Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kijana kotini kwa kuwakashifu wafanyakazi wa TCRA kwenye Facebook

0
0
Sheria Mpya ya Makosa ya Mtandaoni ya 2015 imeendelea kuonyesha meno yake kufuatia kijana Israel William (20), kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo, akishitakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Akisoma mashitaka dhidi ya mtuhumiwa huyo, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi

Picha za Nuhu Mziwanda na Shilole Wakiogelea Kwenye Swimming Pool zazua Balaa Kwenye Mitandao ya Kijamii

0
0
Kwenye mitandao ya kijamii kimenuka kuhusiana na mahusiano ya mwanadada shilole pamoja na nuhu mziwanda baada ya kupost picha zao wakiaogelea.   Mashabiki walianza kumshambulia Nuhu mziwanda kuwa kufuga nywele za kwapa  na ni uchafu  huku akiwa anaishi na mwanamke. Kuona  Mapicha  Yao  >

Sad News: Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Abdalah Kigoda Afariki Dunia

0
0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda amefariki dunia leo saa 10 jioni nchini India alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilila amethibitisha taarifa hizo, na kusema kuwa Dkt Kigoda alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Apollo, New Delhi na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.Kwa mujibu wa kaka wa marehem Sadiki Kigoda aliyezungumza na Mpekuzi

LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Mafuriko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu

0
0
Lowassa  amelitikisa  jijini  la  Mwanza  jioni  hii  ambapo  mwandishi  wetu  ameshuhudia  zaidi  ya  watu 50  wakipoteza  fahamu  baada  ya  uwanja  huo  kujaa  kupita  uwezo  wake

Pendeza na Markson Products......Wanadawa za Asili za Kuongeza Uuume, Kurefusha Nywele,Kusimamisha Maziwa Yaliyolala n.k

0
0
Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.       TUNAZO ZA:- 1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/= 2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/= 3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/= 4.Kupunguza unene na manyama uzembe

Dr. Magufuli Jana Alipiga Kampeni za Kufa Mtu Nachingwea na Mtama Mkoani Lindi

0
0
Nachingwea Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo. Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo ambapo aliwaeleza wananchi

Wizara ya Nishati yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi

0
0
TAARIFA KWA UMMA Hivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene akisema kuwa mitambo yote ya uzalishaji umeme nchini inamilikiwa na Kampuni binafsi. Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa taarifa hizi ni za uongo kwani Waziri Simbachawene hajawahi kutoa tamko la kuwa mitambo ya kuzalisha Umeme yote nchini ni

Membe Amtaka Lowassa Aache Kujifananisha na Yesu.......Asema Hana Ubavu wa Kumfufua Balali

0
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, hana uwezo wa kumfufua aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT),  marehemu Daud Balali. Membe ambaye jana alionekana kwa mara ya kwanza katika kampeni za mgombea

Magufuli Kasema Chanzo cha Mgao wa Umeme Nchini ni Wagombea Urais wa Upinzani Ambao Wamepiga Dili na Kampuni za Umeme

0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema kuwa tatizo la umeme linaloendelea nchini limesababishwa na baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Mgombea huyo wa CCM aliyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana mkoani Lindi na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wafuasi wa chama hicho, ambapo alisema kuwa baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani ndio chanzo cha

Christopher Ole Sendeka Akerwa na Tabia ya Vijana Kupiga Deki Barabara Ili LOWASSA Apite.......Asema Huo ni Sawa na Utumwa

0
0
Mjumbe wa kamati ya kampeni ya chama cha  Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amelaani kitendo cha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kuruhusu vijana kusafisha barabara ya lami ili msafara wake upite akidai  kuwa  huo  ni  utumwa. Ole Sendeka  alitoa  kauli  hiyo  jana  wakati  akiwa katika mkutano wa kumnadi mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan mjini Geita. Juzi mjini Musoma

Shindano la Serengeti Masta Lawasha Moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese

0
0
Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Masta Razani Kapalatu akitoa zawadi ya fulana kwa mkazi wa Manzese na mpenzi wa bia ya Serengeti Premium Lager Rodgers Robert wakati wa promosheni ya kumtafuta Serengeti Masta iliyofanyika katika baa ya Ulaya Ulaya ya Manzese jijini Dar es salaam. Mkazi wa Manzese jijini Dar es salaam Joachim Mwale (kushoto) akishiriki  kwenye droo ya kumtafuta

Balozi Juma Mwapachu Ajitoa Uanachama wa CCM.......Asema Chama Hicho Kimepoteza Dira

0
0
TAMKO RASMI LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU. NAJIVUA UANACHAMA WA CCM- October 13 Ndugu zangu, Kesho( LEO ) ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita. Nadhani ni siku mwafaka kwangu kufanya maamuzi magumu katika maisha yangu ambayo yanahusu uanasiasa wangu.    Mimi ni mwanachama wa CCM

Serikali Yakanusha Data za Mawasiliano na Umeme Kuzimwa Siku ya Uchaguzi

0
0
SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu. Taarifa hizo ambazo Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziita ni uzushi, zinadaiwa kutolewa na baadhi ya wanasiasa wa vyama vya upinzani wakidai kwamba serikali imepanga kufanya

Mzindakaya: Waliohama CCM Wapuuzwe

0
0
MWANASIASA mkongwe nchini, Chrisant Mzindakaya amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wagombea wao wa nafasi mbalimbali, wasigombane na waliohama chama hicho kwa kusisitiza kwamba wakifanya hivyo, watakuwa wanakosea. Mzindakaya alisema, CCM ni chama chenye heshima kubwa duniani na chenye Ilani ya Uchaguzi bora, yenye heshima. Alisisitiza kuwa rais bora wa awamu ya tano atatoka

CHADEMA Yawataka Wananchi Kujumulisha Matokeo na Kuyasambaza Badala ya Kusubiri Tume

0
0
Chadema imewataka wananchi kujumlisha matokeo yote yatakayotolewa kwenye vituo vya uchaguzi na kuyasambaza badala ya kusubiri kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Akizungumza jana kwenye mkutano wa kampeni Jimbo la Kikwajuni mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara, John Mnyika aliwataka wananchi hao kutoondoka kwenye vituo vya kupigia kura, bali wasubiri hatua 200

Diamond Opens Up About How Fathering Princess Tiffah Has Changed Him

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Diamond and Zari Hassan’s daughter, Latiffah Nasibu Abdul aka Princess Tiffah has not only made the Dangote’s a tight-knit family but also changed her father’s life in a big way.   Speaking to Tanzania’s leading radio station, Clouds FM, the singer who just bagged three awards at

Mwili wa Dk. Kigoda Kuwasili Nchini Leo.

0
0
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, unatarajiwa kuwasili leo kutoka nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu na maziko kufanyika kesho. Mwakilishi wa familia, Athumani Mdoe, alisema mwili utawasili leo saa 9:00 alasiri katika Uwanja Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupelekwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo kwa

Magufuli Amaliza Kampeni Zake Mkoa wa Lindi....Aanza Kampeni Mkoa wa Pwani Kwa KISHINDO

0
0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani Dkt. Magufuli akiwa ameshika kadi za Wananchama wa upinzani walioamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni Dk

MAFURIKO Ya Lowassa Katika Uwanja wa Mnadani Jimbo la Busanda, Mkoani Geita Oktoba 13, 2015.

Vanessa Mdee - Never Ever (Official Video)

0
0
Vanessa Mdee - Never Ever (Official Video) (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images