mwenendo wa kampeni na matamko ya viongozi wa ngazi za

Haji Duni agundua janja ya CCM,waliopangwa kuchakachua matokeo watajwa

0
0
Mgombea Mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,Haji Duni amesema kuwa wamegundua njama iliyopangwa na Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Tume ya uchaguzi kwamba kura zikitoka kwenye vituo zipite kwenye mtandao na kuziiba kwa kutumia wataalamu wao wa TEHAMA.   Ameyasema hayo mapema leo wakati wa kufunga kampeni kwa vyama vinavyounda umoja huo zilizofanyika katika viwanja vya

Leo ni Leo: Watanzania Wanapiga Kura Nchi Nzima Kumchagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani

0
0
Leo Watanzania watatumia haki yao ya kikatiba kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar, wabunge wa Bunge la Muungano, madiwani na wawakilishi kwa upande wa visiwani baada ya utawala wa Serikali ya Awamu ya Nne kuhitimisha kipindi chake cha pili cha miaka mitano. Ni siku ambayo inahitimisha kampeni ya takriban siku 64 za wagombea wa nafasi mbalimbali kujinadi kwa wananchi ili

Picha: Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein Ameshapiga Kura

0
0
‪ Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja, majira ya saa moja asubuhi  Shein  amewaambia  waandishi  wa  habari   kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa yakushinda

Video: Msikilize Mgombea Urais kupitia Chadema Edward Lowassa Akitoa Mtazamo wake Mara baada ya Kupiga Kura.

0
0
Mgombea urais kupitia Chadema Edward Lowassa atoa mtazamo wake mara baada ya kupiga kura....Tazama  Video Hapo  Chini Uchaguzi 2015 Mgombea urais kupitia Chadema Edward Lowassa atoa mtazamo wake mara baada ya kupiga kura. Posted by Simu.TV on Sunday, October 25, 2015 Lowassa amesema hatokubaliana na matokeo kama uchaguzi hautokuwa wa haki. (function(d, s, id) { var js, fjs =

Mgombea wa Urais wa TLP, Maximillian Lyimo Ashindwa Kupiga Kura

0
0
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha TLP Macmillan Lyimo ameshindwa kutekeleza haki yake ya msngi na ya kikatiba ya kupiga kura leo baada ya kukosekana kwa fomu namba 19 inayo mruhusu kupiga kura kwa kuwa hayupo kituo chake cha kupigia kura cha Dar es Salaam alichojiandikisha awali ambapo kwa sasa yupo jijini Arusha. Mbali  na  kukosekana  kwa  fomu  hiyo,

Dr. Magufuli Tayari Keshapiga Kura, Chato......Kasema Matone ya Mvua Yamemnyeshea na Hiyo ni Ishara Kwamba Atashinda

0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amepiga kura katika jimbo la Chato mapema asubuhi hii na kueleza kuwa amepata dalili nzuri alipofika kwenye kituo hicho cha kupigia kura.Akiongea na waandishi wa habari baada ya kupiga kura, Dkt. Magufuli alieleza kuna dalili nzuri za ushindi kwa upande wake hasa baada ya matone ya mvua kuanza kudondoka punde alipofika kwenye kituo

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari Keshapiga Kura.....Kasema Anatarajia Ushindi Wa Asilimia 72

0
0
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13. Tofauti  na  ilivyokuwa  kwa  mgombea  Urais  wa  CCM, Dr Shein, Maalim yeye  amedai kwamba kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72.

Lowassa Tayari Keshapiga Kura, Monduli......Kasema Anategemea Kushinda na Hatakubali Matokeo Kama Yatahujumiwa

0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Edward Lowassa amepiga kura, Monduli  Lowassa  alipata  nafasi  ya  kujibu  maswali  kadhaa  ya  waandishi  ambao  walitaka  kujua  kama  atakuwa  tayari  kutakubali  matokeo  iwapo  atashindwa.   Katika  majibu  yake, Lowassa  amesema  atakubali  matokeo  kama  hayatachakachuliwa,

Rais Kikwete Naye Keshapiga Kura....Kasema Tarehe 5 Atakabidhi Nchi

0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa Tarehe 5 Mwezi November 2015 atakuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga kura leo katika jimbo la Chalinze-Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete 

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Unaoendelea- 25/10/2015

0
0
1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka. 2. Suala la watu wenye kadi lakini majina yao hayapo,  ambapo kisheria inatakiwa msimamizi awape fomu namba 19 kisha waijaze na kupiga kura. Tumewataka wananchi kutokuondoka vituoni hadi wapate haki hiyo ya kujaza
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images