Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU

$
0
0
Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo. Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..  Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa... Cha  kufurahisha  zaidi  ni  kwamba, jamaa  katangaza 

" NILIKURUPUKA KUOLEWA MAPEMA" JACK PATRICK

$
0
0
MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi.  Akizungumza na mwandishi  wetu, Jack alisema laiti angekaa kwenye uchumba kwa angalau muda wa miaka miwili kuchunguzana kabla ya kuoana mwaka 2011, asingeweza kufikia hatua ya ndoa kwani

ROBERT MUGABE NDANI YA IKULU YA ZIMBABWE KWA MARA YA SABA....

$
0
0
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kinyan’ganyiro cha Urais wa Zimbabwe, Rais Robert Mugabe (89), amefikisha mihula saba ndani ya Ikulu ya nchi hiyo. Mugabe juzi alishinda tena kiti cha urais. Matokeo rasmi yalionyesha kuwa aliibuka na ushindi wa asilimia 61 wa kura dhidi ya mpinzani wake, aliyekuwa Waziri Mkuu, Morgan Tsvangirai ambaye alipata asilimia

FEZA KESSY AENDELEA KUPETA NDANI YA BIG BROTHER.....MPENZI WAKE ATOLEWA

$
0
0
Hatimaye jina la Oneza limefikia tamati jana baada ya Afrika kuamua kumuondoa shemeji yetu Oneal aliyepata kura ndogo zaidi katika The Chase. Pamoja na matumaini madogo sana aliyokuwanayo Feza ya kupona panga la eviction ya jana (August 4) lakini Afrika imeamua kummbakiza Feza mshiriki pekee wa Afrika mashariki na Tanzania aliyebaki.  Feza Kessy amepona katika eviction ya jana kwa

MUME AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUMNYONGA MKEWE

$
0
0
MWANAMUME mmoja amemnyonga hadi kufa mke wake na yeye akauawa na wananchi wenye hasira, katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Tukio hilo lililothibitishwa na polisi wilayani hapa, lilitokea usiku wa kuamkia juzi katika Kijiji cha Kisangwa Kata ya Mcharo, kwenye sherehe ya ufunguzi wa nyumba ya ndugu yao.Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mcharo, Waziri Kingi, alimtaja mwanamke aliyeuawa kwa

MKE WA MTU ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUNASWA AKIIBA NGUO KARIAKOO

$
0
0
Jimama mwenye hadhi yake ambaye ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Mary au Mama Gilo, mkazi wa Sinza jijini Dar amekula kichapo cha kutisha almanusra apoteze uhai baada ya kunaswa akiiba nguo kwa ajili ya Sikukuu ya Eid El Fitr. Tukio hilo la aibu lililoshuhudiwa na  mwandishi wetu lilijiri katika moja ya maduka makubwa ya nguo Kariakoo, Dar mwishoni mwa wiki iliyopita.

RIPOTI YA MAUAJI YA ARUSHA YAVUJA....

$
0
0
  HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya ripoti hiyo kufichwa kwa kutosomwa hadharani kwenye vyombo vya habari kutokana na kulishutumu moja kwa moja Jeshi la Polisi, Tanzania Daima imefanikiwa kuinasa.Maandamano hayo ya CHADEMA ya

MSIMAMO WA RAIS KIKWETE KWA RAIS KAGAME WA RWANDA WAUNGWA MKONO KWA ASILIMIA 100 NA WASOMI HAPA NCHINI....

$
0
0
   WASOMI  na  baadhi  ya  wanasiasa  wazalendo nchini wameunga mkono msimamo wa Tanzania uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na chokochoko zinazoanzishwa na Rwanda na wamemtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kukaa meza ya mazungumzo na waasi wa nchi hiyo walioko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kwani amani haiwezi kutafutwa kwa njia ya mtutu wa bunduki.Akizungumza na MAJIRA  kwa

JAJI FRANCIS MUTUNGI ATEULIWA KUWA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA...TENDWA KWA HERI

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa. Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo, Jumatatu, Agosti 5, 2013, na kutiwa saini na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza Ijumaa iliyopita Agosti 2, 2013. Jaji Mutungi anachukua nafasi iliyoachwa wazi

MTOTO WA MIAKA MITATU ALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA BABA YAKE....

$
0
0
<!-- adsense -->   Video ya mtoto mchanga akifundishwa mapenzi na baba yake yanaswa. Katika video hiyo, mtoto huyo anaonekana akiingiliwa kimwili na baba yake, huku akilizimishwa kumnyonya "mambo" yake, hali iliyomfanya mtoto huyo amwage machozi ya uchungu..... << VIDEO, BOFYA  HAPA >>

VIDEO YA TUKIO LA JAMBAZI LILIVYONUSURIKA KUUAWA JIJINI DAR

$
0
0
KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam.  Kijana huyo pamoja na mwenzake wakitumia pikipiki walikuwa na silaha za moto tayari kwa kwenda kufanya uhalifu lakini kabla mpango wao haujakamilika polisi waliingilia kati na kuanza kupambana nao.  Haikuwa kazi rahisi

MWANAUME APOTEZA UUME WAKE KWA SIKU TATU JIJINI DAR....( VIDEO)

$
0
0
MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Elias Peter (28) mkazi wa Mwananyamala Msisiri, Dar hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya uume wake kutoweka kwa siku tatu na kurudi ambao hauna nguvu. Akizungumza na mwandishi wetu, Elias alisema siku ya tukio alipewa sigara na kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Saleh Mtima alipomaliza kuvuta alianza kuhisi baridi kali ghafla

MTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA THAILAND...

$
0
0
SIKU chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini humo. Mtanzania huyo aliyefahamika kwa jina moja la Kileo, alikamatwa Jumanne wiki iliyopita katika kisiwa cha Macau akiwa amemeza dawa hizo aina ya cocaine akielekea China. Kwa mujibu wa maofisa wa

"TUTAHAKIKISHA KAGAME HAPONI , NI LAZIMA TUMMALIZE KABLA HAJATOROKA"..... HII NI KAULI YA BAADHI YA ASKARI WETU

$
0
0
Chokochoko  zinazoendelezwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (pichani) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete zimewakasirisha baadhi ya wananchi wakiwemo askari wa Tanzania na wakadai kuwa kiongozi huyo wa Rwanda atakiona cha moto akianza uchokozi. Wakizungumza na gazeti  la UWAZI  mwishoni mwa wiki iliyopita kwa sharti la kutoandikwa majina yao gazetini, baadhi ya askari walisema wanamshangaa

TACAIDS YATOA TAKWIMU ZA UKIMWI...MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA UKIFUATIWA NA IRINGA

$
0
0
TUME ya Kudhibiti UKIMWI nchini (TACAIDS) imesema mkoa wa Njombe unaongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya UKIMWI kwa asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1.Mkoa wa Mbeya unashika nafasi ya nne kwa asilimia tisa ukifuatiwa na Ruvuma (7.2), Shinyanga (7.4), Dar es Salaam (6.9) Rukwa (6.2), Katavi (5.9), Pwani (5.9),Tabora (5.1), Kagera (4.8) na Geita (4.7).

WANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI HUKO MBEYA

$
0
0
 Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa.  Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya. Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na

PICHA ZA NUSU UCHI ZA RIHANNA KATIKA TAMASHA LA CROP OVER 2013

$
0
0
  Taswira juu na chini zinamuonesha Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty 'Rihanna' akijiachia na ndugu, jamaa na marafiki katika tamasha la kila mwaka la 'Crop Over Carnival' lililofanyika nyumbani kwao Barbados. <!-- adsense -->

HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO

$
0
0
<!-- adsense --> Kujichua  au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia……. Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio

SELLY AMUOMBA MSAMAHA MPENZI WAKE KWA KUFANYA MAPENZI NA NANDO NDANI YA BIG BROTHER

$
0
0
Hatimaye mshiriki wa Ghana katika reality show ya Big Brother ‘The Chase’ Selorm Galley maarufu kama Selly aliyetoka wiki moja iliyopita, amemuomba msamaha boy friend wake (wa Ghana) kwa yale aliyoyafanya mbele ya Camera za nyumba ya Big Brother. Kupitia kipindi cha live ‘Celebrity Show’ cha ETV ya Ghana Selly ambaye pia ni muigizaji alianza kwa kumshukuru mpenzi wake Praye Tietia

MKENYA WA DR. ULIMBOKA AFUTIWA KESI YAKE

$
0
0
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amefuta kesi ya kuteka na kujaribu kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, iliyokuwa ikimkabili raia wa Kenya, Joshua Mulundi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni baada ya DPP kuona hana haja ya kuendelea kumshitaki kwa makosa hayo ambayo yalikuwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images