Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni

0
0
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba ameonesha kutokubaliana kwake na ripoti za kinachojili kwenye mikutano ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na kueleza kuwa  Magazeti hutumiwa kupiga kampeni.   Makamba ameeleza hayo kupitia mtandao wa Twitter baada ya mtu mmoja anaetumia jina la ‘Gachanja Muigai’, kumueleza kuwa kutokana na kile wananachokisoma, inaonekana

Sheria ya Mtandao Yamtia Mbaroni Mtayarishaji wa Vipindi Mkoani Dodoma

0
0
Mtayarishaji wa vipindi, Sospiter Jonas amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Dodoma Mjini akishtakiwa kwa matumizi mabaya ya mtandao. Sospiter alisomewa mashtaka hayo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Mussa mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo Emmanuel Bwile. Mshtakiwa huyo anadaiwa kuandika katika ukurasa wake wa Facebook ujumbe kuwa “Pinda utakuwa muhubiri wa injili tu.” Mussa

Maduka ya Uchumi Supermarket yafungwa Tanzania na Uganda

0
0
Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk Julius Kipng'etich, amesema Bodi imeamua kufunga vitengo vya kikanda ili kuimarisha shughuli zake nchini Kenya baada ya kupata hasara katika maduka yake ya Uganda na Tanzania

Familia ya Nyerere katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu jana Oktoba 14

0
0
Mama Maria Nyerere, mjane wa baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana aliungana na Wananchi wa kijiji cha Butiama katika misa takatifu ya kumbukumbu ya miaka 16 baada ya kifo cha muasisi wa Taifa la Tanzania, ambapo viongozi wa dini waliongoza misa iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Butiama huku suala la amani kuelekea uchaguzi mkuu likihubiriwa.

Mwapachu asema Nyerere angekuwapo angejitoa CCM

0
0
Siku moja baada ya kutangaza kujitoa CCM, kada mkongwe wa chama hicho, Balozi Juma Mwapachu amesema uamuzi alioufanya ni sahihi ambao hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa hai angeufanya kwa sasa. Balozi Mwapachu alieleza hayo jana katika mahojiano maalumu na kuongeza kuwa chama chake cha zamani kimepoteza mwelekeo kwa kuwa kinara wa kuvunja katiba na taratibu kitendo ambacho

Lowassa: Mliobaki CCM Nifuateni Chadema.

0
0
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka viongozi na makada wengine waliobaki ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoroka na kujiunga na Chadema kwani hivi sasa ni wakati wa mabadiliko. Lowassa alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa

Rais Kikwete Arusha Makombora UKAWA......Awaonya Wanaopanga Kulinda Kura Vituoni

0
0
RAIS Jakaya Kikwete, jana ametumia kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, akiwataka Watanzania kuchagua viongozi katika uchaguzi wa mwaka huu watakaodumisha amani.   Alitumia kumbukumbu hiyo kuwapiga vijembe baadhi ya wanasiasa wanaotaka kuchaguliwa kwa kutumia rushwa, misingi ya udini na ukabila ndani ya vyama vyao.   Akihutubia wakati wa kumbukumbu

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

0
0
Mwenyekiti  wa  Chadema, mh Freeman Mbowe  amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake   amemtaka aondoke  madarakani  na kuiacha  nchi ikiwa  salama. Mbowe alitoa  kauli hiyo jana jioni  katika mkutano  wa kampeni uliofanyika Mbogwe, wilayani Geita. Alisema Rais Kikwete  anatakiwa aondoke madarakani salama kama walivyofanya marais wenzake wastaafu. “Rais Kikwete

Magufuli Afichua Ushauri Aliopewa na Marehemu Dr. Kigoda Kabla ya Mauti Kumkuta

0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli, jana aliwaongoza wanachama wa chama hicho kuupokea mwili wa Dtk. Abdallah Kigoda aliyepoteza maisha nchini India, ambapo alieleza kuwa alimpa ushauri katika kipindi kifupi kabla Mungu hajamchukua.   Akiongea na waandishi wa habari, Magufuli alieleza kuwa Marehemu Kigoda alimshauri masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na jinsi ya

Balozi Mwapachu arudisha Rasmi kadi ya CCM...... atangaza kujiunga UKAWA

0
0
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kada wa CCM, Balozi Juma Mwapachu leo amerudisha kadi ya uanachama katika ofisi za CCM Kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam. Amesema anajiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kwamba baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 atatangaza chama anachojiunga miongoni mwa Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vinavyounda umoja huo.

Mahakama yamwamuru Gwajima kuthibitisha kama kweli anaumwa

0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwamuru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima awasilishe Mahakamani hapo vyeti vinavyoonesha kuwa  ni mgonjwa. Amri hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya Gwajima kushindwa kufika mahakamani kwa ajili  ya usikilizwaji wa kesi inayomkabili. Gwajima anakabiliwa na kesi ya kutumia lugha chafu dhidi ya

Sad News: Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dr. Makaidi Afariki Dunia

0
0
Mwenyekiti wa NLD, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi amefariki leo majira mchana katika hospitali ya Nangao mkoani Lindi. Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Dkt. Makaidi ambaye alikuwa mgombea ubunge katika jimbo la Masasi alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu. Dkt. Makaidi ni mgombea ubunge wa tano kufariki katika

Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Mwongozo.....Wahi Fasta!!!

0
0
Kiwanja kinauzwa Kigamboni mwongozo Karibu na Dege village na Nyumba za NHC chenye ukubwa wa mita za mraba 4,000.   Kiwanja kipo katika barabara za Mtaa kwenye umbali wa 18KM toka Ferry na mita 800 toka barabara ya lami.Kinafaa kwa ujenzi wa warehouse (Godown),Saiti ya vifaa vya ujenzi na Nyumba za makazi.   HAKIJAPIMWA ila nakala za kisheria na za serikali za mtaa zipo.   Bei inaanzia

Lowassa Atikisa Sengerema....Tazama Picha za Mafuriko Yake

0
0
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Sengerema katika viwanja vya Mnadani  Alhamisi 15/10/2015

Marekebisho Ya Ratiba ya Kampeni za Wagombea Urais 2015

0
0
Kuna  Marekebisho  ya  Ratiba  ya  Kampeni  za  Wagombea  Urais  ambayo  yamefanywa  na  NEC. >>

Update Kuhusu Helikopta ya CCM Iliyoanguka Mbugani Ikiwa na Mbunge Deo Filikunjombe

0
0
Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 majukwaa  ya siasa Tanzania yametawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mbuga ya Wanyama ya Selous ambapo Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu alithibitisha kwamba mmoja wa waliokuwemo ndani ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM). Kupitia  ukurasa  wake  wa  Twitter,Nyalandu  aliandika; "Tumetuma vikosi vya

Magufuli Akiri Mafisadi Yako Ndani ya CCM.......Ameahidi Akiingia Ikulu Atawashughulikia Bila Woga. Pia kasema Mawaziri Wote Atawasainisha Mikataba

0
0
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake. Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli

UKAWA : Daftari la Wapigakura Limejaa VITUKO.....Majengo, Wachina na Namba za Pikipiki Zimeandikishwa Kama Wapiga Kura

0
0
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwa ndio kwanza imelikabidhi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi, ili kufanyiwa uhakiki, uchunguzi umeonesha daftari hilo ni chafu na haliaminiki. Siri hii inafichuka siku tisa tu kabla ya Oktoba 25 ambapo Watanzania wapatao milioni 22 wanatarajiwa kujitokeza vituoni kupiga kura ya kuchagua Rais wa Jamhuri

LOWASSA Atoa Onyo Kwa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi.....Asema NEC Isipokuwa Makini Itavuruga Amani ya Nchi. Mbowe Katoa Mwongozo Kwa Wapiga Kura

0
0
Mgomea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba kama haitakuwa makini, inaweza kuvuruga uchaguzi mkuu. Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Sabasaba, mjini Magu jana.

Baadhi Ya 'Vituko' Vilivyopo Ndani ya Daftari la Wapiga Kura.....Picha Zimepigwa jana Wakati UKAWA Wakiongea na Waandishi wa Habari

0
0
Huyu  Kaandikishwa  kwa  jina  la  GGGHUH  GGJGJHGHG GGHGGGHG Mwangalie  vizuri  mzungu    na  majina  yake. Picha  ya  pembeni  kulia  ni  kitu  cheusi  na  siyo  sura  ya  mtu Angalia  Jina  na  hiyo  picha. Kwa  kuiangalia  sidhani  kama  ni  picha  ya  binadamu Tazama  majina  na  picha Hizi  picha  mbili  za  kulia  sio  za  binadamu. Moja  ni  kama  ya 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images