Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Sad News: Askari Aliyekuwa Akiongoza Msafara wa Magufuli Afariki Dunia Kwa Ajali

$
0
0
Askari wa usalama barabarani aliyekuwa akiongoza msafara wa mgombea urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefariki dunia baada ya kugongana na dereva bodaboda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam.Mkuu wa polisi kitengo cha usalama barabarani DCP Mohamed Mpinga amesema askari huyo alikuwa kwenye pikipiki maalum iliyokuwa ikiongoza msafara wa Dkt Magufuli, ambaye alikuwa akitokea katika

Breaking News: Wafuasi wa CCM na CHADEMA Wachomana Visu Tunduma.......Watu wawili Wapoteza Maisha

$
0
0
Watu wawili wamefariki  dunia  baada  ya  vurugu  kubwa  kutokea kati  ya wafuasi  wa  CCM  na  CHADEMA  katika  mji  mdogo  wa  Tunduma  Mkoani  Mbeya. Vurugu  hizo  zimetokea  baada  ya  wanachama wa CCM kuweka mawe barabarani ili wafuasi wa CHADEMA wasipite  kuhudhuria  mkutano  wa  Lowassa.  Hali  hiyo  iliwafanya  wafuasi  wa   CHADEMA kushuka  ili kutoa mawe hayo, ndipo akatokea

Mgombea Mwenza Wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji Apewa Barua Ya Onyo Kali Na NEC Kwa Tuhuma Za Kusema Uongo

Nyumba Ya James Mbatia Yateketea Kwa Moto

$
0
0
Nyumba ya makazi ya mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia imeteketea kwa moto siku ya Jumamosi, majira ya saa saba u nusu mchana, kwa kile kilichoelezwa kuwa huenda ni hitilafu ya umeme unaosemekana kukatika asubuhi na kurejea mchana kwa nguvu kubwa. Akizungumza na Channel TEN, kaka wa Mbatia, Felix Kessy amesema hadi sasa wanachoweza kueleza ni uharibifu uliotokea

Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi

$
0
0
TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI WIKI MOJA KUELEKEA TAREHE YA UPIGAJI KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU TANZANIA TAREHE 25.10.2015 Asasi za Tanzania tumeendelea kufuatilia mchakato wa uchaguzi mkuu 2015 tangu uandikishaji wapiga kura, uhamasishaji hadi kampeni zinazoendelea kwa umakini mkubwa.  AZAKI tumefanya hivyo tukiamini kuwa uchaguzi  ni sehemu kuu ya

Sauti Sol Show Their Support To Tanzania's Diamond Platinumz As The Best African Act - Mtv Ema

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Kenya's golden boys Sauti sol have shown their support for Tanzania's Diamond Platinumz  as the Best African act at the MTV Europe music awards (EMA) Last year Sauti sol garnered support from their East African brothers to become the favorites of the region and to win the Best

Shilole kuchora tattoo nyingine ya Nuh Mziwanda kalioni!

$
0
0
Hivi karibuni Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa mapenzi yao yanazidi kushamiri. Kama vile haitoshi Shishi bado ana mpango wa kuongeza mchoro mwingine kwenye sehemu za siri.   Akizungumza na Global Publishers, Staa huyo wa mduara, Shishi amesema ana mpango wa kuchora tena

CCM, Chadema ‘wakwepa’ mdahalo wa urais

$
0
0
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Magufuli, pamoja na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshindwa kushiriki mdahalo maalum wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza pamoja na wadau wengine.  Mdahalo huo ambao umefanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo,

Mama Lowassa Atoa Kichapo Ukumbini baada ya Kushikwa PABAYA na Mlevi

$
0
0
Watu  wanatabia  Mbaya. Mama  wa  watu  kaingia  vizuri  ukumbukini, Njemba  ikampalamia  na  'kumshika  pabaya' Uvumilivu  ukamshinda  mama Lowassa  na  kujibu  mapigo. Kuona  video  hiyo, >

Rais Kikwete Ateua Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Awadh Massawe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Rais alitangaza uamuzi huo Ijumaa iliyopita wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo inayotajwa kuwa kubwa katika Afrika.   Akihutubia katika hafla hiyo, Rais Kikwete alisema yeye alishamaliza uteuzi huo na kumwambia Massawe afuatilie barua

Nzega: Vijana wa CCM Washambuliwa Kwa Mapanga Wakati Wakienda Kuandaa Mkutano wa Mbunge wao

$
0
0
VIJANA wawili wanaoaminika kuwa ni wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Nzega, wamejeruhiwa na watu wasiojulikana baada ya kuvamiwa walipokuwa wakielekea kuandaa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Nzega Mjini kwa tiketi ya chama hicho, Hussein Bashe. Tukio hilo lilitokea saa tano usiku, Oktoba 15 mwaka huu katika kijiji cha Mbogwe ambapo vijana hao walijeruhiwa kwa mapanga

Magufuli Aendelea Na Kampeni Za Kufa Mtu Mkoani Mwanza

$
0
0
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mabatini jijini Mwanza ambapo aliwaambia kuwa atakapochaguliwa oktoba 25 atahakikisha anawatumikia Watanzania kwa nguvu zote na kuleta maendeleo. Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buzuruga jijini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.  Hii

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Awataka Watanzania Wamsamehe Kwa Matamshi Aliyoyatoa Wakati Akiwa Kiongozi

$
0
0
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana alitumia Ibada ya Shukrani iliyofanyika katika Parokia ya Hananasifu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kulitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka 15 na kuwaomba Watanzania wamsamehe kwa matamshi aliyoyatoa akiwa kiongozi, huenda yaliwakwaza baadhi yao. Pinda ambaye amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na miezi tisa, Waziri kwa

Mwigulu Nchemba Amshambulia Lowassa Kuhusu Afya Yake.....Adai Mwalimu Nyerere Angekuwepo Angetapika Kwa Hoja Finyu za Chadema

$
0
0
Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.   Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za kupigia kura,na kujitokeza kwenda kupiga kura,na Kumchangua Mgombea Urais kupitia CCM Dr John Magufuli. Mwigulu  Amemponda  Lowassa  akidai  ni  mtu  mgonjwa  ambaye  hawezi  kushika 

Picha za Mkutano wa Kihistoria Wa LOWASSA jana Jijini Mbeya......Ilikuwa ni Zaidi Ya Mafuriko

$
0
0
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya Oktoba 18, 2015 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika

Masogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini

$
0
0
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi. Katika picha

Hukumu Ya Sheikh Issa Ponda Yaahirishwa Hadi Novemba 18

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya. Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika

Magufuli Aponda Ahadi Ya Lowassa Kufuta Umasikini Ndani Ya Siku 100......Asisitiza Kuwa Serikali Yake Haitawavumilia Watu Wavivu

$
0
0
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu. Akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Misungwi jana, Dk Magufuli alisema hata vitabu vya dini vimeelekeza kwamba asiyefanya kazi na asile, hivyo wanaoahidi vitu vya bure wanawadanganya Watanzania. “Tujipange kufanya kazi, hata

LOWASSA: Najisikia Kudeka Ninapoyaona MAFURIKO Haya.........Nipeni Kura Za Kutosha Niwatumikie ila Msisahau Kulinda Kura Zenu

$
0
0
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano.   Akizungumza kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe- Mbeya Mjini, Lowassa alisema: “Ninatosha, nitumeni kwa kura zenu… nipeni kura za kutosha niwatumikie.”   Lowassa ambaye alisema anasikia deko kutokana na wingi wa watu, alisema misamaha ya kodi kwa sasa ni Sh1.6

Mbowe Afichua Njama Za CCM Kuiba Kura Usiku wa Tarehe 24

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema wamegundua njama za kuiba kura zitakazofanywa na CCM usiku wa tarehe 24 kwa kupita mitaani na kugawa fedha za kura feki. Mbowe alitoa  kauli  hiyo  jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe vilivyopo jijini Mbeya. Alisema ili kudhibiti hali hiyo, siku hiyo Ukawa watafanya doria usiku kucha ili kuhakikisha
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images