Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkuu wa Jeshi (IGP) Apiga Marufuku Mikusanyiko ya Watu siku ya Kupiga Kura

$
0
0
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani. Pia, Jeshi hilo limesema mikusanyiko ya aina yoyote haitakiwi baada kuhitimishwa kwa kampeni  Oktoba 24, mwaka huu badala yake wanaweza kukusanyika na kusherehekea baada ya matokeo kutangazwa. Tamko hilo limetolewa leo na mkuu wa jeshi (IGP),

Kortini Kwa Kumtukana Rais Kikwete Na Ridhiwan Wakati Akiwa Baa

$
0
0
Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), jana alipandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete. Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo alisomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake. Mshitakiwa huyo alifikishwa

Taarifa ya Uongo na Upotoshaji Kumhusu Jaji Mkuu Kukubali Wananchi Kukaa Mita 200

$
0
0
2.0 Taarifa hii si ya ukweli na ni ya upotoshaji,Mhe Jaji Mkuu hajawahi kuzungumzia chochote kuhusu sheria hiyo ukitilia maanani kesi hiyo iko Mahakama Kuu shauri Namba 37 ya 2015 iliyofunguliwa na Bi. Amy Kibatala dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkurugenzi wa Uchaguzi (DE) na itatolewa maamuzi kati ya tarehe 22 au 23 mwezi huu. Hivyo, kwa mujibu wa sheria Mhe.Jaji Mkuu

Hatma ya Kesi ya Kukaa Mita 200 Baada Ya Kupiga Kura Kutolewa Leo

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali wa wapigakura kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kupigia kura. Mwenyekiti wa Jopo la Majaji watatu linalosikiliza kesi hiyo, Sekieti Kihiyo alisema Dar es Salaam jana wakati akiahirisha

Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Awataka Wananchi Kutomchagua Lowassa Kwa Sababu ni GOIGOI

$
0
0
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa CCM, Samia Hassan Suluhu amewaonya wananchi kutochagua upinzani kwani mgombea wao ni goigoi na anaweza kuunda serikali goigoi. “Nawaombeni wana Iringa msichague watu wa upinzani ni goigoi na rais goigoi ataunda serikali goigoi na serikali goigodi italeta maendeleo goigoi,” alisema Samia alipohutubia wananchi mkoani Iringa wiki hii. Aliwahakikishia wananchi wa

CCM Watoa Ratiba Ya Kufunga Kampeni.....Kikwete Kutikisa Mwanza, Mkapa Kuiteka Mbeya Huku Mwinyi Akiiweka Sawa Mtwara

$
0
0
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi

Bawacha: Wanawake Mkipiga Kura Kaeni Mita 200 Mzilinde Zisiibiwe

$
0
0
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria. Kauli hiyo imetolewa juzi na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini Mwqanza. Mkutano huo uliohudhuliwa na

Lowassa Kuhutubia Taifa LEO Oktoba 23, 2015 Saa tatu usiku

$
0
0
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kupitia taarifa hii kwa vyombo vya habari, tunapenda kuutaarifu umma wa Watanzania wote nchini kuwa Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mh. Edward Ngoyai Lowassa atahutubia taifa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, redio na njia zingine za upashanaji habari hususan mitandao ya kijamii (live

Unachopaswa Kufanya siku ya Uchaguzi- Jumapili

$
0
0
Keshokutwa ni siku itakayokuwa na mambo mengi kwa sababu ya Uchaguzi Mkuu. Pamoja na ratiba ya kila mmoja lakini kupiga kura ni suala linalowaunganisha Watanzania wote. Ili kumchagua rais, wabunge na madiwani, yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa:   1.Fika katika kituo cha kupigaji kura katika muda uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao ni kati ya 1:00 asubuhi hadi 10:00 jioni.

Tundu Lissu ‘anusa’ bao la mkono Singida Mashariki

$
0
0
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu  Antiphas Mughwai Lissu, amesema kwamba anahofia uchaguzi mkuu  hautakuwa huru na wa haki akidai kwamba Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha yeye hatangazwi kuwa mshindi. Lissu alisema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mkoani humo ambapo alibainisha kuwa amepata taarifa kupitia njia ya simu kutoka

Hatimaye Mahakama Yatoa HUKUMU Kesi Ya Kukaa Mita 200 Baada Ya Kupiga Kura

$
0
0
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga kura.   Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema kuwa, kwa kuwa mikutano ilishakatazwa kuwepo siku ya uchaguzi, hivyo hakuna mkutano, mkusanyiko au vikundi vyovyote vitakavyoruhisiwa siku hiyo na kufanya hivyo ni kuvunja sheria.   Pia

Lowassa Atoa Onyo kwa NEC na Polisi Mchana Huu......Sumaye Asema CCM Wamejipanga Kuwanunua Mawakala wa Chadema

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi kuchochea vurugu. Onyo la Lowassa limekuja ikiwa imebaki siku moja kabla ya Watanzania kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa rais, ubunge na madiwani. Akihutubia wakazi wa Ifakara Jimbo la

Picha: Magufuli Ahitimisha kampeni za Urais Jangwani Jijini Dar.

Lowassa Awapigia Kampeni Wabunge na Madiwani wa CCM LEO

$
0
0
Kazi  yetu  ni  kupekua  na  kukujulisha  kinachoendelea  hapa  Tanzania  hasa  wakati  huu  wa  kampeni  za  uchaguzi. Leo  mheshimiwa  Lowassa  alikosea  kidogo  na kujikuta  akiwanadi  wagombea  ubunge  na  udiwani  wa  CCM.  "Nawaomba  jumapili  mnipe  kura  kwa  wingi, ila  msisahau  kuwachagua madiwani  na  wabunge  wa  CCM  ili  tuiondoe  CCM  madarakani"...Lowassa Aliyasema 

Picha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa

$
0
0
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Morogoro baada ya kuwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mhe. Edward Ngoyai

Kijana Mwingine Afikishwa Mahakamani kwa Kusambaza Ujumbe Wa UONGO Kumhusu Mkuu wa Majeshi ,Jenerali Davis Mwamunyange

$
0
0
George Aloyce Kimaryo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa zauongo kupitia katika kundi la Adios la mtandao wa WhatsApp kuwa Mwanafunzi wa Chuo cha DIT, Benedict Angello Ngonyani amejitokeza kwa mara ya pili mahakamani na kuishangaza kwa kumtaka Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange ajitokeze na kukanusha kuwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 24

Hotuba Ya Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kwa Tiketi Chadema , Edward Ngoyai LOWASSA - Oktoba 23, 2015

$
0
0
Ndugu watanzania wenzangu. Imebaki siku moja tu kabla hatujapiga kura katika Uchaguzi Mkuu hapo tarehe 25 mwezi huu. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na rehema zake kwa kutufikisha hapa hii leo tukiwa na afya njema. Katika kipindi hiki cha kampeni tumewapoteza, kwa masikitiko makubwa, ndugu zetu kadhaa ambao walikuwa wagombea Ubunge na udiwani na wengine waliyokuwa wakishiriki katika

Kikwete: Magufuli Ameshashinda, Bado Kuapishwa tu!!

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema tayari mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ameshashinda uchaguzi. Amesema hatua hiyo inatokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kwa mgombea huyo kuzunguka nchi nzima na kuwahakikishia wananchi, bila kupepesa macho, kwamba atapambana na rushwa na ufisadi huku wagombea wengine wakisita kuzungumzia rushwa.

Hatimaye Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma Waruhusiwa Kupiga Kura

$
0
0
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amesema wanafunzi wa vyuo vikuu waliojiandikisha Dodoma watapiga kura kwenye maeneo waliyojiandikisha.   Alisema hayo jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho.   Baadhi ya vyuo vya mkoa huo ni Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Chuo Kikuu cha St. John, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE),
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images