Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Magufuli: Nakerwa na Vigezo vya Uzoefu Kuomba ajira

$
0
0
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuingia Ikulu atapambana kuhakikisha Watanzania wengi wanapata ajira na kwamba anakerwa sana na kigezo cha mtu kuwa na uzoefu ndio apatiwe ajira. Dk Magufuli alienda mbali na kusema kuwa kama kuna uwezekano, kipengele hicho kinachowataka watu kuwa na uzoefu wa miaka kadhaa kama kigezo cha kuajiriwa huku akitoa

Mkutano wa LOWASSA Jana Ulivunjika mkoani Tanga baada ya Umati mkubwa wa watu Kujitokeza na Kuzimia kwa wingi

$
0
0
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowassa jana  alilazimika kuahirisha mkutano mjini Tanga baada ya maelfu ya wakazi waliojitokeza kushindwa kuenea ndani ya uwanja wa Tangamano jijini Tanga   Kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Tanga shughuli zote zinazofanyika katika mitaa ya barabara ya

NEC Yawakana Usalama wa Taifa

$
0
0
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhan Kailima amedai kushangazwa na taarifa za kuondolewa kwa baadhi ya watumishi wa tume hiyo na kuingizwa wapya wanaotajwa kuwa Usalama wa Taifa (TISS). Amesema, vyombo vya usalama vimeimarisha ulinzi kwenye Ofisi za NEC lakini hakuna ukweli wa taarifa kwamba, Usalama wa Taifa ‘wameajiriwa kwa kazi maalumu’ kama inavyoelezwa. “Ni

Nape Amshambulia LOWASSA....Asema ni Fisadi na Hakuna kazi Aliyofanya Bila Kuiba. Kazungumzia Pia Suala La Lowassa Kujinyea

$
0
0
Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye ametumia dakika takribani 10 kumshambulia mgombea urais kwa kiketi ya Chadema, Edward Lowassa aliyewahi kuwa kada wa chama hicho.   Nape alirusha makombora yake kwa Lowassa jana alipopewa nafasi ya kumnadi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli katika viwanja vya Samora, mjini Iringa.  Alisema Lowassa ni mwizi na fisadi na

Mpasuko:Katibu wa Jumuiya Ya Wazazi ya CCM Moshi Apewa Likizo Ya Lazima Akituhumiwa Kumuunga Mkono Lowassa

$
0
0
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Moshi Mjini, Zakaria Laizer amepewa likizo ya lazima ya siku 30, akituhumiwa kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa. Kiini cha kupewa likizo hiyo kinatokana na kukutwa akipata chakula na viongozi wawili wa zamani wa CCM katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, ambao sasa wamehamia Chadema. Viongozi hao ni katibu wa zamani wa Itikadi na

Mchungaji Peter Msigwa Na Wafuasi 61 Wa Chadema Watiwa Mbaroni

$
0
0
JESHI  la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani  Iringa jana walitumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi  zaidi ya 61  wa  chama  cha  Demokrasia  na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea  ubunge wao  jimbo la  Iringa mjini  mchungaji Peter Msigwa   kwa tuhuma za  kumpiga mawe mkuu wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) Iringa na   wananchi  waliokuwa  wakitoka katika mkutano  wa

Picha : Muheza,Korogwe Wambeba LOWASSA

$
0
0
Edward Lowassa, mgombea urais kupitia Chadema anaeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, leo amelazimika kusimama na kuwahutubia maelfu ya wakazi wa Muheza, Tanga waliojipanga barabarani.    Taarifa kutoka Muheza zinaeleza kuwa walizuia msafara wa Lowassa kwa mbwembwe huku wengine wakidaiwa kulala barabarani wakimtaka mgombea huyo kuwahutubia kabla hajapita eneo hilo.    

Ajali ya Basi la Ngorika yaua askari wa JWTZ Na Kujeruhi wengine 33

$
0
0
Watu wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha . Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1.30 asubuhi leo wakati basi hilo likitokea Dar esalaam kwenda Arusha ambapo ilipofika eneo hilo dereva alihama upande wake wa njia kuyapita magari

CCM Waituhumu UKAWA Kumwagia Mikojo Ofisi zao Tanga........Wadai Lowassa Aliahirisha Mkutano Tanga Kwa Sababu Ya Matatizo Yake

$
0
0
Chama cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA kupiga mawe na kutupa chupa, baadhi zikiwa na mikojo, kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga jana, tarehe 28 Septemba 2015, kabla na baada ya mkutano wao wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tangamano, Tanga Mjini. Kama ilivyo kawaida yetu miaka yote, CCM iliazimia kufanya kampeni za amani, zinazoheshimu

Polisi Wasambaratisha utafiti wa Nani Mkali kati ya LOWASSA na MAGUFULI Uliokuwa Ukifanywa Mitaani

$
0
0
Wakati tafiti za kienyeji zenye lengo la kupima kukubalika kwa wagombea urais, hasa Dk John Magufuli na Edward Lowassa zikizidi kuongezeka, polisi jijini Arusha mwishoni mwa wiki walitumia nguvu kutawanya vijana waliokuwa wakiendesha kura za maoni kwenye stendi ndogo ya mabasi na soko kuu. Tangu kutangazwa kwa matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi za Twaweza na Ipsos, vijana kwenye

Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura......Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE

$
0
0
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo na ni marufuku kusafirisha masanduku ya kura kama ilivyokuwa zamani.   Jaji Lubuva aliyasema hayo Dar es Salaam jana katika mkutano na wawakilishi wa walemavu   kujadili namna bora ya wao

CCM Wamtimua Mwandishi wa Mwananchi Kwenye Msafara Wao Baada Ya Kuripoti Tukio la Magufuli KUZOMEWA Jijini Mbeya

$
0
0
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi, Peter Elias ameondolewa kwenye kikosi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za kampeni za uchaguzi za mgombea wa CCM, Dk John Magufuli kwa madai kuwa aliandika habari isiyostahili. Hii ni mara ya pili kwa CCM kumtimua mwandishi wa gazeti hilo kutoka kwenye msafara wa mgombea wake wa urais. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2010 wakati ilipomtimua Midraj

Taarifa ya Magereza kukanusha uvumi wa tangazo la ajira

$
0
0
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli. Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na

Roma Adai Hajapata Barua ya Wimbo Wake Kufungiwa....Awapa Ushauri BASATA

$
0
0
Siku chache baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kutoa tamko la kuufungia wimbo wa Roma ‘Viva’, rapa huyo amesema kuwa bado hajapata barua rasmi ya Baraza hilo.    Amesema yeye pia ameiona habari hiyo kwenye mitandao na sababu zilizoainishwa na Baraza hilo kuifungia ‘Viva’.   Licha ya kukiri kuwa hafahamu taratibu zinazotumiwa na Baraza hilo kutoa taarifa kama hizo, Roma alilishauri

Lowassa Akerwa Wafuasi wake Kupigwa Mabomu.

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha polisi kuwapiga mabomu wananchi wa Tanga waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wake. Lowassa alisema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe baada ya juzi kulazimika kuvunja mkutano wake kutokana na wingi wa watu na kusababisha wananchi wengi kuzimia mjini Tanga. Baada ya kuvunja mkutano

MAGUFULI: Mafisadi Hawataki Niingie IKULU

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema mafisadi hawawezi kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa wanamwogopa.   Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa hadhara,uliofanyika katika Viwanja vya Mvumi Misheni, Jimbo la Mtera,mkoani Dodoma.   "Mafisadi hawawezi kunichagua kwa sababu wananiogopa ila wapo Watanzania wengi wanaonipenda na

Unyama: Watu Watano wa Familia Moja Wachinjwa Kama Kuku Simiyu

$
0
0
Watu watano wamefariki dunia papo hapo kwa kukatwa katwa  mapanga  na kuchinjwa kama wanyama katika kitongoji cha Kisesa kata ya Bugalama wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Watu hao ambao ni wa familia moja walifanyiwa unyama huo kwa kukatwa katwa mapanga sehemu ya shingoni. Akizungumza na  waandishi wa habari Kamanda wa polisi Mkoani hapa Gemine Mushy alisema tukio hilo lilitokea juzi

Magufuli Afunika Dodoma.....Aahidi Kumaliza Mapigano Ya Wakulima Na Wafugaji

$
0
0
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana. Akitoa hotuba yake katika mji wa Kibaigwa Dk. John Pombe Magufuli alisema hakuna kitu kinachomuumiza kama mauaji ya wakulima na wafugaji yanayotokea kati ya wilaya za Kongwa Mkoani

NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA........Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho

$
0
0
Ikiwa zimebaki siku 23 kufikia siku ya kupiga kura nchini, mapya yameibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akidai kuwa zipo njama chafu za kumdhuru na kutengeneza ushahidi wa video na picha mnato na kuzisambaza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mbatia alidai kuwa njama hizo alizozigundua zilipangwa katika mikakati tofauti na

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi......Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

$
0
0
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi nzima. Sambamba na kibano hicho mbele ya waandishi wa habari jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilirudia msimamo wake wa kuyatangaza matokeo ya urais kabla ya Tume hiyo kwa kuwa kura zinahesabiwa vituoni na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images