Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutotoa matamko kabla ya NEC

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi kutoa tamko lolote linalohusu uchaguzi au kampeni kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) haijatangaza matokeo. Akizungumza jana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania, Membe alisema waangalizi hao wanaweza kutoa ripoti zao baada ya kuthibitishwa na wizara ya mambo ya nje,

Abubakary Zubeiry achaguliwa rasmi Mufti Mkuu wa Tanzania

$
0
0
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jana limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania. Katika uchaguzi huo uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Africa Dream mjini Dodoma, Tume ya Dini ya Kiislamu imemchagua Sheikh Zubeiry kwa kura 310 za ndiyo baada ya kuingia kwenye uchaguzi huo akiwa mgombea pekee. Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti mstaafu wa

Magufuli Azuru Kaburi la Nyerere Butiama.......Akabidhiwa Kifimbo cha Nyerere

$
0
0
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani humo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya.  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 11 Septemba

Mbunge wa CCM Aibuka Katika Mkutano wa ACT-Wazalendo.....Polisi Wamwondoa Kuepusha Vurugu

$
0
0
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), aliyemaliza muda wake, Ally Keissy jana aliibuka kwenye mkutano wa kampeni wa chama cha ACT-Wazalendo na kupinga maelezo kwamba mshahara wake wa ubunge ni zaidi ya Sh10 milioni. Keissy aliwasili kwenye mkutano huo uliokuwa wa mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Yusuph Mussa uliofanyika Kijiji cha Namanyere, akiwa

Picha 6 za Mafuriko ya Lowassa Kibaigwa Mkoani Dodoma Jana

$
0
0
Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni  za Ukawa,Lowassa  ameendelea kuwa gumzo  sehemu mbali mbali anapofanya  mikutano   ya  kampeni  zake.   Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani 

LHRC yamtaka Dkt. Magufuli kufuta kauli zake

$
0
0
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimekemea kauli zenye kuwajengea hofu wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia unaoendelea kwa kutoa mifano isiyoshabihiana na hali iliyopo nchini ikiwemo kufananisha na nchi zenye machafuko Katika taarifa yake iliyotolewa kwa vyombo vya habari imemtaka mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Mh. John Magufuli kufuta kauli

Kubenea awashukia NEC

$
0
0
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Saed Kubenea amefichua mbinu za Tume ya uchaguzi (NEC) kukutana na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ukumbi wa Kilimanjaro Hoteli. Kubenea amesema kuwa Maofisa wa tume hiyo walikutana na mgombea ubunge kupanga mbinu ya kutengeneza vitambulisho feki vya kupigia kura ameahidi kutaja

TCRA Yapiga Marufuku Mtu Ambaye Sio Mgombea Kushiriki Vipindi vya TV Vya Moja Kwa Moja (Live Programmes) Vinavyohusu Uchaguzi

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kuwa kuanzia  tarehe 10 Septemba 2015, na katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu 2015, watu ambao sio wagombea wa udiwani, ubunge, urais, wasemaji rasmi wa vyama au watu wasioteuliwa na vyama vya siasa kama wawakilishi hawataruhusiwa kushiriki katika vipindi vya moja kwa moja (Live Programmes) vinavyohusu shughuli za

.....Ni LOWASSA Kila Kona ya Nchi

$
0
0
Hakuna shaka kwamba jina la Edward Lowassa (pichani), ndilo linalozungumzwa zaidi kwenye kampeni za urais zinazoendelea sasa;iwe kwa mazuri au mabaya. Wakati Chadema na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vikiendelea kulinadi jina la Lowassa kwa mazuri katika mikutano ya kampeni, CCM na vyama vingine vimekuwa vikeleza kuwa mgombea huyo wa Ukawa hafai kuwa Rais. Mbali

Magufuli: Nitahakikisha nchi haifanywi shamba la bibi

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha nchi inapata mgao halali kutokana na uwekezaji kwenye rasilimali zilizopo. Akizungumza uwanja wa Mkendo, mjini Musoma, Mara jana jioni, mgombea huyo alisema kuwa kuna wawekezaji ambao wameifanya nchi kama sehemu ya kuchuma tu, hivyo atapambana nao. “Tunahitaji wawekezaji wote kutoka

Sheria ya Makosa ya Mitandao yapingwa mahakamani

$
0
0
Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu THRDC pamoja na kituo cha haki za binaadamu LHRC wameamua kufungua kesi kupitia wakili Jebra Kambole kupinga baadhi ya vipengele kwenye sheria ya makosa ya mtandao mpaka pale vitakapofanyiwa marekebisho. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho

Urais 2015: Warioba amfananisha Magufuli na Nyerere

$
0
0
Aliyekuwa  Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji  Joseph Sinde Warioba amesema  kwamba Mgombea Urais wa CCM Dr. John Pombe Magufuli ni mtu muadilifu, Mchapakazi na Asiyekuwa na tamaa hivyo anazikaribia sifa za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Akizungumza na wananchi  kwenye  mkutano wa kampeni uliofanyika juzi mjini Bunda,  Warioba alisema Dr. Magufuli ndiye anayestahili kuwa Rais wa

Lowassa Aahidi Kukomesha Utaratibu wa Viongozi Kulalamika na Kutoa ahadi Hewa.

$
0
0
Mgombea urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda serikali itakayokuwa na viongozi wenye uwezo wa kuchukua hatua na kutatua matatizo ya wananchi na atahakikisha utaratibu wa wananchi kulalamika na viongozi pia kulalamika kama ilivyo sasa unabaki kuwa historia.    Mh Lowassa ambaye amefanya mikutano minne katika majimbo ya Mtera, Bahi Chilonwa

Wahusika wa Website Feki za Vicoba Tanzania,Akiba Saccos,Zitto Kabwe Foundation, Ridhiwan Foundation Wafikishwa Mahakamani Wakikabiliwa na Makosa 10

$
0
0
Maxmillian Rafael Msacky (wapili kushoto) na Patrick James Natala (wa tatu kulia)  wakiwa mahakama ya kisutu jana Ijumaa. Watu wawili, Patrick Natala na Maxmillian Msacky wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10 yakiwamo ya kughushi, kutengeneza tovuti feki na mifumo ya mtandao kwa kutumia majina ya Taasisi, viongozi na wanasiasa.

Picha Za Wasanii Maarufu Wa Bongo Movie Wakiwa Katika Msafara Wa Kampeni Za Magufuli

$
0
0
Baadhi ya nyota wa Bongo Movie wakiwa katika basi lao kwenye msafara wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli.    Wasanii hawa na wengine wengi wa kiume na fani ya muziki wanamunga mkono mgombea wa CCM 

Picha 5 za Nyomi ya Watu Katika Mkutano wa Magufuli Nyamongo na Tarime Mkoani Mara

Picha 6 za MAFURIKO Ya Lowassa Jana Dodoma Mjini

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Lusinde Amshambulia Lowassa.....Asema Kichwani Hayuko Sawasawa Maana Kichwa Kimejaa UJI Badala ya Ubongo

$
0
0
Mgombea Ubunge Jimbo la Mtera, kupitia Chama cha Mapinduzi,Livingstone Lusinde,amesema mawaziri wakuu wastaafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa hawapo sawa sawa  kichwani  kwa  kuwa  vichwa  vyao  vimejaa  UJI  Badala  ya  Ubongo. Lusinde amesema anamshangaa Sumaye kwani amepata maisha mazuri akiwa CCM,amesomesha watoto wake akiwa CCM,na kwamba Sumaye hana sifa za kuitukana CCM.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images