Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani

$
0
0
KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Bulembo alitoa kauli hiyo kwenye mkutano wa kampeni za urais wa mgombea wa chama chake Dk. John Magufuli Kigoma. “Serikali imefanya makosa mengi na Chama Cha Mapinduzi kimefanya makosa mengi lakini hakitofanya kosa la

VIDEO: Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi

$
0
0
MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka upendeleao. Kauli ya Mbowe inakuja siku mbili baada ya Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Leticia Ghati Musore na katibu mkuu wa chama hicho Mosena Nyambabe kudai kwamba “Chadema

Lowassa Atoa Msimamo Sakata la Richmond....Aahidi Kukomesha Unyanyasaji kwa Raia

$
0
0
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), amesema utawala wa serikali yake hautanyanyasa wananchi wanaodaiwa kuwa sio raia. Alikuwa akizungumza jana na wakazi wa Jimbo la Nkenge, wilayani Misenyi walio mpakani na nchi ya Uganda. Aliwataka maafisa wa Idara ya Uhamiaji kuacha kuwanyanyasa wananchi

Magufuli Afunika Chato........Maelfu ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wake LEO

$
0
0
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.  Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa CCM

Ijue Tiba ya Nguvu za Kiume kwa Wagonjwa wa Kisukari

$
0
0
Ugonjwa  wa  kisukari  ni  miongoni  mwa  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Asilimia  kubwa  ya  wagonjwa  wa   kisukari  wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume. Unajua  ni  kwa  nini  wanaume  wenye  kisukari  wanasumbuliwa  pia  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ?   JIBU  NI  RAHISI  SANA, NALO  NI  KWA 

LOWASSA: CCM Mtaisoma Namba, Watanzania Wanataka Mabadiliko

$
0
0
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya CHADEMA na UKAWA, Bw. Edward Lowassa ameendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais  wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bw. Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala   Jimbo la Ukonga Akiwa katika Uwanja wa Shule

Picha 6 za MAFURIKO Ya Lowassa Jana Jijini Dar es Salaam

$
0
0
Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala. Hizi  ni  Picha  Za  Maelfu  ya  Wananchi  waliofurika  Kumsikiliza

Sumatra Yafungia Mabasi yote ya Muro

$
0
0
MAMLAKA ya Kudhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesitisha kwa muda usiojulikana leseni ya usafirishaji abiria ya kampuni ya mabasi ya Muro (Muro Investment Co. Limited), kwa kutokidhi viwango vya kiufundi na usalama. Aidha, Sumatra imeiagiza kampuni hiyo kuwasilisha kwa mamlaka hiyo mpango wa utengenezaji magari yake, nakala ya cheti cha ofisa usafirishaji wa kampuni pamoja

Mabasi 138 yaendayo haraka yatua Dar

$
0
0
Mwezi mmoja baada ya kuanza kutolewa kwa mafunzo kwa madereva maalumu, awamu ya kwanza ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imewasili nchini kutoka China. Agosti 16, Serikali ilizindua mafunzo ya madereva 330 ambayo yangetolewa kwa awamu tano ili kuwajengea uwezo wa kuyaendesha na kuwahudumia wateja. Akipokea mabasi hayo kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa,

Maoni:NEC Iwamulike Wanasiasa Wanaofanya Kampeni za MATUSI Ili Kuepusha Vurungu Nchini

$
0
0
Ndugu wasomaji,ni matumaini yetu kuwa mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku ikiwemo kufuatilia kampeni za wanasiasa ikiwa ni kuelekea  uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi oktoba 2015. Leo napenda nizungumzie  viashiria vya uvunjifu wa  amani  vinavyojitokeza  katika kampeni za wanasiasa mbalimbali kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge na marais katika maeneo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC ) Yatupilia Mbali Malalamiko ya Mbowe

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imepuuza malalamiko ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) juu ya kauli ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari kuiachia Ikulu kwa namna yoyote ile, ikisema ni ya kisiasa na hayana madhara yoyote. Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kwa sasa kila chama kipo kwenye kampeni za kutafuta

Joseph Musukuma Amshambulia LOWASSA........Asema Alijisaidia Hadharani Pale Chato. Tazama Video hii

$
0
0
MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemvaa mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa na wengine waliohamia Ukawa akisema wanashukuru chama kimetua mzigo.   Msukuma, ambaye anaaminika kuwa swahiba wa Lowassa wakati wa mchakato wa kura ya maoni kwenye CCM, aliuambia mkutano jana kwamba hakuna anayefahamu siri za Lowassa.   “Nataka nimwambie ndugu yangu, rafiki yangu

Emmanuel Mbasha Aachiwa Huru...Upande wa Mashtaka Umeshindwa Kuthibitisha kosa la Ubakaji dhidi yake

$
0
0
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanual Mbasha (32), leo ameangua kilio baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala huku mke wake, Flora amesema yuko tayari warudiane endapo ataomba radhi. Mbasha alimwaga chozi muda mfupi baada ya kutoka katika chumba cha Mahakama alipopandishwa kizimbani kusomewa hukumu. Mshtakiwa huyo ameachiwa huru dhidi ya kesi ya ubakaji iliyokuwa

Lowassa Aahidi Kufumua Mikataba ya Gesi na Mafuta.......Sumaye amtaka Magufuli Ahamie UKAWA

$
0
0
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema akichaguliwa na kuingia madarakani baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 25, atahakikisha kuwa mikataba yote ya gesi na mafuta inapitiwa upya ili kuhakikisha kuwa kweli inawanufaisha Watanzania na siyo wawekezaji wa kigeni peke yao. Lowassa anayewakilisha pia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya

Magufuli Alalamika Kuhujumiwa: Asemna Kuna WanaCCM Wanamuunga Mkono Mchana, Ikifika Usiku Wanawaunga Mkono Wapinzani

$
0
0
Hatimaye mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameibuka hadharani na kuzungumzia tatizo la kuwapo kwa baadhi ya wafuasi wa chama chake kumhujumu kwa kuunga mkono harakati za upinzani. Akizungumza kwenye viwanja vya Zimbiilo, Wilaya ya Muleba Kusini jana, Magufuli alisema anatambua kuwapo kwa baadhi ya wanaCCM wanaojionyesha kumuunga mkono nyakati za

CHADEMA Wachangisha Milioni 97 za Kampeni...... Mbowe Asema Wako Matajiri Watano Ambao Wameapa Kukipigania Chama

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake kina watu watano wenye uwezo wa kiuchumi wanaoweza kukisaidia chama hicho kuendesha shughuli zake za kampeni, ikiwa ni siku 32 kabla ya wananchi kupiga kura Oktoba 25. Lakini mwenyekiti huyo wa Chadema amesema watu hao hawataki kutangazwa majina yao kutokana na kuhofia kufuatiliwa na vyombo vya dola, akisema kitendo hicho ni cha

Picha: Magufuli Apokelewa Kishujaa Bukoba Mjini

$
0
0
Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya mji wa Bukoba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha bei ya Kahawa inapanda, ujenzi

Utafiti wa TWAWEZA Waibeba CCM.....Kama Uchaguzi Ungefanyika Leo asilimia 65% walisema Magufuli, 25% walisema Lowassa.

$
0
0
Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imefanya kwa wananchi wa Tanzania bara kutoka mikoa tofauti ya Tanzania.    Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama gani? wanasema watu wamejibu kama ifuatavyo CCM - 66% CHADEMA - 22% CUF - 1% ACT wazalendo - 0% UKAWA - 3% Kingine - 6% Hakuna jibu 2% Utafiti huo  uliotokana na kuhoji watu 1848

Picha na Video ya Magufuli Akipiga Push-Up Kuonesha Yuko FITI

$
0
0
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine. Tazama  video  ya  Dr. Maguli  hapo  chini  Akipiga  Push-Up

Makanisa matatu ya kilokole yachomwa moto Bukoba

$
0
0
Makanisa matatu ya dhehebu la Kipentekoste yaliyopo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, yameteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika. Tukio hilo limehusisha makanisa ya Pentecostal Assemblies of God (PAG) lililopo Buyekera Kata ya Bakoba, Living Water International na Evangelical Assemblies of God (EAGT) yote yakiwa eneo la Kashura. Akizungumzia tukio hilo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images