Zikiwa zimesalia siku nne Uchaguzi Mkuu ufanyike, Rais Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwa makini na watu aliowataja kuwa chanzo cha kuleta vurugu siku ya kupiga kura, Jumapili hii.
Rais Kikwete ambaye alilipongeza pia jeshi hilo kwa kusimamia vizuri mikutano yote ya kampeni tangu ilipoanza, alisema mtihani uliobakia sasa ni wa kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa amani
Rais Kikwete Ataka Jeshi la Polisi Lisiwafumbie Macho Watu Wataoleta Vurugu Wakati wa Kupiga Kura,Jumapili
↧
↧
MBOWE: Hatutakuwa Tayari Kuyakubali Matokeo Kama Itabainika Yamepikwa!!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefichua mazito baada ya kueleza hadharani kuwa kamwe chama chake na washirika wao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) hawatakubali matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayobainika kuwa yamepikwa.
Kadhalika, alisema ni vyema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na mamlaka za serikali iliyopo madarakani kuheshimu
↧
Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye
↧
Diwani Atiwa Mbaroni kwa kusambaza ujumbe wa Uongo WhatsApp
Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 imebisha hodi mjini Moshi baada ya mgombea Udiwani kata ya Soweto, Collins Mayyutta kushitakiwa kwa kosa linaloangukia chini ya sheria hiyo.
Mayyuta alifikishwa kortini jana akishitakiwa kusambaza ujumbe wa uongo kwenye makundi ya WhatsApp dhidi ya mgombea Udiwani wa kata hiyo ya Soweto kwa tiketi ya CCM, Pamela Shuma.
Ujumbe huo ambao hata
↧
CHADEMA Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hi
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua
jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah
Safari
**
ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefichua mikakati iliyopangwa kuvuruga uchaguzi huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi amebainisha
↧
↧
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma jana, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, alisema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na taarifa zao zipo kwenye Daftari la Wapiga
↧
Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu UKOMO wa Madaraka ya Rais na Uhai wa Baraza la Mawaziri
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri
Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili, Oktoba
25, mwaka huu, 2015.
Taarifa iliyotolewa jana jioni, Jumatano, Oktoba 21, 2015, Ikulu, Dar
es Salaam na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue
imesema
↧
UKAWA Watishia Kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Jumapili
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetishia kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi amesema wanadhamilia kutoshiriki katika uchaguzi huo kutokana Tume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC) kutokuwa na msimamo katika kazi zake.
Anasema zikiwa zimebaki
↧
Kikwete: "Kutumia Fedha Nyingi Kujenga Jeshi Letu siyo Ubadhirifu wa Fedha"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete amesema kuwa Tanzania inaimarisha Jeshi lake – Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), siyo kwa nia ya kumchokoza mtu ama nchi
yoyote, bali kwa nia ya kulinda mipaka yake kwa sababu kila hatua ya
maendeleo ina changamoto tofauti za ulinzi wa nchi.
Aidha, Rais
Kikwete amesema kuwa siyo uharibifu
↧
↧
Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Kuwepo Kwa Vurugu Baada Ya Uchaguzi
Ndugu Waandishi wa Habari,
Mabibi na Mabwana,
Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura kwa mujibu wa sheria.
Zoezi hili kwa mujibu wa sheria za uchaguzi litasimamiwa na Tume ya Taifa ya
↧
VIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
Oktoba 20 Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alifanya mahojiano na
waandishi wa habari nyumbani kwake Butiama Mara.
Hii ni sehemu ya
mahojiano ambayo ina ujumbe wake kwa Watanzania wote ifikapo Oktoba 25,
siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
↧
Kesi Ya Kukaa Mita 200 Ni Kaa La Moto.......Mawakili Watoana Jasho Kwa Vifungu Vya Sheria. Mahakama Kutoa Maelekezo Leo
Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya walalamikaji katika kesi inayohusiana na umbali wa mita 200 za kusimama kutoka kwenye vituo vya kupigia kura.
Dk. Ackson alidai mahakamani hapo kuwa maombi ya kesi ya kikatiba ya kutaka tafsiri
↧
Picha 11 za Mafuriko Ya Magufuli Jijini Dar Es Salaam-Oktoba 21,2015
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana uwanja wa Machava Kigamboni .
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Machava Kigamboni
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa CCM kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
Umati
↧
↧
Picha 16 Za MAFURIKO Ya Lowassa Huko Tanga- Jana Oktoba 21
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward
Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean
katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano 21/10/2015
Kwa Picha Zaidi >
↧
VIDEO: Mahojiano Ya BBC Na Mgombea Urais Wa UKAWA, Mh. Edward Ngoyai Lowassa - Oktoba 21, 2015
Zuhura Yunus alimhoji
Lowassa akiwa nyumbani kwake Monduli, Arusha na kwanza akataka maelezo
zaidi kuhusu kipaumbele chake cha elimu.
Mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo...
Edward Lowassa: Watanzania wengi sana hawapati elimu, hawapati
elimu inayopasa, elimu bora. Unajua dunia ya sasa imebadilika. Dunia ni
Teknolojia. Ajira za dunia huzipati kama huna elimu inayopasa. Na sisi
elimu
↧
Magufuli Asimamisha Jiji La Dar.......Asema Tanzania Inahitaji Rais Mkali. CHADEMA Wampokea Kwa Ishara Ya Vidole Viwili Juu
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.
Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana kwa nyakati tofauti
↧
Baa zaagizwa kufungwa mkesha wa uchaguzi Dar.
Serikali jijini Dar es Salaam imeagiza baa zote zinazouza pombe mpaka asubuhi kusitisha shughuli hiyo mkesha wa siku ya uchaguzi ili kuimarisha usalama Jumapili ijayo.
Aidha, imesisitiza kwamba kila mwananchi atakayekwenda kupiga kura ahakikishe anarudi nyumbani baada ya shughuli hiyo badala ya kukaa katika vikundi kusubiri matokeo vituoni.
Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar
↧
↧
Mambo Yatakayosababisha Kura Yako Iwe "Imeharibika" au "Sahihi"
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua
viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa
usahihi na kuondoa utata..
Kura iliyoharibika ni ile ambayo:
Haina alama yoyote
Imepigwa kwa wagombea zaidi ya mmoja
Imeandikwa jina la mpiga kura
Alama imewekwa nje ya kisanduku cha picha ya mgombea
Haina muhuri wenye alama rasmi
Kura sahihi;
↧
Nape Nnauye Apata AJALI Mbaya Ya Gari Akitokea Dar Kwenda Lindi
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.
↧
Wanawake na Watoto Waanza Kuodoka Mkoani Mtwara Wakihofia Kutokea Kwa Vurugu Baada Ya Uchaguzi
Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi.
Kwa mujibu wa Dw,watu wengi wanaoondoka ni wanawake na watoto, hali ambayo inaelezewa inatokana na vurugu za gesi za mwaka 2013, kuonekana kwa baadhi ya vifaa vya jeshi na wanajeshi wakiwa kwenye vifaru.
(
↧
More Pages to Explore .....