Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu-LHRC

$
0
0
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia 40 ukifanywa na wananchi wa kawaida. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Helen Kijo-Bisimba amesema kumekuwa na matukio ya wananchi kuuawa wakiwa mikononi mwa askari polisi ambao kwa mujibu wa sheria za kuundwa kwake ni walinzi wa raia na mali zao.

Magufuli, Samwel Sitta Wamshambulia Lowassa

$
0
0
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga jana, Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta alimshukia Lowassa akisema mradi wa kusambaza maji kutoka Ziwa Victoria ulianza miaka mingi na kusimamiwa na Serikali ya Tanzania na Uholanzi wakati huo Lowassa, ambaye alikuwa Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo wakati wa utekelezaji wake, alikuwa bado mwanafunzi.

Wananchi Wa Dodoma Wakerwa Na MATUSI Ya Makongoro Nyerere Dhidi Ya Edward Lowassa

$
0
0
BAADHI ya wakazi wa mji wa Dodoma wameeleza masikitiko yao juu ya matusi na kashifa zinazotolewa na viongozi wa CCM dhidi ya wahasimu wao Chadema. Hali hiyo ilijitokeza juzi ambapo Makongoro Nyerere aliweka sera za CCM pembeni na kuanza kutoa kashfa kwa wagombea wa vyama vya siasa hususani Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na mgombea Ubunge Benson Kigaila. Akihutubia katika

Sumaye Ampa Makavu Magufuli......Lowassa Aahidi Kudhibiti Rushwa Ndani ya Siku 100

$
0
0
Jana  ilikuwa ni Septemba 26  ambapo  UKAWA waliendelea  na  mikutano  yao  ya  kampeni  za kuomba  ridhaa  ya kuchaguliwa na  wananchi .Jana  ilikuwa  ni  zamu  ya  wakazi wa Wilaya ya Hai ambapo  Waziri  Mkuu  wa  zamani, Fredrik Sumaye aliendelea na kazi ya kupangua mashambulizi ya CCM. Sumaye aliitumia siku ya jana kumjibu Dk Magufuli aliyesema kuwa utafiti uliofanywa na Twaweza

Nyomi: Magufuli Aendelea na Ziara zake Za Kunadi Sera za CCM.......Maelfu ya Wananchi Walijitokeza Jana Shinyanga Kumsikiliza

$
0
0
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi. Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta binafsi na

Serikali Inapoweka Sheria Yenyewe na Kuzikiuka Yenyewe .......Tazama Malori Yakisomba Wananchi Kuelekea Mikutanoni

$
0
0
Sidhani kama kuna ubaya kwa watu wanaopenda kufuatilia siasa na mienendo ya kampeni kujumuika katika mikutano mbalimbali kuwasikiliza wagombea nyadhifa za uongozi katika maeneo yao na nchi nzima kwa ujumla. Nadhani ni njia sahihi ya kuweza kuwasikia wagombea kuendana na eneo na tukio husika, kuliko kusubiri kusikiliza vipande tu kupitia vyombo mbalimbali rasmi na visivyo rasmi vya

Nyomi: LOWASSA Atikisa Hai, Kilimanjaro......Melfu Wahudhuria Mkutano Wake

$
0
0
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015. Mgombea Ubunge wa

Magufuli Awataja LIVE WanaCCM Wanaomsaliti Huku Wakimsanifu Kuwa Wanamuunga Mkono

$
0
0
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana aligeuka mbogo baada ya kuamua kuwataja hadharani watu wanaohujumu kampeni zake kwa kujifanya mchana wako pamoja na usiku wakigeukia upande wa upinzani. Akiwahutubia wananchi wa mkoani Shinyanga jana katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa CCM Kambarage, Dk. Magufuli, alisema kuna mamluki

Ratiba ya Mazishi ya Marehemu Celina Kombani

Magufuli Azomewa Jijini Mbeya.....Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa. Hapa kuna Video Mbili

$
0
0
Katika  hali  isiyo  ya  kawaida,Mgombea  Urais  kwa  tiketi  ya  CCM, Dr. John Magufuli  leo  alijikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  kukutana  na zomea zomea  ya  kundi  la  vijana  waliovamia  msafara  wake  akiwa  njianI  kuelekea  Mbarali  na kuanza  kuimba wakidai  Lowassa  ndo  Rais  wao....Tazama  Video hii Pamoja  na  kadhia  hiyo,Magufuli  alifanikiwa kufika  Mbarali 

Sumaye Atakiwa kujibu Tuhuma za Meno ya Tembo

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Hai kimemtaka Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kujibu tuhuma zilizokuwa zikimkabili kuhusu gari alilokuwa akitumia kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 100 mwaka jana. Katika tukio hilo lililojiri Machi 26, 2014 pembe hizo zilikutwa zikiwa zimebebwa na gari lenye namba za usajili STK 8394 lililokuwa likitumiwa na Sumaye. Gari hilo

Nape aponda Kadi Za Wanachama Wa CCM Waliohama Na Kuzikabidhi Kwa Lowassa Alipokuwa Jimbo La Mtama

$
0
0
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu. Nape alisema hayo wakati akizungunza na mwandishi mjini Morogoro juzi mara

Bulembo Azuia UKAWA kutumia Uwanja wa CCM

$
0
0
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Abdallah Bulembo amepiga marufuku uwanja wa jumuiya hiyo uliopo eneo la Milango Kumi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kutumika kwa mikutano ya kampeni za siasa kwa vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kwani uwanja huo ni rasilimali ya wanaCCM. Bulembo alitoa onyo hilo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati alipomkaribisha Mgombea urais wa Chama Cha

Tanzania yaruka Vihunzi vya Rushwa na kupata Sh. bilioni 992.8 za Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC)

$
0
0
TANZANIA imetimiza masharti yote ya kupatiwa raundi ya pili ya fedha za maendeleo kutoka Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) la Marekani, hivyo itaanza kupata na kunufaika na mabilioni hayo ya fedha baada ya wajumbe wa Bodi ya MCC kupiga kura ya kuidhinisha kutolewa kwa fedha hizo chini ya Mpango wa MCC-2. Habari hizo njema zilitangazwa juzi kwa Rais Jakaya Kikwete na Mtendaji Mkuu wa

Mbowe ashinda Rufaa dhidi ya Hukumu kesi ya Shambulio....Mahakama Yaamuru arejeshewe Milioni 1 aliyolipa kama faini.

$
0
0
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini. Hukumu hiyo ilitolewa leo na Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Aishiel Sumari baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na wakili mwandamizi wa Serikali, Tamari Mndeme kukubali rufaa hiyo. Mbali na sababu za rufaa

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.   Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye

Mwili wa Mhe. Celina Kombani waagwa viwanja vya Karimjee, Dr. Bilali aongoza wananchi kuomboleza

$
0
0
HALI ya huzuni imetawala wakati wa kuagwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani. Mwili wa Kombani umeagwa rasmi leo katika Uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mazishi kesho mkoani Morogoro. Watumishi wa serikali, wana familia ya Kombani na wananchi kwa ujumla walibubujikwa na machozi wakati wasifu wa

Shamsa Ford: Nataka Mabadiliko.....Siwezi Kujidhalilisha Kufuata Fedha CCM

$
0
0
Staa wa  filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amesema hatobadilisha msimamo wake wa kushabikia vyama vya upinzani kwa kulaghaiwa na wasanii wachache kwa maslahi yao binafsi . Shamsa amesema hayupo tayari kufuata maamuzi ya watu wengine hata kwa lundo la fedha kwani  kufanya hivyo  ni kujidhalilisha . “Mimi nitabaki huku kwa kuwa nahitaji mabadiliko,kila siku wasanii tunalia tukidai tunaibiwa

Mahujaji 50 Kutoka Tanzania Hawajulikani Walipo.....Ni Katika Tukio la Macca, Mwingine Athibitika Kufa

$
0
0
WAKATI Waislamu kote duniani wakiwa katika simanzi kuu kutokana na vifo vya mahujaji zaidi ya 700 katika mji mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia, imethibitika kuwa zaidi ya mahujaji 50 wa Tanzania, hawajulikani walipo. Aidha, idadi ya mahujaji wa Tanzania waliokufa katika tukio la kukanyangana katika mji huo mtakatifu, imefikia watano, baada ya mtu mmoja zaidi kuthibitika kufa na mwingine

Mwakyembe: Lowassa ndiye Richmond

$
0
0
MJUMBE wa timu ya kampeni ya CCM, Dk Harrison Mwakyembe, amesema sakata la kashfa ya Richmond, haliwezi kuachwa kuzungumzwa na wanaCCM kwa kuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameanza kusingizia watu wengine kuhusika na kashfa hiyo, jambo ambalo alisema haliwezi kuachwa lipotee bila kujibiwa. Aliyasema hayo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Ubungo jana, mkutano uliokwenda
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images