Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wakati Watu Wanajadili Utafiti Wa TWAWEZA, Leo Lowassa Azidi Kufanya Maajabu Masasi, Shuhudia MAFURIKO Yake Hapa


Utafiti wa Twaweza Wapingwa Kila Kona........LOWASSA Asema Majibu Kamili ya Utafiti Ni Octoba 25

$
0
0
Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu yamepingwa na wasomi, wanaharakati na wanasiasa, akiwamo mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ambaye ameuponda na kueleza kuwa matokeo halisi yatapatikana Oktoba 25. Utafiti huo unaonyesha kuwa kama kura zingepigwa kati ya Agosti na Septemba, mgombea wa CCM, Dk John Magufuli angeibuka na ushindi wa asilimia 65, wakati Lowassa

BASATA Yatoa Siku 7 Kwa Wamiliki wa Blogs, sound cloud, U-Tube , ITunes, Radio na Tv Kufuta Nyimbo za Wasanii Zenye Kukiuka Maadili

$
0
0
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya kitanzania katika misingi yoyote hasa katika kipindi hiki Taifa linapoendelea na

Magufuli Atikisa Mji Mdogo wa Katoro Mchana Huu

$
0
0
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria   Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi Wagombea Ubunge wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia

Lowassa Atumia Mahakama ya Wananchi Kuchagua Mbunge Baada ya Dk Makaidi Kukataliwa Mbele Yake

$
0
0
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alimwomba mwenyekiti mwenza wa umoja huo, Dk Emmanuel Makaidi kujitoa kugombea ubunge katika Jimbo la Masasi na kumwachia mgombea wa CUF, Ismail Makombe baada ya kukataliwa na wananchi. Uamuzi huo ulifikiwa katika Uwanja wa Bomani mjini Masasi, baada ya Lowassa kuwasimamisha wagombea hao

LOWASSA Aiangamiza Ngome Ya CCM, Jimbo La Mtama Kwa Nape Nnauye Jiioni Hii ......Mamia Warudisha Kadi za CCM Na Kujiunga UKAWA

CCM Makao Makuu Wameongea na Vyombo Vya Habari LEO........Wameongelea Utafiti wa Twaweza na Wamesisitiza Kuhusu Mdahalo

$
0
0
Chama cha Mapinduzi kinapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa. Mwenendo wa Kampeni  Kwa kifupi, Mgombea Urais, Ndugu John Pombe Magufuli na Mgombea-Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan, wanaendelea vizuri na kampeni. Kila mmoja anafanya mikutano na wananchi kati ya 8 hadi 11 kwa siku na kukutana na maelfu kwa maelfu ya wananchi.   Tunawashukuru wananchi wanaokuja kwenye mikutano yetu.

Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

$
0
0
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal. Bakwata ilieleza jana kuwa sherehe hizo zitafanyika katika mji wa Musoma na Idd itaswaliwa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo, saa mbili asubuhi na Baraza la Idd saa nane mchana.

Magufuli Akomalia Kauli Mbiu ya "Magufuli For Change (M4C)"

$
0
0
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameendelea kujinadi katika kampeni zake, huku akitumia kauli mbiu ya Movement for Change (M4C) inayotumiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye mikutano yake. Chadema hivi karibuni waliilalamikia hatua hiyo ya Dk. Magufuli na kumtaka aache kutumia kauli mbiu hiyo ambayo ina maana ya ‘vuguvugu la mabadiliko’,

Utafiti wa TWAWEZA Waibua Maswali 14

$
0
0
Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa. Kadhalika maswali mengine yaliyozua utata kuhusu utafiti huo ni sababu za maoni hayo kuanza kukusanywa siku mbili

Mgeja Ashangaa Push-Up Za Magufuli....Asema Anafaa Kushiriki Michezo Ya Olympic Na Sio Urais

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja  ambaye  alijiondoa  na  kuhamia  Vyama pinzani, amesema anashangaa kuona mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli, akipiga push up, hivyo akasema anafaa kushiriki michezo ya Olympic na siyo kuwa rais. Mgeja aliitoa  kauli  hiyo jana  wakati wa mkutano wa kampeni za Lowassa uliofanyika katika ngome ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ya

LOWASSA Aeleza Kama Atakubali au Atakataa Matokeo Akitangazwa AMESHINDWA

$
0
0
ZIKIWA  zimebakia  siku 30  kabla  watanzania  hawajapiga  kura  ya  kumchagua  Rais,mgombea  urais  kwa  tiketi  ya  CHADEMA, Edward  Lowassa  ambaye  amekuwa  akieleza  imani  yake  kuwa  atashinda  kwa  kishindo, ameeleza  msimamo  wake  endapo  tume  ya  Taifa  ya  Uchaguzi  itatangaza  matokeo  tofauti  na  ya  matarajio  yake. Akiongea  na  kituo  cha  Runinga  cha  Citizen  cha 

Breaking News: Waziri Celina Kombani afariki dunia

$
0
0
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India  alikokuwa akipatiwa matibabu Taarifa tulizozipata usiku huu  zimesema  kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu Mtandao huu unatoa pole kwa familia

Mkurugenzi aeleza TCRA inavyohusika kumbaini mtuhumiwa wa Makosa ya Mtandaoni

VIDEO: Magufuli aeleza maana ya vidole vya CHADEMA ........Ataka "People's Power" Imwangukie Yeye


ACT- Wazalendo Yalia na Ukata wa Fedha za Kampeni

$
0
0
Wakati zikiwa zimebaki siku 29 kuelekea uchaguzi mkuu, kampeni za mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira zinakabiliwa na uhaba wa fedha ambazo sasa zimebaki Sh. milioni mbili tu. Tangu mgombea huyo alipozindua kampeni zake Agosti 30, mwaka huu hadi sasa, chama hicho kimeshatumia Sh. milioni 363 ambazo ni wastani wa takribani Sh. milioni 15 kwa siku. Lakini kutokana na

Akamatwa na polisi akipigisha watu kura za nani mkali kati ya MAGUFULI na LOWASSA

$
0
0
Mtu mmoja huko Kariakoo  jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi . Taarifa hii na picha zifuatazo  ni  kwa  hisani  ya  wavuti

Sentensi 11 Zilizotolewa Jana na Freeman Mbowe Kwenye Baraza la Idd

$
0
0
Viongozi wakuu wa umoja wa katiba ya wananachi UKAWA wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA Mh FREMAN MBOWE pamoja na makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa SAFARI na kaimu mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ambaye pia ni mbunge wa bunge la Africa mashariki Mh TWALHA TASLIMA jana jioni walihudhuria Baraza la kuu la idd lililoamndaliwa na Taasisi za kiislam

UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA.......Hapa kuna Video ya James Mbatia Akiwapa Makavu

$
0
0
Umoja wa katiba ya wananchi Tanzania UKAWA  umeitaka taasisi inayijihusisha na maswala ya midahalo na tafiti mbalimbali TWAWEZA kuandaa mdahalo wa wazi na umoja huo kwa ajili ya kuichambua na kuitetea tafiti yao waliyoitoa hivi majuzi inayoonyesha kuwa chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Akizungumza na wanahabari jana  kuhusu kile

Kauli ya UKAWA Kususia Uchaguzi Yaishtua NEC.

$
0
0
Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeshtushwa na kauli  iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwamba watasusia uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Hata hivyo, Nec imetetea kauli iliyotolewa  na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya Mgombea urais  ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, kwamba CCM haitakubali kuiachia Ikulu Umoja wa Katiba ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images