Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Nina Uhakika Hujaziona Picha Hizi Za Lowassa Akiwa Makao Makuu ya CUF Leo Kuweka Mambo Sawa Baada ya Lipumba Kung'atuka.....Karibu Ujionee!!

0
0
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahimu Lipumba amepotea kwenye uwanja wa siasa. Hali hiyo imejitokeza leo asubuhi wakati mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa alipotembelea Ofisi Kuu ya CUFBunguruni, Dar es Salaam kwa mara ya kwanza.   Katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, Lowassa anawakilisha vyama

Walichokiamua CUF Baada ya Profesa Lipumba Kujiuzulu

0
0
SIKU Chache kupita baada ya Profesa Ibrahimu Lipumba kutangaza kujiuzulu nafasi ya uwenyekiti ndani ya  Chama cha wananchi CUF, hatimaye Chama hicho kimeunda kamati ya mda itakayodumu kwa miezi sita ili kusimamia  nafasi za uongozi .   Hatua hiyo imetangazwa muda  mfupi  ulipita  Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

0
0
OFFER/ PUNGUZO LA BEI KWA MWEZI HUU...PENDEZA NA KESSY PRODUCTS (BEFORE & AFTER) KWANZA NIDAWA ZA ASILI ZISIZO NA MADHARA WALA KEMIKALI, NA MATOKEO BAADA YA WEEK 2 HADI 4. 1.Kutoa Mvi sugu 70000/2.Refusha nywele nakuzuiy kukatika 50000/3.Tengeneza Shepu (hips NA Kalio)kwa@kupaka 50000/@daw yamaj 80000/@vidonge 1,00,000/ 4.Punguza kitambi kwa@kupaka 55000/@mkanda was Daw 80000/@daw ya kunywaa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 10 August

0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  Tarehe  10  August 

Jinsi ya Kuandaa na Kutayarisha Dawa Lishe ya Kunenepesha,Kurutubisha na Kuongeza Mwili

0
0
Dawa-lishe  ya  kuongeza, kurutubisha  na  kunenepesha  mwili, ni  dawa  maalumu  kwa  watu  wenye  uzito  wa  chini  (  Under weight ) ambao  wanataka  kuongeza  mwili  na  uzito. Dawa  hii  huwasaidia  watu  ambao  miili  yao  imedhoofu  kutokana  na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali. Na  kwa  wale  watu  wembamba  ambao  wanataka  kuongeza

Profesa Lipumba Amfananisha Lowassa na 'Kibaraka' wa CCM......Asema Uchaguzi wa Mwaka huu ni wa CCM 'A' ( Magufuli) Dhidi ya CCM 'B' ( Lowassa)

0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kina wagombea wawili wanaowania kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu. Madai hayo mapya ya Profesa Lipumba yametolewa siku tatu baada ya kujiuzulu uenyekiti CUF, akisema hiyo ni moja ya sababu za kuachia nafasi yake kutokana na uamuzi uliofikiwa na Umoja wa

Mnyika Asema Kampeni za UKAWA Zitazinduliwa na Dr. Slaa

0
0
Baada kimya cha muda mrefu hatimaye Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, anatarajiwa kufungua pazia la kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Imeelezwa kuwa, Dk. Slaa ambaye kwa sasa amepewa likizo na chama chake baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho, atafungua kampeni za Ukawa mkoani Dar es Salaam mwezi

Rais Kikwete Awaaga Wananchi Wa Mtwara....Asema Mtwara ndio Muhimili Mpya wa Uchumi Tanzania Kwa Sasa

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wanasiasa mkoani Mtwara kuacha tabia za kuwapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo yasiyo na ukweli, na badala yake wawaeleze juu ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Akizungumza katika hotuba fupi aliyoitoa wakati wa kuweka jiwe la msingi katika jengo la Benki Kuu ya Tanzania (B.O.T) tawi la Mtwara,

Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa

0
0
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar  es  Salaam Suleiman Kova amekanusha  kupiga marufuku  maandamano  ya  kumsindikiza  Lowassa  Kuchukua  fomu ya  kugombea  urais  ofisi  za  tume  ya  taifa  ya  uchaguzi. Kova amesema kuwa maandamano wanayo yatambua ni yale yanayo anzia ofisi  za  CHADEMA kwenda NEC,lakini ya kutoka Nec kwenda makao makuu ya CUF Buguruni hawayatambui. Katika  Hatua

Hapa Kuna Picha 10 za 'Mafuriko' ya Lowassa Yakijiandaa Kuelekea Ofisi za Tume ya Taifa Kuchukua Fomu ya Urais

0
0
Picha  8  za  'Mafuriko'  ya  Lowassa  Yakijiandaa  Kuelekea  Ofisi  za  Tume  ya  Taifa  Kuchukua  Fomu  ya  Urais Mbunge  wa  Mbeya  mjini  mh. Joseph  Mbilinyi  akiwasili  makao  makuu  ya  CUF Mwenyekiti  wa  NCCR- Mageuzi, mh. James  Mbatia  akiwasalia  wafuasi  wa  UKAWA Mwanasheria  mkuu  wa  CHADEMA, Mh Tundu  Lissu  akiwasili

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akana Kuhamia UKAWA

0
0
OFISI ya Makamu wa Rais inasikitika kuwepo kwa taarifa ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ataongea na vyombo vya habari kuhusu msimamo wake ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi.   Tunaomba kuueleza umma wa Watanzania kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais hajapanga tukio lo lote

Jiji la Dar Lasimama: Hapa Kuna Picha 8 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC na Maelfu ya Wananchi Kuchukua Fomu ya Urais

0
0
Picha  8  za  LOWASSA  Akisindikizwa  Ofisi  za  NEC  na  Maelfu  ya  Wananchi  Kuchukua  Fomu  ya  Urais

Rais Kikwete Atua mjini Dodoma Leo Kuendesha Vikao vya Chama cha Mapinduzi

0
0
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.    Alhaj Kimbisa amekanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa

Sheria ya Makosa ya Mitandao Kuanza Kutumika Rasmi Tarehe 1 Mwezi Ujao

0
0
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani. Mamlaka hiyo imebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuwa na watumiaji vibaya wengi wa mitandao ya kijamii, jambo

Wema Sepetu na Lowassa ni 'Paka na Chui'......Atoa ONYO Kali Kwa Team Wema

0
0
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii jana kupitia mtandao wa Instagram alipost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.   Post yake aliipa maneno haya; “Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost

Kura za maoni CCM: Mmoja Ahukumiwa jela miaka 3

0
0
MKAZI wa Kijiji cha Ishunju, wilayani Missenyi, Sikitu Filemoni (27), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumsababishia mwenzake ulemavu wa kudumu. Hukumu hiyo ilitolewa Ijumaa iliyopita na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Gera, Allen Ifunya, ili iwe fundisho kwa mshitakiwa na watu wengine wanaoshindwa kutawala hasira zao. Ilielezwa mshitakiwa alimrukia

Familia ya Kawawa 'Yatupwa' nje CCM

0
0
SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka katika kura za maoni jimboni Namtumbo, Ruvuma. Vita (51) aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2005, amezidiwa nguvu na washindani wake, Edwin Ngonyani aliyeongoza kwa kupata 12,606 na

Picha 12 ZILIZOTISHA Zaidi Jana Kwenye Msafara wa Lowassa Wakati Akichukua Fomu.

0
0
Picha  12  ZILIZOTISHA  Zaidi  Jana Kwenye  Msafara  wa  Lowassa   Wakati  Akichukua  Fomu.

LOWASSA Awa Kivutio Kwa Vijana......Wajitokeza Barabarani na 'MAJENEZA' Wakimtaka Magufuli Naye Ahamie UKAWA

0
0
MAKUNDI ya vijana jana yalionekana kumiminika mithili ya kumbikumbi warukapo wakati wa masika wakimsindikiza mgombea urais Edward Lowassa anayewakilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Lowassa ambaye alifika makao makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu za kugombea, alifanya hivyo chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ulioanzishwa wakati wa

Magufuli Aahidi Ushindi wa Tsunami CCM......Asema Wapinzani Wataishia Kupiga Kelele Tu, Mwigulu Nchemba Naye Apigilia Msumari wa 'Moto'

0
0
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga. Dk Magufuli alisema hayo nje ya ofisi ya chama hicho mkoani Mtwara juzi alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho ambapo alisisitiza kuwa wapinzani watapiga kelele sana, wataongea sana lakini ushindi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images