Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lembeli Aanika MAOVU Yaliyofichwa Wakati wa Operesheni Tokomeza

$
0
0
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Kahama, James Lembeli kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameishambulia serikali ya CCM na kueleza kwamba serikali hiyo haiwezi kuwapatia wananchi maendeleo kutokana na kuwa na mfumo mbovu wa kiutawala. Mbali na hilo Lembeli alisema serikali ya CCM ndiyo serikali pekee yenye mfumo kandamizi, viongozi wake ni walaghai wakubwa na imekuwa

Magufuli: Nikiwa Rais Nitachukua Mashamba Yasiyotumika

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kunyang’any’a mashamba ambayo yamehodhiwa na watu bila kutumiwa kwa ufugaji wala kilimo, na kuyagawa kwa wakulima na wafugaji wasio na maeneo ya kilimo.    Alisema hayo alipozungumza na wananchi wa wilaya za Ulanga na Kilombero mkoani Morogoro jana. Dk Magufuli alisema akiwa rais, kuna mambo mengi anaweza kufanya,

Nyomi ya Watu Katika Mkutano wa MAGUFULI Huko Ifakara, Kilombero

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Septemba 6

Kubenea Kumvaa Dr. Slaa......Asema Ataanika Maovu yake Yote Watanzania Wajue

$
0
0
Katika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la Richmond lililotokea mwaka 2007) amesema: NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibrod Slaa, aliyeacha Ukatibu mkuu wa Chadema na katibu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akizungumza katika

Picha: Mafuriko ya LOWASSA Yahamia Tabora

$
0
0
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015.  Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea

Dr. Slaa Aishambulia CHADEMA Kwa Mara ya Pili.......Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi

$
0
0
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Wilbrod Slaa amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kujibu watu waliojitokeza kuponda hotuba yake, aliyoitoa hivi karibuni kuwa hawana hoja zaidi ya kumtukana. Akizungumza kupitia kituo kimoja cha Televisheni jijini Dar es Salaam, Dk Slaa alisema madai yote, yaliyotolewa juu yake na baadhi ya watu wakiwemo

Magufuli Afunika Morogoro........Kikwete Asema Baada ya Uchaguzi UKAWA Itageuka kuwa UKIWA

$
0
0
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao. Amesema hayo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika moja ya mikutano mikubwa ya kampeni za uchaguzi,

Ukosefu wa Umeme Kukumba Mikoa Yote ya Gridi ya Taifa Kuanzia LEO

$
0
0
BAADA ya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza gesi hiyo katika mitambo yote ya umeme nchini, hivyo kuanzia leo kutakuwa na ukosefu wa umeme katika mikoa yote inayotumia Gridi ya Taifa. Hatua hiyo inatokana na kuzimwa mitambo yote ya umeme katika kituo

Picha: Magufuli, Rais Kikwete Wauteka Mji wa Morogoro.

$
0
0
Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala  Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala  Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro

Lowassa AFUNIKA Nzega......Maelfu ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wake

$
0
0
Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, jana  Septemba 6, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh.

Makamba Asema Lowassa ni Fisadi.......Aipongeza CCM Kulikata jina Lake

$
0
0
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa Rais. Makamba amesema hayo jana katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, alipopewa nafasi ya kusalimia wananchi wa Morogoro, ambapo aliamua kutoa baadhi ya siri ambazo hazijawekwa hadharani.

Watu wawili wafa kwenye mkanyagano mkutano wa Magufuli Morogoro

$
0
0
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli. Tayari leo, Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewatembelea majeruhi hao waliolazwa Hospitali ya Mkoa Morogoro. Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk Ritha

Gwajima kujibu mapigo ya Dk Slaa kesho Dar

$
0
0
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kesho anatarajia kujibu mapigo kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye hivi karibuni alimweleza kuwa ni mshenga wa Edward Lowassa kwa viongozi wa Chadema. Akizungumza jana katika kanisa hilo lililopo Ubungo huku akishangiliwa na waumini wake waliokuwa wakiimba; “mshenga,

MBOWE: Ulofa na Upumbavu Wetu ni kwa sababu ya CCM

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ili umasikini unaowakabili Watanzania uweze kuondoka lazima washirikiane kuiondoa madarakani CCM. Amesema ulofa na upumbavu wanaodaiwa kuwa nao Watanzania umesababishwa na Serikali ya CCM kwa kuwa haiwajali Watanzania. Mbowe  alitoa kauli  hiyo jana alipohutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Laini Polisi mjini Nzega, Mkoa wa Tabora  ambapo

SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye,   amesema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.Sumaye alitoa kauli  hiyo jana alipohutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Laini Polisi mjini Nzega, Mkoa wa Tabora.   Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa sababu ni mali ya

Chama cha TPP chapigwa MARUFUKU Kufanya Kampeni

$
0
0
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania kimetoa onyo kali kwa Chama cha Tanzania Peoples Part (TPP) kutoshiriki katika shughuli zozote za kisiasa zinazoendelea nchini. .  Kauli hiyo imekuja baada ya Chama hicho kuonekana kuendelea na shughuli za kisiasa wakati kilishafutiwa usajili wake Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa

Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 8

Watoto wa familia moja wafia majini wakivua samaki

$
0
0
Watoto  wawili wa familia moja wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuvulia samaki, kugonga mwamba na kuzama katika Ziwa Victoria.   Akithibitisha tukio hilo la juzi, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi alisema siku ya tukio, majira ya saa moja jioni watoto hao waliiba mtumbwi na kuingia nao Ziwa Victoria eneo la kisiwa cha Bumbile kwa lengo la kuvua

Lowassa: Sina muda wa kujibu matusi ya CCM

$
0
0
MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yake. Badala yake amesema anatumia muda uliobaki wa kampeni kutafuta kura kwa wananchi kwa kunadi ilani ya chama chake. Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara, Bunju na baadaye Mbezi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images