Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ajali Mbaya ya Basi la Simiyu Express Yaua Watu Wengi Dodoma Usiku wa Kuamkia Leo

0
0
Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema watu  zaidi  ya 10  wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo , huku zaidi ya abiria 40 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.   Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma.Majeruhi

Zoezi la Uandikishaji BVR Dar Laanza kwa Changamoto Kibao........Maelfu ya Wakazi wa Dar Wajitokeza Kuandikishwa

0
0
MAELFU ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana walijitokeza kwa wingi katika siku ya kwanza ya uandikishaji wapigakura katika mfumo wa kisasa wa kielektroniki (BVR), licha ya kuwapo kwa changamoto kadhaa.   Katika vituo vingi, licha ya wananchi kujitokeza kuanzia mapema alfajiri, changamoto kadhaa zilijitokeza, ikiwemo mashine kushindwa kufanya kazi kutokana na hitilafu, hivyo

Mbowe Asema UKAWA Wana Mgombea Makini.......Asema Atajulikana hivi punde

0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe amesema pamoja na changamoto wanazokumbana nazo katika Ukawa, lakini wanajitahidi kumpata mgombea mmoja.   Mbowe alisema hayo jana katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza, ambapo pia aliwatambulisha wabunge waliohamia Chadema kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbunge wa Kahama, James Lembeli na

Wema Sepetu Aingiwa na Hofu Baada ya Jina la Edward Lowassa Kukatwa....Ahofia na yeye Kukatwa...

0
0
Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini nyuma yake kuna habari zinazodai kuwa mrembo huyo ameingiwa na hofu ya kukatwa jina kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliyekuwa mmoja wa watia nia ya kugombea urais, Amani lina mkanda

Afande Sele amchana Sugu, adai hajafanya lolote bungeni kutetea muziki, Sugu ajibu

0
0
Rapper Afande Sele amesema wasanii hawajanufaika na ubunge wa Joseph Mbilinyi aka Sugu licha ya kumsaidia kumpigia kampeni katika uchaguzi uliopita. Akizungumza na Planet Bongo ya East Afrika Radio, Afande alisema Sugu ameshindwa kuwatumikia wasanii na kujinufaisha yeye mwenyewe.   “Sisi tuliamini akienda kule ndio mdomo wetu, kasahau kabisa wasanii wenzake,” alisema.   “

D’Banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya collabo, Platnumz atoa sababu za kumkwepa

0
0
Muimbaji mkubwa wa Nigeria, D’Banj amemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo. Kokomaster amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.    Star huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA 2015, ameongeza kuwa kabla mwaka huu haujaisha anaamini collabo hiyo itakuwa

This is What RAY C Did in Her House That Has left MEN Salivating (VIDEO)

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); After confessing that she has always had a crush on President Uhuru Kenyatta for long, Tanzanian singer, Ray C, has decided to tempt “team mafisi” with her s3ductive dancing skills. The aging singer decided to twerk vigorously in her house while dancing to a catchy African tune. Her crazy dancing skills have

Kambi ya Halima Mdee Yameguka

0
0
KAMBI ya aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), imeanza kusambaratika baada ya wafuasi wake kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.   Wafuasi wake hao wakiongozwa na diwani aliyemaliza muda wake katika Kata ya Kunduchi, Janeth Rithe, wamejiunga jana ACT-Wazalendo na kukabidhiwa kadi na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Msafiri Mtemelwa.   Wengine waliopewa kadi za ACT ni Mary

Batuli kufuata nyayo za Kanumba, ajipanga kuandaa filamu yenye bajeti kubwa

0
0
Msanii wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amesema mashabiki wake wa filamu wasione yupo kimya kwakuwa yupo kwenye mpango kuthubutu kama alivyothubutu marehemu Steven Kanumba kwa kuaanda filamu itakayogharimu zaidi ya shilingi milioni 40. Batuli ameuambia mtandao huu kuwa licha ya kuwa anafanya filamu zilizozoeleka, anajipanga kufanya kitu kikubwa ili kuipa heshima

Belle 9 haamini kama collabo zinaweza kumtoa kimataifa

0
0
Belle 9 amedai kuwa kwenye muziki wake haamini kama collabo ni njia sahihi ya kumfikisha kimataifa zaidi. Akizungumza na mtandao huu, Belle amesema wapo wasanii kadhaa walioweza kutoboa bila hata kufanya collabo na wasanii wa mataifa ya nje.   “Mimi nimefanya collabo na Joh Makini, I am proud kwa sababu ni msanii mkubwa ambaye anafanya vizuri ndani na nje. Joh is too expensive sio

Nikiridhishwa KITANDANI sharti nimsifie mume Wangu- Joyce Kiria

0
0
Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ametoa kali ya mwaka kwa kueleza kuwa, akishibishwa vilivyo na mume wake ‘chakula cha usiku’, haoni sababu ya kumsifia kupitia mitandao.   Joyce ambaye amekuwa na kusumba na kumpa sifa kemkemu mume wake kila atokapo kula ‘chakula’ hicho ameeleza kuwa, haoni tatizo kufanya hivyo kwa kuwa kila mtu anajua ukiolewa lazima upewe ‘chakula

Mapenzi Yamtokea PUANI Davina

0
0
Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahaya amedaiwa kutoswa na mwanaume aliyemuachanisha na mumewe ambaye alikuwa bosi wake kwenye kampuni moja iliyopo Kinondoni jijini Dar. Chanzo cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina lake kimedai kuwa, baada ya Davina kuzinguana na mumewe kisa kikiwa ni bosi huyo (Jina tunalihifadhi kwa sasa) alifunguliwa ofisi maeneo ya Kinondoni jijini Dar kisha

Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema

0
0
Uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chadema katika Jimbo la Bariadi umeahirishwa baada ya kubainika kwa matukio yanayoashiria vitendo vya rushwa. Wakizungumza baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo, wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya walisema hawataki kuingiliwa na virusi vya rushwa ndani ya chama hicho, kwa kuwa hali hiyo italeta mpasuko na makundi. Wajumbe hao wameutaka uongozi Chadema

Easta Bulaya ni Moto wa Kuoteka Mbali........Apata mapokezi ya kishindo Bunda, Amchamba na Kumlipua Wassira

0
0
ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.Esta Bulaya ambaye juzi alitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amepata mapokezi makubwa Mjini Bunda jana akitokea jijini Mwanza akiwa na viongozi wa CHADEMA mkoani humo na Kanda ya Ziwa.   Akiwahutubia wananchi katika Viwanja vya Stendi ya Zamani, Bi.Bulaya aliwapongeza

Magufuli Apata Mapokezi ya Kutisha Kibaigwa

0
0
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma leo asubuhi , wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Geita.

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

0
0
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi

Wema Sepetu AIPASUA CCM Singida......Mwenyekiti Atishia Kuhama Chama Iwapo Wema Sepetu Atapitishwa

0
0
Kinyang'anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida  kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama. Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono

Shinikizo la Lowassa Kuhamia CHADEMA Lazidi Kupamba Moto......Mkewe Ampigia Magoti Akimsihi Asihame!!

0
0
Shinikizo dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu yake ya ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya chama hicho. Habari za ndani ya vikao vya kujadili hatua za kuchukuliwa na Lowassa baada ya jina lake kukatwa kwenye mchakato wa kugombea urais kupitia CCM, zinasema kuwa wandani wake

Wema Sepetu Apigwa CHINI kwenye Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida

0
0
Msanii  wa  Filamu  za  kibongo  anayeongoza  kwa  urembo  ndani  ya  tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.  Mgawanyo wa kura ulikuwa  hivi; 1. Aysharose Mattembe (311) 2. Martha Mlata(235) 3. Diana Chilolo(182) 4. Wema Sepetu(90)   Baada  ya  matokeo  hayo, Lulu  Michael

Mwigulu Nchemba Aipasua CCM Singida.......Wagombea Wenzake Watishia Kususa

0
0
WATANGAZA nia watatu kati ya wanne wanaogombea Jimbo la Iramba mkoani hapa, wametangaza kugombea mchakato wa kura za maoni wakidai kuwa mgombea mwenzao Mwigulu Nchemba 'anabebwa' ashinde.   Wagombea hao; Juma Killimbah, David Jairo na Amon Gyunda walisema mjini hapa jana kuwa, baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa, wanamfanyia kampeni za wazi Nchemba, ili apitishwe kuwa mgombea
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images