Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ajinyonga kwa katani baada ya kunyang’anywa mke

$
0
0
Mkazi wa kitongoji cha Mihuru, kijiji cha Kitarungu wilayani Serengeti, Mara amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kukosa ng’ombe wa kulipa mahari. Chacha Bruna (25) alijinyonga kati ya Septemba 7 na 8 usiku baada ya kunyaang’anywa mke kwa kukosa mahari hiyo ya ng’ombe. Mwenyekiti wa kijiji hicho Yohana Gimano alisema Bruna alifikia uamzi huo baada ya

Taarifa Rasmi ya serikali Ya Tanzania juu ya Ajali katika Msikiti wa Makkah - Saudi Arabia, Mahujaji wa Watanzania wote wako Salama.

$
0
0
Msanii King Majuto akiwa na Mahujaji wenzake wakiwa salama salimini baada ya ajali hiyo   *** Kufuatia mvua  ilioambatana na upepo mkali na kusababisha kuanguka kwa mashine ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah, msikiti huo umeanguka na kusababisha vifo vya mahujaji.   Kwa mujibu wa Televisheni ya Saudi Arabia, Saudi TV hadi sasa watu 107 wamefariki dunia na

Lishe Maalumu Kwa Wanaume Wenye Tatizo la Ukosefu na Upungufu wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani. Kufahamu   kwa  kina  kuhusu  sayansi  ya  nguvu  za  kiume, tafadhali  temb elea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html Hata  hivyo, kwa  kutumia  dawa  asilia ya  JIKO pamoja   na  LISHE  MAALUMU  KWA  WANAUME  WANAO  SUMBULIWA 

Mgombea Ubunge CHADEMA Afariki Katika Ajali ya Gari

$
0
0
Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto kwa tiketi ya Chadema, mkoani Tanga, Mohamed Mtoi amefariki baada ya gari lake kupinduka wakati akitokea kwenye kampeni jana jioni.   Akithibitisha taarifa hizi, Katibu wa Chadema wilayani Lushoto, Abdalah “Dula” Dhahabu amesema ajali hiyo imetokea jana jioni wakati mgombea huyo akitokea Mlola alipokuwa anafanya kampeni kuwania kiti hicho.

Wasanii wa Bongo Movie Wanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais Wa -CCM

$
0
0
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani. Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa

Magufuli Azidi Kuchanja Mbuga.....Maelfu ya Wananchi Wahudhuria Mikutano yake Simiyu

$
0
0
Mgombea Urais kupitia CCM Dr.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa mji wa Lamadi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akiingia madarakani atahakikisha wananchi hao wanaondokana na tatizo sugu la upatikanaji maji.  Mgombea Ubunge jimbo la Busega Dk. Raphael chegeni akihutubia wakazi wa mji wa maji kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizoongozwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Septemba 13

BASATA Yawaonya Wasanii Wanaotumia Lugha Chafu Katika Kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

$
0
0
KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa. Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada

Wimbo Mpya wa Roma Ulioifanya BASATA Itoe Onyo Kwa Wasanii........"Viva Roma Viva"

$
0
0
Msanii wa Hip-hop ametoa track yake mpya inayoitwa VIVA ROMA. Kama kawaida, kwenye track hiyo amezungumzia mambo mengi yanayohusu Siasa za Tanzania; Haya  ni  Mashairi  ya  Wimbo  huo: Nimeshapigwa sana mkwala na jumbe za vitisho, ila siamini huu msafara ni vibaraka wa Mrisho, si tulianza sawa vita ya kuitetea Ikulu? Leo umeisaliti UKAWA kwenye sherehe za uhuru! Uhuru uko wapi

Mambo Yaliyombeba Magufuli Mikoa 11 Aliyofanya Kampeni

$
0
0
KAMPENI za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, zimemalizika katika mikoa 11 jana, kwa kumalizia katika Mkoa wa Simiyu, huku ajenda kadhaa na ubora wake wa kutawala jukwaa, vikimng’arisha mgombea huyo na kumfanya kuwa kivutio cha wananchi. Mpaka sasa Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Mtwara, Morogoro,

Mafuriko ya LOWASSA Yahamia Singida......Apokelewa Kifalme, Shughuli zasimama kwa Muda

$
0
0
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akionyesha mfano wa funguo kwa umati wa wananchi wa Singida, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo jana Septemba 12, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia

Bango la Daladala Lamkuna Lowassa....“Mnashangaa Lowassa Kupanda Daladala, Mbona Hamshangai twiga Kupanda Ndege”.

$
0
0
Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa alishangaza wapinzani wake wakati alipofanya ziara za kushtukiza jijini Dar es Salaam, ikiwa ni pamoja na kupanda daladala, lakini wananchi mkoani Singida walimsaidia kutoa jibu. Lowassa, Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne aliyejiondoa CCM mwishoni mwa Julai, alikuwa akizungumza na wananchi wa Manyoni mkoani Singida kwenye

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Septemba 14

CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi Ushindi wa Kishindo

$
0
0
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein jana alizindua rasmi kampeni zake, akisema hana hofu ya kushindwa na kwamba akirejea madarakani atahakikisha anayalinda kwa nguvu zake zote Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 huku akiwataka wananchi kulinda amani na utulivu uliopo. Alisema kinachompa imani ya ushindi ni utekelezaji wa Ilani ya CCM katika miaka mitano ya

Lowassa: Msifanye Kosa Kuichagua CCM.

$
0
0
Mgombea urais iliyesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa,  ametua katika Jimbo Singida Kaskazini la Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazoro Nyalandu, huku akiwatahadharisha wananchi wasipompigia kura za kuitosha kuiondoa CCM madarakani watakuwa wamejiangamiza. Aidha, alimwelezea Nyalandu kuwa anamfahamu mbunge

Lori Lavamia Msafara wa Magufuli

$
0
0
MSAFARA wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, umenusurika kupata ajali, baada ya lori la mizigo kuuvamia na kugonga magari matatu likiwamo lililokuwa limembeba mpiga debe wa chama hicho, Amon Mpanju. Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Njia Panda jirani  kilomita chache kabla ya kuingia Maswa mjini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Gemin

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne

Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani

$
0
0
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi. Aidha, Polisi Kanda hiyo kwa kushirikiana na vikosi maalumu tangu ianze operesheni ya kuwasaka watuhumiwa waliovamia vituo vya Polisi na

Rais Kikwete Ateua Wakuu wa Mikoa Wawili,Mganga Mkuu wa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu

$
0
0
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.    Taarifa iliyotolewa Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake,

Kauli ya Sumaye Kuhusu Tuhuma za Mashamba

$
0
0
Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni za ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, alisema kwa sasa hakuna njia au mtu atakayeweza kuifufua CCM. Sumaye alisema wamezunguka maeneo mengi ya nchi kila walipokuwa wakienda wamebaini Watanzania hivi sasa wanahitaji mabadiliko na hawana mpango wa kuongozwa tena na CCM. Aidha Sumaye alipingana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images