Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"NIPO TAYARI KUJIUZULU ENDAPO ITABAINIKA NAUZA MADAWA YA KULEVYA'.....MBUNGE WA CCM (AZZAN) AFUNGUKA

$
0
0
MBUNGE wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge, ikiwa itabainika anajihusisha biashara ya dawa za kulevya. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya kutajwa katika moja ya barua iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii, baada ya mtu anayedaiwa kukamatwa China na kuwatuhumu watu kadhaa akiwamo Idd Azzan. Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu sakata hilo, alisema

KAHABA APEWA KICHAPO NA MALAYA WENZAKE KWA KOSA LA KUJIUZA KWA BEI YA HASARA NA MKOPO

$
0
0
  KAHABA  mmoja katika mji wa Naivasha, jimbo  la  Rift Valley  nchini Kenya amenusurika kufa baada ya kupewa kichapo kikali  na makahaba wenzake  wakimtuhumu   kujiuza  kwa  bei  ndogo  na  kuwaharibia  soko. Wenzake hao wenye hasira walimtwanga  kahaba  huyo  kwa ngumi   wakimshutumu kwa kutokuwa na ushirikiano na  kuwaharibia  soko hasa ikizingatiwa   kuwa  hivi  sasa  ni kipindi cha

MBUNGE WA CCM ANAYEDAIWA KUFADHILI MADAWA YA KULEVYA AJISALIMISHA POLISI

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Iddi Azzan, aliyetajwa kwenye barua inayosadikiwa kuandikwa na wafungwa Wakitanzania waliopo Hong Kong “amejilisalimisha” kwenye ofisi za jeshi la polisi na kulitaka jeshi hilo lifanye uchunguzi dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake, ili hatua nyingine na ikibidi sheria, vichukue mkondo wake.Azzan amesema alienda

"WAPIGWE TU" YA MIZENGO PINDA ITAMFIKISHA KORTINI

$
0
0
KAULI ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ya kubariki vyombo vya dola kuendeleza kipigo kwa raia wanaokaidi amri imechukua sura mpya baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) kutangaza kumburuza mahakamani wiki hii kutokana na kushindwa kufuta kauli yake. Juni 20, mwaka huu, wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo bungeni, Waziri Mkuu, Pinda, alivitaka vyombo vya dola kuendelea

CHADEMA HAINA UBAVU WA KUMKATAA TENDWA

$
0
0
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakina ubavu wa kumkataa au kutomtambua John Tendwa kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasai, Rajab Baraka alipozungumza na MTANZANIA kuhusu kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa aliyedai chama hicho

KANISA KATOLIKI PAROKIA YA URU LAKUMBWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA ( UCHAWI )

$
0
0
HOFU kubwa imetawala Kanisa Katoliki Parokia ya Uru iliyopo Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, kutokana na matukio kadhaa yanayoendelea kutokea katika kanisa hilo huku baadhi ya watu wakiyahusisha na imani za kishirikina.    Katekista wa parokia hiyo, Lucian Tesha, aliwaambia waamini waliokusanyika katika ibada ya misa ya kwanza kanisani hapo juzi Jumapili kuwa usalama katika

VIDEO: MAMA AJICHOMA MOTO PAMOJA NA WATOTO WAKE KISA KIKIWA NI MAPENZI

$
0
0
  Mama wa Kasarani ajiteketeza na wanawe juu ya mapenzi <!-- adsense -->

KESI YA LADY JAYDEE YAPIGWA KALENDA

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2, mwaka huu.Kesi hiyo ya madai iliyopo mbele ya Hakimu Athumani Nyamlani, leo ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa lakini ilishindikana kutokana na wakili anayemtetea, Jaydee kutotokea

PICHA ZA UCHI ZANASWA KATIKA UKUMBI WA KANISA JIJINI DAR

$
0
0
Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo lililopo Kiwanja Namba 7509 katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa picha za utupu za wanawake ukutani.. Papa huyo alifikia uamuzi huo Februari 19, mwaka huu baada ya kutua nchini ambapo alifanya mazungumzo na Rais Jakaya

BODI YA MIKOPO YAKANUSHA UVUMI KUWA WALIOOMBA MKOPO WA ELIMU WANAPASWA KUJIANDIKISHA UPYA

$
0
0
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari wameshahakiki taarifa zao wanapaswa kurejea kujaza upya ama kuhakiki iwapo taarifa zao zipo mtandaoni.Bodi inatumia fursa hii kuwajulisha Wanafunzi husika, Vyuo vya Elimu ya Juu na Umma kwa

"SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NA KU******M YOYOTE....CLOUDS ACHENI KUNIFUATILIA". HILI NI TUSI LA MWISHO MWAMPAMBA

$
0
0
Mwisho Mwampamba amegeuka  mbogo  na  kufurumua  matusi  ya  nguoni  kwa  Clous Fm  baada  ya  kituo  hicho  kuanza  kumjadili  na  kumchambua... Mwampamba, ambaye  ni  staa  namba  mbili  wa  shindano  la  big  brother  mwaka  2003  anadai  kutoridhishwa  na  kitendo  cha  Cloud  fm kuanza  kumjadili... Staa  huyo  amedai  kwamba  yeye  anamaisha  yake  na  hivyo  haoni  haya  ya  kuanza 

"CHADEMA WANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU"...MWIGULU NCHEMBA

$
0
0
Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe. 1) Leo (Alhamisi) wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza,

WASHIRIKI WENGINE WA BIG BROTHER WANASWA WAKINGONOKA KAMA MBWA

$
0
0
<!-- adsense -->   Video  nyingine  ya  washiriki  wa  big  brother  imenaswa  live  wakingonoka  kama  mbwa.... Katika  video  hiyo, Angelo na Beverly wanaoneka   wakitenda aibu  hiyo  wakiwa  bafuni  wakati  wa  kuoga.... Video  iko  hapo  chini..... Ukitaka  kui download, ingia  jukwaa  la  wakubwa hapo chini <<DOWNLOAD>> Ukitaka  kuiangalia  tu, video  iko  hapo  chini...

MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA, NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI

$
0
0
<!-- adsense --> Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.  Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani. Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili

KAHAMA YAANZA MIKAKATI YA KUWAOKOA MAKAHABA KWA KUWAWEZESHA KIUCHUMI

$
0
0
Zaidi ya wanawake tisini wanaofanya biashara ya ngono wilayani Kahama mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na mradi mpya wa kuwakomboa kutoka kwenye biashara hiyo, unaoratibiwa na HUHESO Foundation kwa ufadhili wa Rapid Funding Envelop (RFE).Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi wa shirika hilo Juma Mwesigwa wakati wa utambulisho wa mradi huo kwa wadau na waandishi wa habari katika kikao

WAPENZI WAJIRUSHA MBELE YA TRENI NA KUFARIKI DUNIA BAADA YA MAMA WA BINTI KUGOMA WASIOANE

$
0
0
Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha yao na kuacha note yenye maneno“Two great people are going to paradise”. Kisa chote hiki kinatokana na mama wa binti Ariana O’Neal kukataa mapenzi ya hawa wawili. David na Ariana walikuwa wanaishi jijini New York, katika mapenzi yao waliwai pia kukamatwa na polisi kwa kuhusuka na wizi wa vito kutoka

"TUMECHOKA KUONGOZWA NA MAKAFIRI, LIPIZENI KISASI NA MTAPATA UHAI MZURI"....HUU NI UCHOCHEZI WA SHEIKH PONDA

$
0
0
  SERIKALI imenasa kanda za video zinazomuonyesha Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akitoa mahubiri yanayowahamasisha waumini wa dini ya Kiislamu kuanzisha uasi dhidi ya serikali.Tukio la kunaswa kwa kanda hizo limekuja ikiwa ni siku chache baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kutangaza kumsaka Sheikh Ponda kwa tuhuma za uchochezi, akingali anatumikia

MAKAHABA WAENDELEA KUKICHAFUA CHUO KIKUU CHA DODOMA

$
0
0
<!-- adsense --> Ongezeko  la  makahaba  mjini  Dodoma  limeendelea  kuwa  kero  kwa  chuo  kikuu  cha Dodoma  na  wanafunzi  wake  kwa  ujumla.... Kero  hiyo  imekuwa  ikisababishwa  na  baadhi  ya  makahaba  hao  kujifanya  wanafunzi  wa  chuo  hicho  kwa  lengo la kujiimarisha  kibiashara...  Takribani miezi mitatu  iliyopita, kahaba mmoja alinasawa  na polisi   mjini Dodoma akijiuza

WANYARWANDA WAANZA KUREJEA MAKWAO BAADA YA RAIS KIKWETE KUWAPA SIKU 14 ZA KUONDOKA

$
0
0
Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14. Aidha, imeelezwa kuwa kumekuwapo ongezeko la askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani Kagera hasa wilayani Ngara hali inayozua hofu kwa baadhi ya

MAAJABU YA CHADEMA: DR. SLAA AWAUNGA MKONO WAASI WA KONGO NA KUMKINGIA KIFUA KAGAME

$
0
0
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amemkosoa Rais Jakaya Kikwete, kuhusu kauli  yake ya  kumshauri Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuzungumza na waasi wa serikali yake ... Dk. Slaa amesema haoni busara kwa Rais Kikwete kuwaambia viongozi wa Rwanda, akiwamo Rais Kagame, kuzungumza na wafuasi wa chama cha FDRL walioko Congo. Slaa  aliyasema hayo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images