Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Msanii wa Nyimbo za Asili Mkoani Mwanza Ahukumiwa miaka 10 Jela kwA Kumiliki FISI Wawili Bila Kibali

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali. Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Doroth Mgenyi, ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo Septemba 28, mwaka huu, kwenye Kijiji

Picha 7: Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa Kisiwani Pemba - Oktoba 03, 2015

Chadema yazidi kuikalia kooni NEC

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Chadema inawasumbua kutokana na madai yao ya mara kwa mara, lakini chama hicho kikuu cha upinzani hakijakoma; kimeitaka Tume kujibu mambo matano kuhusu Uchaguzi Mkuu. Chadema, ambayo inashiriki Uchaguzi Mkuu ikiwa ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), pia kimesisitiza kuwa wanachama na wafuasi wake wataendelea kukaa mita 100 kutoka vituo vya

Rais Kikwete Abeba Kero za Madereva....Amweka Kiti Moto Mkurugenzi wa Sumtra

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza kero za madereva nchini, zianze kutatuliwa na ripoti za hatua zitakazoanza kuchukuliwa kuanzia kesho, zipelekwe kwake moja kwa moja.  Amesema hayo jana alipokutana na wanachama wa Chama kipya cha Madereva (TADWU), wakati alipokutana nao jijini Dar es Salaam akiwa na maofisa wa Wizara ya Kazi na Ajira, Kikosi cha Usalama Barabarani na Mdhibiti wa Usafiri wa

Breaking News: Mch. Christopher Mtikila afariki kwa ajali ya gari mkoani Pwani

$
0
0
Mwenyekiti wa chama cha siasa (Democratic Party - DP) nchini Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo katika ajali ya gari iliyotokea kwenye kijiji cha Msola mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha. RPC Mohamed amesema Mtikila alikuwa akitokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam na alikuwa na watu wengine watatu katika gari

Chadema Yaipa NEC siku tatu......Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa

$
0
0
Naibu Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika ametoa siku tatu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) kukabidhi nakala ya Daftari la Wapigakura kwa vyama vya siasa kwa ajili ya uhakiki vinginevyo watatumia nguvu ya umma kuwalazimisha kufanya hivyo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mnyika alisema zipo mbinu chafu na njama zinazofanywa na CCM ili kukihujumu chama hicho na

Pinda Amjibu Lowassa.....Asema Umaskini hauwezi kuondolewa kwa siku 100

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewabeza wanaosema umaskini wa Watanzania unaweza kuondolewa ndani ya siku 100. Akizungumza na wakazi wa Usevya na vijiji vya jirani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Usevya, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Pinda alisema umaskini wa Watanzania si wa siku moja. “Ninashangaa kusikia watu wakijitapa kuwa eti wataendesha nchi kwa kasi ya ajabu na

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Hawatapiga Kura- NEC

$
0
0
TUME ya taifa ya Uchaguzi sasa imethibitisha kuwa wanafunzi wa Vyuo vikuu hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni kinachorushwa na EATV, jana Emmanuel Kawishe amesema kuwa wanafunzi hao hawataweza kupiga kura kuchagua diwani,mbunge au Rais kwa kuwa sheria inasema kila mtu atapiga kura pale alipojiandikishia. “Sheria ya uchaguzi kifungu cha

Tutamchagua Lowassa hivyohivyo Alivyo- Vicent Nyerere

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema Musoma Mjini, Vicent Nyerere amesema Mkoa wa Mara utamchagua Edward Lowassa kuwa rais licha ya madai kwamba ni mgonjwa ili aweze kushughulikia masuala ya hospitali na kumwambia mgombea huyo kuwa: “Wanasema wewe mwizi, sisi huku tumesema tutamchagua mwizi na kumfungia Ikulu miaka 10 atumikie wananchi.” Nyerere alisema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye

Paul Makonda: Uchaguzi wa Mwaka Huu ni Kati ya Waadilifu (CCM) na Vibaka ( Ukawa)

$
0
0
Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mweza wa Urais kupitia CCM Bi Samia Suluhu Hassan,mkoani Mwanza. Makonda amesema kuwa hakuna uchanguzi mwepesi na raisi  kwa  CCM  kama wa mwaka huu Kasema  mwaka  huu  CCM  inapambana  na  Vibaka,Wachochezi  na  Mafisadi  waliokimbilia  UKAWA. Msikilize Makonda akizunngumza hapo chini

Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma

$
0
0
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi mkubwa zaidi kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas, Marekani alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki. Diamond Plutnumz ndiye msanii aliyekomba tuzo nyingi mwaka huu kwa kubeba 3 ambazo ni Video bora ya kucheza NANA, Msanii bora wa Afrika Mashariki na msanii wa mwaka. Vanessa Mdee amechukua tuzo ya msanii bora wa kike Africa Mashariki.

CCM Walia na Picha za Mikutano ya Lowassa

$
0
0
Teknolojia mpya ya habari na mawasiliano inamchango mkubwa sana kwenye uchaguzi wa mwaka huu, bila shaka imeongeza chachu ya ushindani kutokana jinsi ambavyo habari zinasambaa kwa muda mfupi ukilinganisha na chaguzi zilizopita. Hata hivyo, teknolojia hii imeibua wasiwasi mwingine kuwa huenda ikawa inatumika katika kufanya udanganyifu kwa kuchezea (manipulate) picha zinazoonekana kuwa za

Picha: Mtangazaji na producer wa vipindi vya tv Seki wa Original komedi afunga ndoa.

$
0
0
Producer wa kipindi cha Original Komedi Seki amefunga ndoa huku harusi yake ikihudhuriwa na wasanii wa Original Komedi na marafiki wengine. Kuona  Picha  za  Tukio  hilo  tembelea  >

Magufuli Aanza Kuunda Serikali......Taarifa Iliyotolewa na CCM Kwa Vyombo vya Habari LEO Imelitaja Jopo la Serikali ya Magufuli na Majukumu yake

$
0
0
Taarifa  kwa  Vyombo  vya  Habari Mwenendo wa Kampeni za CCM Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgombea Mwenza, Ndugu Samia Hassan Suluhu, wameendelea kufanya kampeni katika maeneo mbalimbali nchini.. Hadi jana, tarehe 10.10.2015, Dkt. Magufuli alikuwa amekwishatembelea Mikoa 22 na Majimbo 203.    Amekwishafanya mikutano mikubwa rasmi 240 na mikutano 865 ya

LOWASSA Aitikisa Musoma Mjini.....Hapa Kuna Picha 16 za Mafuriko Yake


Dk Reginald Akana Kujitoa kwa Lowassa

$
0
0
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Mengi amesema kuwa taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye amejitoa kwa Lowasa si za kweli. Alisema hayo kwa waandishi wa habari, aliokutana nao jijini Dar es Salaam, jana. Alikutana na waandishi hao ili kufafanua kuhusu taarifa, aliyosema inaenezwa kupitia mitandao ya kijamii, yenye kichwa cha habari ‘Mengi ajitoa

Makamba Ampa Makavu Kingunge

$
0
0
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba amemshangaa Kingunge Ngombale-Mwiru kutamka kwamba chama hicho hakijafanya chochote wakati ndiye aliyeshiriki kuandika vitabu kadhaa vya mipango ya chama hicho.Katika hali ya kumsuta Kingunge aliyetangaza kuachana na CCM hivi karibuni, Makamba alisema mwanasiasa huyo amekosa hofu ya Mungu kwa kusema uongo dhidi ya chama hicho

Mkapa Awataka WanaCCM Wavunje Makundi......Asema Mtu Anayehama Chama ni Msaliti na Hafai kuwa Kiongozi

$
0
0
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa amewaasa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuacha kambi ambazo ziliweza kusababisha majimbo mawili kuchukuliwa na Chama cha Wananchi (CUF) mkoani Lindi katika uchaguzi wa mwaka 2010. Rais Mkapa aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi ya

Magufuli Akabidhiwa 'Faili' La Wasaliti Awashughulikie

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli ameombwa kuwafuta kazi baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamebainika kuwa wanakihujumu kwa kumsaidia mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.   Katika hali inayoonesha kuwa kuna mchwa wanaokitafuna kwa kificho chama hicho, mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM mkoani Arusha, Victor Njau alimuomba Dk. John Magufuli kuwafukuza kazi mara

Je,CCM Watakubali Matokeo Iwapo Watashindwa??.......Majibu Yote Yako Hapa

$
0
0
Moja kati ya kitendawili kigumu kwa vyama vya siasa nchini ni iwapo watakubali matokeo kama watashindwa katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, swali hilo limekutana na majibu ya CCM. Akijibu swali hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari, mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, January Makamba alisema kuwa chama hicho hakina wazo la kushindwa kwa kuwa uwezekano huo haupo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images