Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CCM Kuzuia Wanafunzi Wa Vyuo Wanaosafirishwa Kupiga Kura

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma kimesema kuwa kimejipanga kuhakikisha wananchi ambao sio wakazi wa maeneo husika mkoani humo hawashiriki kuwachagua viongozi wasiowahusu. Katibu Msaidizi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Othman Dunga aliyasema hayo hivi karibuni alipoongea na waandishi wa habari mkoani humo, ambapo alieleza kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali waliojiandikisha katika mkoa

Lowassa Atua Kwa Kishindo Tunduma Baada Ya Mitambo Kukorofisha Juzi.....Tazama Picha Za Mafuriko Yake Hapa

$
0
0
Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Freeman Mbowe wakiongea na wanaanchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja shule ya msingi Tunduma kwa ajili ya mkutano wa kampeni huku akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA na UKAWA,akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Kingunge Ngombale

Serikali yatakiwa kudhibiti viashiria vya uvunjifu wa amani

$
0
0
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Apet Jijini Arusha, Peter Aham katika mjadala wa masuala ya amani hasa katika kipindi cha uchaguzi ulioudhuriwa na wawakilishi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jeshi la

Rais Kikwete Afanya Uteuzi Katika Mahakama

$
0
0
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi katika Mahakama kama ifuatavyo;   Rais amemteua Bi. Katarina Revocati kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (Chief Registrar).  Kabla ya uteuzi huu,  Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani. Rais pia  amemteua Ndugu John Rugalema Kahyoza kuwa

CHADEMA Wazungumzia Tuhuma za Mbowe Kuhamisha Mabilioni Ya Pesa Nje Ya Nchi

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekashangwazwa na tuhuma za uongo zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe za kuhamisha fedha katika akaunti za nje. Akizungumza na waandishi wa habari  jana, msemaji wa chama hicho, Tumaini Makene alieleza kuwa hakuna sheria inayomkataza mtu kutofanya biashara na kuhamisha fedha zake

Kama jina lako halijabandikwa kituoni,Hutaruhusiwa Kupiga Kura

CHADEMA Wamshitaki Rais Kikwete UN, AU na Katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC)

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Akizungumza na waandishi wa habari  jana mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya alisema Rais  Kikwete ameshitakiwa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na Mahakama ya kihalifu Uholanzi kwa sababu anatumia madaraka yake vibaya kutisha

Lowassa Apokelwa Kifalme Jimboni Kwa Mwakyembe Huko Kyela Jijini Mbeya.....Picha Zote Ziko Hapa


UKAWA Wasitisha Kampeni Ngazi Zote

$
0
0
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimesitisha kampeni zake ngazi zote ili kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi. Dk. Makaidi, aliyekuwa pia Mwenyekiti wa National League for Democracy (NLD) alichokianzisha mwaka 1992, na mgombea ubunge jimbo la Masasi mkoani Mtwara, alifariki dunia Alhamisi wiki iliyopita katika

TCRA Yatoa Onyo Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Kutangaza Matokeo

$
0
0
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu. Mbele ya wanahabari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya maudhui ya vyombo vya habari, Injinia Magreth Munyagi alionya kuwa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambao

Sababu Za Rais Kutovunja Baraza La Mawaziri Hadi Sasa Zawekwa Wazi

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju ametoa mwongozo wa kisheria kufuatia sintofahamu iliyoibuka kwa baadhi ya watanzania kuhusu sababu zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutovunjwa kwa baraza la mawaziri hadi muda huu huku zikiwa zimebaki siku tano kufanya uchaguzi mkuu. Masaju alieleza kuwa kisheria bado sio muda muafaka wa kuvunja baraza la mawaziri kwa kuwa waziri

Kada Mwingine Aihama CCM Dakika Za Lala Salama

$
0
0
Zikiwa zimebaki siku 5 kabla ya Oktoba 25, siku ambayo watanzania wataandika historia ya kuiweka madarakani serikali mpya ya awamu ya Tano, kada mwingine Mkongwe wa Chama hicho, ametangaza rasmi kujiweka kando. Dkt. Eve Sinare, ambaye ni wakili wa kujitegemea aliyekuwa sehemu ya harakati za CCM,  alitangaza jana kukihama chama hicho akidai kuwa kimepoteza sifa za utawala bora na

Kesi ya wapiga kura kukaa mita 200 yaahirishwa

$
0
0
Mahakama Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ama la wananchi kukaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura katika vituo.Jopo hilo la majaji linaloongozwa na Jaji Sakieti Kihiyo pamoja na Lugano Mwandambo na Aloysius Mjujulizi limeahirisha kesi ya kikatiba

Rais Kikwete akumbushwa kutangaza mali alizochuma kabla ya kung’atuka

$
0
0
Mkurugenzi wa Idara ya Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amemkumbusha Rais Jakaya Kikwete, asiondoke kimyakimya bila kutangaza au kuorodhesha mali alizochuma wakati akiwa madarakani. “Rais Kikwete alijaza fomu ya mali alizokuwa nazo Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, lakini hakutangaza. Tunasubiri kuona

MAGUFULI: Mabadiliko Ya Kweli Hayawezi Kuletwa Kwa Kuzungusha Mikono

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi. Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza

MAJONZI: Safari Ya Mwisho Ya Mwenyekiti Mwenza Wa UKAWA Katika Viwanja Vya Karimjee jijini Dar .....Dr. Makaidi Amezikwa katika Makaburi ya Sinza, Dar Es Salam

$
0
0
Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, katika viwanja vya Karimjee, posta, jijini Dar Es Salaam.Dr. Makaidi Amezikwa katika Makaburi ya Sinza, Dar Es Salam Kwa  Picha  Zaidi  Za  Tukio  Hili  >

Masha akamatwa na polisi kwa kufanya kampeni kambi ya wakimbizi

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha  pamoja na viongozi wengine wa  Chadema Wilaya ya Mpanda, wamekamatwa na polisi leo , kwa kile kinachodaiwa kufanya kampeni katika kambi ya wakimbizi ya Katumba, wilayani Mpanda bila  kuwa na kibali maalum. Masha ambaye alikihama chama cha CCM hivi karibuni na kujiunga na Chadema amezungumza nasi na kusema ameshikiliwa katika kituo cha

Rais Kikwete Azindua Uwanja wa Ndege Katika Kambi ya Jeshi ya Ngerengere Morogoro........Mwamunyange Amshukuru Kwa Kuliimarisha Jeshi

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amezindua uwanja wa ndege katika kambi ya kijeshi ya anga iliyoko Ngerengere mkoani Morogoro ambapo alisema anajivunia kutoka madarakani akiwa ameiacha nchi katika hali nzuri ya kiusalama. Rais Kikwete akizungumza katika uzinduzi huo alisema katika kipindi cha uongozi wake amefanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuliacha jeshi likiwa katika hali nzuri ambapo

Rais Kikwete akabidhi Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa

$
0
0
Pichani ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, Mkuu wa Polisi, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi jana Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam. Picha tumeshirikishwa na Ikulu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete

January Makamba Ataja Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25

$
0
0
Na;January Makamba Tarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995.   Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images