Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema hakuna sheria inayozuia wagombea urais, ubunge na udiwani kufanya kampeni zaidi ya saa 12 jioni isipokuwa ni kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza jana, IGP Mangu alisema hakuna mahali palipoandikwa, lakini kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na NEC na wadau wake, kinachofuata ni utekelezaji.
IGP Mangu alisema hayo baada
Mkuu wa Jeshi la Polisi Asema Kuzidisha Muda wa Kampeni si Kosa la Jinai
↧
↧
Masha adai mashtaka dhidi yake ni batili
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45)
amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia
lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka
aliyofunguliwa ni batili.
Kupitia kwa wakili wake, Peter Kitabala, Masha aliwasilisha pingamizi
hilo akiwa na hoja tatu za kisheria katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es
↧
Magufuli mtegoni....Wananchi Wampokea Kwa Mabango Wakimtaka Amnyang'anye Shamba Sumaye
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli jana alikumbana na mtihani wa kwanza wa wananchi baada ya kupokewa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Miongoni mwa mabango hayo ni lile lililokuwa limeandikwa. Waziri Mkuu mstaafu Federick Sumaye arudishe shamba analomiliki kwani limegeuka pori,”.
Hali hiyo, ilitokea wakati msafara wa Dk. Magufili ukielekea wilayani Mvomero.
↧
Video: Kubenea Amuumbua Dr. Slaa Mkutanoni,Kyela Mbeya
Hapa kuna video ya Kubenea akimchanachana Dr Slaa katika mkutano wa hadhara Kyela, Mbeya
Amesimulia sakata zima la Richmond kwa kudai kuwa wakati likiwakilishwa bungeni kulikuwa na ripoti mbili. Moja ya kumchafua Lowassa na ya pili ikidai Kikwete ndo mhusika wa Richmond
Amesema aliyekuwa akipinga ujio wa Lowassa Chadema ni Baregu na siyo Dr
↧
Dk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi.....Hapa Nimekuwekea Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.
Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa amekwishandoka nchini kuelekea Marekani pamoja na familia yake tangu jana jioni.
Huku akiwa Marekani kupumzika na kujiendelea katika kozi fupi katika tasnia ya Sheria na Lugha, Dk. Slaa amesema
↧
↧
Lishe Maalumu Kwa Wanaume Wenye Tatizo la Ukosefu na Upungufu wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Kufahamu kwa kina kuhusu sayansi ya nguvu za kiume, tafadhali temb elea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
Hata hivyo, kwa kutumia dawa asilia ya JIKO pamoja na LISHE MAALUMU KWA WANAUME WANAO SUMBULIWA NA
↧
VIDEO: Gwajima Amlipua Dr Slaa, Atoa ONYO Kwa Usalama wa Taifa......Walinzi, Wachungaji Wasimulia Jinsi Dr. Slaa Alivyorubuniwa na Mkewe
Askofu
Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr
Wilbroad Slaa
Hapa kuna video 7 za mazungumzo yote ya Gwajima
Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa.
Video ya Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba
↧
CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maneno ya Kibaguzi Yaliyotolewa na LOWASSA Kanisani
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha tarehe 6/09/2015 siku ya
Jumapili mjini Tabora mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Chadema Ndg. Edward Lowassa aliamua kutumia udini kuomba kura.
Ndg. Lowassa akihudhuria ibada katika kanisa la Kilutheri (KKKT) mjini
Tabora amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya
kijamii akidai kuwa, kwa kuwa toka
↧
Pendeza na Markson Products......Wanadawa za Asili za Kuongeza Uuume, Kurefusha Nywele,Kusimamisha Maziwa Yaliyolala n.k
Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.
TUNAZO ZA:-
1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=
2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/=
3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/=
4.Kupunguza unene na manyama uzembe
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Septemba 9
↧
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.
Imesisitiza kuwa kitendo hicho, kinawagawa Watanzania na kuwapa mwelekeo wa kuchagua viongozi kwa misingi ya udini na ni ukiukwaji wa Kifungu cha 2.2 (i) cha Maadili ya Uchaguzi wa Rais,
↧
Rais Kikwete Atunukiwa Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki
TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta amani katika Bara la Afrika na kutunza amani hiyo nchini mwake.
Kwa hali hiyo, Rais Kikwete ametunukiwa tuzo mbili na Taasisi ya East Africa Book of Records ya nchini Uganda, moja ikiwa ni kwa
↧
Mgombea Mwenza wa Urais CCM Aahidi Umeme Kila Kijiji Ruvuma
MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa wa Ruvuma yaani Jimbo la Nyasa na Mbiga Vijijini, akizungumza katika mikutano yake amesema
↧
↧
Kanisa Katoliki Sasa Kuvunja Ndoa
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.
Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa huyo kutaka kulifanya Kanisa Katoliki liwe rafiki zaidi na kuendana matakwa ya walio wengi.
Akizungumza kuhusu mabadiliko hayo, Papa alisema si haki kwa wenzi kuishi muda mrefu ‘
↧
Ratiba ya Lowassa Mtihani kwa Dk. Magufuli.
Ratiba za kampeni za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeibua mgongano.
Hali hiyo imelalamikiwa na CCM ambayo imeitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi
↧
BASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi kumtwanga nyundo nyingine
Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye.
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.
Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa
↧
Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA)
Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo kubwa za kimataifaa.
Ametangazwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA) katika kipengele cha Best African Act.
Wasanii wengine wa Afrika ambao atachuana nao kwenye kipengele hicho ni AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria).
Hata hivyo bado anatafutwa msanii
↧
↧
Mrema: Chadema mbona mnanishambulia, tatizo ni uzee wangu?.
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.
Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.
“
↧
Nauli ya Mabasi ya Mwendo Kasi Dar Ni Sh. 900.
Ukali zaidi wa maisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam unakuja kutokana na viwango vipya vya nauli za magari yaendayo haraka kuwa kati ya Sh. 500 hadi 900 kwa safari moja kwa mtu mzima.
Aidha, nauli ya mwanafunzi itakuwa kati ya Sh. 250 na 450 kwa safari moja, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetangaza jana.
Tangazo la Sumatra kwa vyombo vya habari
↧
Mkapa Aendelea Kuuponda Upinzani......Asema Mabadiliko Yataletwa na CCM Pekee na sio Mbumbumbu Wengine
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.
Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.
Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya
↧
More Pages to Explore .....