Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Pendeza na Markson Products......Wanadawa za Asili za Kuongeza Uuume, Kurefusha Nywele,Kusimamisha Maziwa Yaliyolala n.k

$
0
0
Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.       TUNAZO ZA:- 1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/= 2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/= 3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/= 4.Kupunguza unene na manyama uzembe

Shindano la Serengeti Masta Lahitimishwa Jijini Mbeya na Arusha

$
0
0
Mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa Arusha Laota Elias akiserebuka mziki mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta kwa mkoa wa Arusha wakati wa shindano la mwisho la kumtafuta “Serengeti Masta” wa jumla wa mkoa huo lililofanyika katika baa ya Bondeni iliyopo Kijenge juu jijini Arusha. Mshiriki wa shindano la Serengeti Masta na mkazi

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.   Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye

Joto Lazidi Kupanda....UKAWA Wafungua Kesi Mahakamani Kupinga Wananchi Kuzuiwa Kulinda Kura

$
0
0
Leo tarehe  16 October 2015, Ukawa kupitia wakili wa CHADEMA,Peter Kibatala na mawakili wengine, wamefungua chini ya hati ya haraka sana (certificate of extreme urgency) shauri nambari 37 la mwaka 2015 katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Main Registry) wakiomba Mahakama Kuu itoe tafsiri sahihi ya kifungu cha 104 (1) cha Sheria ya Uchaguzi Tanzania na itamke iwapo wapiga kura na watu wengine

Sad News: Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na Capt. William Silaa (baba yake Jerry Slaa) Wafariki Dunia Kwa Ajali ya Chopa

$
0
0
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na Capt. William Silaa (baba yake Jerry Slaa), wamethibitika kupoteza maisha kwa ajali ya helkopta katika  eneo la Msolwa, hifadhi ya Selous. Deo anakuwa mbunge wa sita kupoteza maisha katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu. Jerry Slaa, ameandika ujumbe kwenye Instagram kuhusu msiba huo uliolifika taifa. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea

Dkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,

$
0
0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule, Kepteni William Silaa pamoja na abiria wengine wawili ambao wameaga dunia Alhamisi, Oktoba 15, 2015 kwa ajali ya helkopta iliyotokea katika eneo la Hifadhi ya Selous mkoani Morogoro.

Kauli ya Lowassa Kuhusu Kifo cha Deo Filikunjombe

$
0
0
Ni taarifa ya kushtusha sana ya msiba wa mwanasiasa chipukizi na jasiri, Deo Filikonjombe kutokana na ajali ya Helikopta jana jioni(juzi) maeneo ya mbunga ya Selous mkoani Morogoro. Ni pigo lingine kubwa ambalo katika kipindi kifupi Taifa limepata, huku bado likiwa na kidonda cha kuondokewa na wana siasa wengine mahiri,Marehemu Celina Kombani, Dr Abdallah Kigoda na Dr Emanuel Makaidi

Magufuli Ahutubia Mkutano Mkubwa Zanzibar.....Picha Zote ziko Hapa

$
0
0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa  visiwa vya Unguja kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisisitiza kuulinda Muungano na kuwaambia kuwa atazifanyia kazi kero zilizobaki za Muungano.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

Ratiba ya Lowassa Kwa Majimbo yote ya Mbeya Iko Hapa

Diamond Kushindana Na Mrembo Wa Dunia Toka India, Priyanka Chopra Kwenye Tuzo za MTV EMA 2015

$
0
0
Nyota ya Diamond Platnumz inazidi kung’aa na kumulika hadi nje ya bara la Afrika ambako pia imeanza kukubalika.   Siku chache baada ya kushinda tuzo za AFRIMMA, 2015 na Best African Act (MTV 2015), msanii huyo mzawa wa Tandale, Dar es Salaam sasa atashindana na magwiji wa burudani wanaowakilisha kanda mbalimbali duniani akiwemo mrembo wa dunia wa mwaka 2000, kutoka India, Pyanka Chopra

Picha Za Mabaki Ya Chopa Iliyopoteza Uhai wa Mbunge Deo Filikunjombe

$
0
0
Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta. Waliofariki mbali ya Filikunjombe wengine ni Mwenyekiti wa TLP Mkoa wa Iringa Blanka Francis Haule ,Egdi Francis Nkwela na rubani wa helkopta hiyo Wiliam  Slaa. Miili yote imepelekwa jijini Dar esalaa kutoka katikati ya mbuga ya Selou kitalu R3 . Mwili wa Filikunjombe utaagwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya leo Jumamosi ya Oktoba 17

Filikunjombe Alivyotikisa Bunge.........Aliwahi Kukusanya Saini Kumng'oa Waziri Mkuu, Alikataa Mabilioni ya Escrow, Alitaka Mawaziri Wazembe Wachapwe Bakora

$
0
0
Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda *** Bunge la Jamhuri ya Muungano halitamsahau marehemu Deo Filikunjombe, kwa umahiri na ujasiri wa kujenga hoja bungeni na kuikosoa serikali ya chama chake Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa hana hofu licha ya nyakati nyingine kuitwa mpinzani.  Japokuwa alikuwa mwanachama

New Song - Maumivu By Ali Kiba

$
0
0
This is a new song by Ali Kiba, it is tittled Maumivu..... You may listen it > (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

CCM Na Chadema Watwangana Ngumi....Wachoma Moto Maduka,Pikipiki na Magari

$
0
0
Zikiwa zimebakia siku saba kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, hali ni tete katika Kijiji cha Nyamiyaga, Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa vyama vya CCM na Chadema kupigana kisha kuharibu magari, pikipiki na kuchoma moto maduka.   Tukio hilo lililotokea Jumatano kuanzia saa 12.00 jioni hadi saa 4:00 usiku, chanzo kikielezwa kuwa ni

Orodha ya NEC ya idadi ya Wapiga Kura kwa Kila Mkoa na Uwiano wa kijinsia, umri

$
0
0
Tume  ya  taifa  ya  uchaguzi  imetoa  idadi  ya  wapiga  kura  kwa  kila  mkoa  na  Uwiano  wa  Kijinsia  pamoja  na  umri  wao. Bonyeza  hapa  kupata  Orodha  hiyo. >

Serikali Kulipa Madeni ya Watumishi wa Serikali za Mitaa

$
0
0
SERIKALI  imetenga  kiasi cha fedha cha  Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya  Watumishi wa Mamlaka za Serikali za  Mitaa(TALGWU) na  Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni  ya yasiyohusu mishahara, fedha ambazo zitalipwa Oktoba mwaka huu. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa leo na  Kaimu  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, HAB  Mkwizu 

Rais Kikwete,Magufuli waongoza wananchi kumuaga Deo Filikunjombe

$
0
0
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015. *****

Magufuli Aliteka Jiji la Mwanza.......Hapa kuna Picha Kadhaa za MAFURIKO Yake-Octoba 17

Maduka Yafungwa Tunduma Mkoani Mbeya Kupisha MAFURIKO ya Lowassa.........Hapa Kuna Picha Kadhaa za Nyomi ya Watu -Oktoba 17

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images