Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

UPDATE: UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA WAWAKA MOTO ASUBUHI HII

0
0
Moto mkubwa unaripotiwa kuzuka asubuhi hii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) jijini Nairobi. Chanzo cha moto huo bado hakijatambulika na juhudi za kuuzima zinaendelea, ambapo vikosi mbalimbali vya zimamoto vipo uwanjani hapo kuthibiti janga hilo.   Uwanja huo hivi sasa umefungwa na hakuna ndege kutua ama kuruka isipokuwa kwa dharura tu. Moto huo

BAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA HOTELINI NA NDEGE ZITATUA UWANJA WA MOI

0
0
  Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za ku pambana na janga hilo, hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika.  Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa mahotelini na ndege zilizokuwa zitue JKIA zimeelekezwa kutua uwanja wa kimataifa wa Moi, Mombasa <!-- adsense -->

SKENDO YA KUMPIGA RIHANNA YAMKERA CHRISS BROWN...ANADAI KACHOKA KUANDIKWA VIBAYA NA ANAFIKIRIA KUACHA MUZIKI

0
0
  Chris Brown anafikiria kuachana kabisa na muziki siku za usoni na amesema huenda X ikawa albam yake ya mwisho.  Breezy ametumia akaunti yake ya Twitter kuelezea kuchoshwa na kuandikwa vibaya kila kukicha kutokana na kosa alilolifanya akiwa na miaka 18 la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.   Wataalamu wa mambo wanasema Chris Brown ameandika hivyo kutokana na msongo wa mawazo alionao

VIDEO YA TUKIO ZIMA LA MLIPUKO WA MOTO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA

0
0
Hii ni video ya tukio zima la mlipuko wa moto uliotokea leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta<!-- adsense -->

WAZAZI WAKATAZA WALIMU WASIWAFUNDISHE WATOTO WAO JINSI YA KUTUMIA CONDOM

0
0
  Imeelezwa kuwa Baadhi ya wazazi na walezi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekuwa wakiwazuia walimu kutoa elimu ya njia ya kujikinga na ukimwi kwa watoto wao wa sule za msingi ikiwemo matumizi sahihi ya condom. Hayo yamebainika leo katika semina iliyoandaliwa na shirika la UNESCO iliyojumisha wakuu wa shule za msingi na sekondari pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali

SHOGA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA WANAUME WATATU KWA AHADI YA DAU NONO

0
0
  Hii  ni  picha  ya  shoga  toka Nigeria  ambaye  anadaiwa  kupoteza  maisha  ndani ya gesti baada  ya  kufanya  mapenzi  na  wanaume    watatu  kwa  ahadi  ya  dau  nono..... Taarifa  zinadai  kwamba  shoga  huyo  alizidiwa  nguvu  na  wateja  wake  ambao  walimwingilia  kiasi  cha  kumtoa  kinyesi.... Kwa  mujibu  ya  mitandao  ya  kinigeria,  Kelele  toka  ndani  ya  chumba  alichokuwa 

SABABU MBILI ZILIZOMFANYA MADAM RITA AIHAMISHIE BONGO STAR SEARCH TBC1

0
0
  Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV. Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa kupitia TBC1.  Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni mwanzilishi na jaji mkuu wa shindano hilo ametoa sababu mbili za kuhamisha matangazo hayo kutoka ITV hadi TBC1. “Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili

SAKATA LA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI 6 JIJINI ARUSHA LEO MCHANA

0
0
  Habari zilizopatikana majira ya saa kumi kasoro robo alasiri ya leo zinafahamisha kuwa, Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na mmiliki wa hoteli amepigwa risasi na watu wasiojulikana katika eneo la Mijohoroni upande wa kulia (punde tu baada ya Boma Ng’ombe ukitokea Moshi kuelekea Arusha), mchana wa leo, alipokuwa ameitikia wito alioitiwa wa mazungumzo ya kibiashara ya

AIBU: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUMBUKA BAADA YA KUTUPIA PICHA YAKE YA UCHI FACEBOOK BILA KUJUA

0
0
<!-- adsense -->   Mwanafunzi   wa  chuo  kimoja  hapa  nchini  ameambulia  aibu  ya  mwaka  baada  ya  picha  zake  chafu  kuvuja katika  mtandao  wa  facebook  wakati  "akichati"  na   darling  wake..... Katika  mazungumzo  yake  na  mpenzi  wake, denti  huyo  alijikuta  akikosea  kumtumia  picha   mpenzi wake na  kujikuta   akiiweka   katika  wall  yake  huku  ikisindikizwa  na  maneno 

DUDU BAYA ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUCHOMA MOTO NYUMBA YA MSANII MWENZAKE

0
0
MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ ameswekwa rumande kwa kudaiwa kuchoma nyumba ya baba wa msanii mwenzake ‘Geez Mabovu’, Mashaka Mrisho. Tukio hilo lilitokea Agosti 1, mwaka huu ambapo mwenye nyumba sambamba na polisi walimkamata Dudu Baya na mkewe Mariam kwa madai ya kuchoma moto nyumba kwa makusudi na kuwapeleka katika Kituo cha Polisi Oysterbay.   “Mkewe alitupia mkaa

MCHUMBA WA MTU ATUPWA SEGEREA BAADA YA KUNASWA AKIJUZA JIJINI DAR

0
0
Siku za  mwizi  ni 40....  Kauli hiyo ya wahenga ilitimia Jumatatu iliyopita kufuatia msichana Pili Baraka (21) aliyevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake hivi karibuni  kujikuta akitupwa Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kunaswa kwa tuhuma za ukahaba, Mrembo huyo alifikishwa kwenye Mahakama ya Sokoine Drive (Jiji) na kusomewa shitaka na mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo,

MTOTO MCHANGA AZALIWA NA JINSIA MBILI HUKO RUVUMA..... HANA MACHO WALA PUA

0
0
Mganga mfawidhi wa Hospitali ta Wilaya ya Tunduru Dkt. Joseph Ng'ombo akimuangalia mtoto huyo aliyezaliwa akiwa hana macho, pua na Shavu linalo shika mdomo wa juu, kushoto ni mkunga wa zamu katika Hospital hiyo Rukia Nguo akiwa akiwa amekishika kichanga  Huu ndo muunekano wa kichanga hiki usoni. Mkono wa mkunga huyo ukionyesha maungo ya kichanga hicho

RAY C ASIMULIA KILICHOMFANYA AANZE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA........LAWAMA ZOTE AMEZIELEKEZA KWA MPENZI WAKE

0
0
   Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya. Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds TV kuanzia

"SIJAWAHI ONA MWANAUME MZURI KAMA PREZZO HAPA DUNIANI "...DIVA WA CLOUDS FM

0
0
Kwa  mara  nyingine  tena,  mtangazaji  wa  Clouds fm  maarufu wa  jina  la  DIVA  amejitosa Istagram  na  kuanza  kuisifia  suruali yake ( Prezzo)  huku  akiwaponda  wanaume  wa  kibongo  na  wale  wote  wanaomchukia  Prezzo.... Huu  ni  ujumbe wake. “The way my heart beats for u Mentiond of your name, One touch never enough you driving me Insane, swing me take you back, who am i to

MIHADHARA YA SHEIKH PONDA YAPIGWA MARUFUKU KATIKA ARDHI YA ZANZIBAR

0
0
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamu shekhe Issa Ponda Issa kuendesha mihadhara ya kidini katika ardhi ya Zanzibar yenye muelekeo wa kuleta mifarakano, chuki na uhasama.Makamo wa pili wa rais balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akiahirisha kikao cha Baraza la Wawakilishi cha bajeti kwa mwaka wa fedha 2013-2014.Balozi Seif

UKUBWA WA UUME SI KIGEZO CHA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO..... CHA MSINGI NI KUWA MTUNDU NA MBUNIFU

0
0
-Imeandikwa  na Dinah. Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake. Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania wanalalamika  au kukimbia "mziki mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanafurahia?  Kwa mujibu wa maelezo ya  Daktari Bingwa wa Magonjwa

AFYA YA MSANII MATUMANI IMEIMARIKA KIDOGO NA AMEREJEA TENA KATIKA FANI YAKE YA UIGIZAJI

0
0
BAADA ya kutoka nchini Msumbiji akiwa hoi, msanii wa vichekesho Bongo, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ hatimaye amepata nguvu na ameanza kujikongoja katika kazi ya uigizaji.   Akiongea na  mwandishi  wetu hivi karibuni, Matumaini alisema kwa sasa anaendelea vizuri na ameshaanza kucheza filamu mbalimbali anazoshirikishwa na wasanii wenzake na sasa anaendesha maisha yake mwenyewe.    “

VIGOGO WALIOMTUMA AGNESS MASOGANGE WABANWA....MMOJA AFUNGIWA ACCOUNT ZAKE

0
0
HABARI zilizochimbuliwa kwa undani zinadai kuwa tayari vigogo wawili waishio nchini wamebanwa na Jeshi la Polisi Tanzania wakituhumiwa kumtuma Masogange kupeleka madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa habari hizo, vigogo hao (majina tunayo) walidakwa wiki iliyopita kila mmoja kwa wakati wake na kuhojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar ambako walihojiwa

MHADHIRI UDSM AUAWA KIKATILI, WAZUNGU WAWILI WAMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR

0
0
Mauaji, mashambulizi ya kudhuru mwili na uporaji vimeendelea kuchafua taswira ya Tanzania baada ya juzi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuuawa kwa kupigwa risasi na watu ambao hawajafahamika, raia wawili wa Uingereza kumwagiwa tindikali na mfanyabiashara kuporwa zaidi ya Sh40 milioni.  Jana, Rais Jakaya Kikwete alikwenda Hospitali ya Aga Khan kuwajulia hali raia hao

YAMEBAKI MASAA 24 TU KWA WAHAMIAJI HARAMU KUONDOKA NCHINI KWA HIARI YAO ....WANYARWANDA 520 WAMEKWISHAONDOKA KWA HIARI

0
0
  Zikiwa zimesalia saa 24  kabla ya kumalizika kwa muda uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wahamiaji haramu kuondoka nchini au kuhalalisha ukaazi wao na wenye silaha kuzisalimisha, makundi ya wahamiaji hao, yameanza kuondoka kwa hiari.    Wastani wa wahamiaji haramu 150 wanaendelea kujiandikisha kuvuka mpaka katika Kituo cha Rusumo, Ngara mkoani Kagera kutekeleza agizo hilo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images