Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Profesa Lipumba kuvuliwa Uanachama wa CUF kesho

$
0
0
Wakati  Lipumba  akiwaambia waandishi  wa  habari  jana  kwamba  kadi  yake  ya  uanachama bado  iko  hai  hadi  mwaka  2020,  akimaanisha  kuwa  ataendelea  kuwa  mwanachama  wa  CUF  nje  ya  uongozi,  taarifa  zilizotufikia  zinasema  kuwa  chama  hicho  kinajiandaa  kumfukuza.  Katika  sehemu  ya  taarifa  iliyotolewa  jana  na Kaimu Mkurugenzi  wa  habari, Uenezi  na  Umma  wa  CUF,

Dr. Slaa Akubali Kurejea Ofisini

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anatarajiwa kuwasili ofisini kwake leo, baada ya kutoweka tangu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, alipojiunga na chama hicho hivi karibuni.Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya Baraza Kuu la chama hicho kuridhia apumzike kwa muda, baada ya kutofautiana na Kamati Kuu kwa kile kilichoelezwa kumkaribisha

Profesa Lipumba Aondoka Nchini Akiwa Chini ya Ulinzi

$
0
0
Saa chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini. Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani. Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama

Uhusiano Uliopo Kati ya PUNYETO na Ukosefu au Upungufu wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.    Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.   Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo 

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya August 8

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  August  8

Maalim Seif Amlipua Profesa Lipumba........Asema Wanachama Waliojiunga CUF Kwa Sababu ya Lipumba Wanaweza KUONDOKA Pia

$
0
0
Wafuasi  wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na pia mwenyekiti mwenza wa muungano wa wapinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba, wameanza kushughulikiwa na kutakiwa kuchagua moja; kuendelea kuwa ndani ya chama hicho au kutoka. Ingawa Profesa Lipumba alipojiuzulu uenyekiti, alisema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF, lakini Katibu Mkuu wa

Zitto Kabwe Asema Magufuli ni FISADI.......Awaponda UKAWA Kumteua Lowassa Kuwa Mgombea Urais Kwa Kuwa naye ni FISADI

$
0
0
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli  si msafi katika utendaji kazi wake kama inavyoelezwa kwa Watanzania. Moja ya kigezo kinachotumiwa na Zitto ni madai ya ‘kukwapuliwa’ kwa Sh. bilioni 87 za Wizara ya Ujenzi anayoongoza.    Alisema fedha hizo ni sehemu ya Sh. bilioni 252 za miradi ya umeme, barabara na miradi

Sophia Simba Akana Kuhamia CHADEMA......Asema Atafia CCM

$
0
0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Sophia Simba, amesema hana mpango wa kukihama chama hicho. Kauli ya Simba imekuja baada ya kuwepo kwa tetesi zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kukihama chama na kumfuata Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Simba alisema hana mpango wa kukihama CCM

NEC yatangaza ratiba mpya uhakiki kadi ya mpiga kura

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba nyingine inayowataka wananchi kujitokeza walipojiandikisha  ili kuhakiki taarifa zao.   Kwa habari zaidi soma hapa.

Wema Sepetu Awavua nguo Nuh Na Shilole

$
0
0
Lile sakata la mrembo Wema Sepetu kutakwa kimapenzi na mpenzi wa msanii mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Nuh Mziwanda limeendelea kushika kasi ambapo Wema ameibuka na kuwavua nguo kwa kuwatolea maneno ya shombo. Wema alitoa maneno hayo hivi karibuni baada ya Shilole na Nuh kumgeuka na kusema kwamba aliwachezea mchezo mchafu ili kuwagombanisha kwa sababu anawaona wanapendana

Mamia ya Wanachama Wamiminika Ofisi za Chadema ‘KUMLAKI’ Dk Slaa

$
0
0
Mamia  ya wanachama na mashabiki wa Chadema jana walifika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam kumsubiri Katibu Mkuu, Dk Willbrod Slaa baada ya kuenea  habari kuwa angeingia ofisini. Hata  hivyo,wanachama hao waliokuwa na shauku ya kumwona kiongozi huyo, hawakufanikiwa baada ya kuambiwa kuwa Dk Slaa asingefika katika ofisi hizo kinyume na taarifa zilizokuwa

Lowassa Kuchukua Fomu za Urais Katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jumatatu Saa tatu Kamili Asubuhi.

$
0
0
Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuhusu utaratibu wa Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuchukua Fomu za  Urais  katika  ofisi  za  Tume  ya  Taifa ya  Uchaguzi. Akitoa  taarifa  hizo  mbele  ya  waandishi  wa  habari  leo  mchana, Naibu Katibu  Mkuu  wa  Chadema, ndg  Salum  Mwalimu  ambaye  kwa  sasa  anakaimu  nafasi  ya  Katibu  Mkuu  wa  Chadema  amesema 

Vyama 22 Kushiriki Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu

$
0
0
VYAMA vya siasa vinavyotakiwa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu baadaye Oktoba 25 mwaka huu ni 22. Taarifa iliyotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa jana Dar es Salaam na kusainiwa na Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza, imetaja idadi hiyo ya vyama vyama hivyo, ambavyo ni vyenye usajili wa kudumu kuwa ni ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na

Zaidi ya Wafugaji 300 wa CCM Wazichoma Kadi zao na Kuhamia CHADEMA

$
0
0
Zaidi ya wanachama mia 300 waliokuwa chama cha CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamezichoma kadi zao za CCM na kujiunga na CHADEMA huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa Mamia ya wanachama walikusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua

KIKWETE: Hakuna Mtanzania Aliyekufa kwa Njaa

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hakuna mtanzania aliyewahi kufa njaa kwani nchi haikuwahi kuwa na upungufu wa chakula na kusababisha hali ya kuleta athari za kifo kutokana na njaa kwa wananchi wake. Dkt. Kikwete aliyasema hayo jana mjini Lindi wakati akiwahutubia watanzania katika maadhimisho ya kitaifa ya sikukuu ya wakulima nanenane yaliyofanyika mkoani humo Dkt. Kikwete

Pinda Atoa Ya Moyoni Alivyokatwa Dodoma.......Asema Alitamani Sana Kuwa Rais wa Tanzania, Bahati Mbaya Tamaa hiyo Imeishia Kuwa Fikra Tu

$
0
0
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye alianguka katika hatua za awali za mbio za urais ndani ya CCM, amesema ameishia kuwa “rais wa fikra”. Pinda, ambaye amekuwa Waziri Mkuu kwa takriban miaka minane, hakuweza kuingia katika orodha ya makada watano ambao majina yao yalipelekwa Halmashauri Kuu kwa ajili ya kupata majina matatu ya kupelekwa Mkutano Mkuu kwa ajili ya kupata mgombea urais kwa

Nape Nnauye Awatuhumu UKAWA Kwa Kutengeneza Kadi Bandia za CCM

$
0
0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amedai kuwa chama hicho kimebaini mchezo mchafu unaotaka kufanywa na Ukawa wa kutengeneza kadi bandia za chama hicho na kuzigawa kwa watu wao, ili baadaye asipopita mgombea wao, ionekane wana CCM wanakihama chama kwa kurudisha kadi zao. Akizungumza katika Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana, Nape

Baada ya Kujivua Uenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba Kajificha Burundi

$
0
0
Aliyekuwa  Mwenyekiti  wa  Chama  cha  Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba  amesafiri  kutoka  jijini  Dar  es  Salaam  hadi  nchini  Burundi  kwa  shughuli  ambazo  hazijafahamika  wazi. Profesa  Lipumba  aliondoka  Dar  es  Salaam, Alhamisi  ya  Agosti 6 mwaka  huu  kwa  ndege  ya  shirika  la  ndege  la Rwanda (Rwanda Air), huku  ikiwa  haijulikani  alikoelekea  muda  mfupi  baada 

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha na Katibu Mwenezi Wahamia CHADEMA...........Diwani wa CCM Mwanza na Wanachama 100 Wahamia CUF

$
0
0
Hali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza si shwali baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Charles Lugo (Fashion), na wanachama zaidi ya 100 kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).   Tukio hilo linakuja ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la wanachama wa CCM kuhamia upinzani hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).   Diwani na wanachama hao kutoka matawi mbalimbali ya

Habari ya Mjini Kwa Sasa ni LOWASSA na MAGUFULI.....Uchaguzi wa Mwaka Huu ni Wa Kipekee Sana

$
0
0
Uchaguzi mkuu wa Rais mwaka 2015 utakuwa wa aina yake kufuatia  matukio  makubwa  matatu makubwa kukoleza safari ya kumtafuta rais ajaye kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Matukio hayo ni pamoja na (a) Vyama vya Upinzani kuungana (b) Waziri mkuu wa zamani CCM kuhamia Upinzani-Edward Lowassa (c) Vijana  wengi  kujiandikisha katika daftari la wapiga kura. Matukio hayo matatu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images