Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Gwajima Asomewa Mashitaka ya Kumtukana Askofu Pengo.......Mashahidi 7 Waandaliwa Kumkabili

$
0
0
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, jana alikana kutoa lugha ya matusi dhidi ya  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kwamba mtoto, hana akili na mpuuzi. Askofu Gwajima alikanusha tuhuma hizo wakati akisomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama ya

Said Alf awakimbia CHADEMA, Ataka ubunge kwa CCM

$
0
0
MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini, Bw. Said Amour Alfi (CHADEMA) ni miongoni  mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao wamechukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Nsimbo, Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu wa CCM mkoani Katavi, Averin Mushi amethibitisha Bw. Arfi

Magufuli Aundiwa Zengwe na Wapinzani Wake

$
0
0
Mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, Dk.John Pombe Magufuli, anaundiwa zengwe zito na wapinzani wake kisiasa baada ya kubaini kuwa watapata taabu kubwa kuibuka na ushindi katika patashika hiyo itakayofanyika Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, zengwe hilo linahusu kile kinachodaiwa kuwa ni kuanza kwake mapema kufanya kampeni

Mbunge wa Kahama Kupitia CCM, James Lembeli Atangaza Kujivua uanachama wa CCM na kujiunga na CHADEMA

$
0
0
2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV,  mitandaoni  na Radioni . Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna habari za baadhi ya Wabunge wametangazwa kuhama Vyama vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM kwa maneno yake mwenyewe. "

Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

$
0
0
Story ya Diamond na Jokate imeingia kwenye hatua nyingine.    Mshindi huyo wa ‘Best Live Act’ kwenye MTV MAMA baada ya kurejea Tanzania, amejibu shutuma alizozitoa Jojo dhidi yake kuhusu video aliyoipost, ya mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wake akifurahia wimbo wa ‘Mdogo Mdogo’ na kuandika “Mbona Bado, Mtanyooka Tu”.   Kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm, haya ndio majibu ya

Video: Finally, Donald and Diamond ‘Wangu’ collabo is out

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); It’s finally here! The East Africa and South Africa collaboration you have been waiting for, from award winning musician Donald and Tanzania’s superstar Diamond Platnumz is out.    ‘Wangu’ is produced by DJ Clock, and the video directed by Justin Campos for Gorilla Films.    Watch the masterpiece.

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa?

$
0
0
Jana kupitia ukurasa wake wa @Instagram Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete…   Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si kumvalisha.   Amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa tayari kuweka wazi. Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa @naytrueboy A photo

Uhusiano Kati ya Ugonjwa wa Kisukari na Tatizo la Ukosefu wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ugonjwa  wa  kisukari  ni  miongoni  mwa vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na upungufu  wa  nguvu  za  kiume.   Asilimia  kubwa  ya  wagonjwa  wa   kisukari wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa nguvu  za  kiume.   Unajua  ni  kwa  nini  wanaume  wenye kisukari  wanasumbuliwa  pia  na  tatizo  la ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ?   JIBU  NI  RAHISI  SANA, NALO  NI  KWA

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya July 22

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  July 22

CHADEMA Kumtangaza Mgombea Wake wa Urais LEO Jijini Mwanza

$
0
0
Baada ya vuta vikuvute ya muda mrefu, hatimaye leo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kumtangaza mgombea wake wa urais katika mkutano maalumu utakaofanyika jijini Mwanza. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na viongozi wa chama hicho Kanda ya Ziwa Magharibi na makao makuu zilisema kuwa leo mgombea huyo atatangazwa mkoani hapa huku zikibainisha kuwa anayepewa nafasi

Mbunge Wa Karatu kwa Tiketi ya CHADEMA Ajitoa Rasmi Katika Siasa........Atangaza Kurudi Katika Kazi yake ya UCHUNGAJI

$
0
0
Mbunge wa Karatu kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji  Israel Natse, amejitoa rasmi katika siasa na kurudia kazi yake ya uchungaji katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini. Akizungumza na mtandao huu kwa njia ya simu ya kiganjani jana, alisema makubaliano yake na chama walimwomba agombee kipindi kimoja tu na sasa anapisha mwingine. “Mimi ninarudi kwenye

Nchimbi Afunguka baada ya CCM Kulikata Jina lake Kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (pichani), amefunguka kuhusu mambo kadhaa na kueleza kuwa  Watanzania wanapaswa kuelewa kuwa kutofautiana katika vyama vya siasa ni jambo la kawaida katika nchi yenye demokrasia. Dk. Nchimbi alisema hayo jana ikiwa ni siku moja baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Songea Mjini kuikataa fomu

Majambazi 27 wenye silaha wakamatwa mkoani Pwani

$
0
0
Jeshi la polisi Mkoa wa Pwani  limefanya msako mkali katika mapori mbali mbali  na  kufanikiwa kuwakamata   watuhumiwa  wa ujambazi  27 pamoja na   risasi 153,bunduki 2  mabomu 3  ambavyo  walikuwa wakivitumia katika matukio ya uharifu.   Kwa mujibu wa  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina mwandamizi Jafari Ibrahimu amesema kwamba watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya kufanyika

Hekaheka za Nairobi wanavyojiandaa kumpokea Obama

$
0
0
Rais Obama na Familia yake, hii ni kama TBT hivi… picha moja ya zamani zamani kabisa.   Kila ukiingia kwenye Mitandao ya Kijamii Kenya stori nyingi kubwakubwa na zenye headlines ni kuhusu ujio wa Rais Obama.. sio kitu kigeni kwa sababu hata alivyokaribia kuja TZ stori zilikuwa nyingi vilevile na zinazofanana na hizo.   Leo nimekutana na pichaz nyingine pamoja na stori nyinginyingi kuhusu

Wimbo Mpya: Navy Kenzo Ft. Vanessa Mdee- Game

$
0
0
Habari Njema kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva kundi la Navy Kenzo limerudi na ngoma yao mpya iitwayo Game waliomshirikisha Vanessa Mdee (VeeMoney).   Kama wewe ni mpenzi wa miondoko flani ya dancehall yenye fleva ya kibongo basi Navy Kenzo na VeeMoney wamekurahisishia kazi kwenye ngoma hii.   Nimekusogezea wimbo huo hapa chini. >

Bifu Jipya la Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

$
0
0
Mafahari wawili Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wamezidi ‘kusherehesha’ bifu lao baada ya kupigana vikumbo kwenye mgahawa unaojulikana kama Snow Cream na kuchuniana kama vile hawajuani. Kwa mujibu wa gazeti  la Risasi, Wema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye mgahawa huo na wapambe wake kisha baada ya muda kidogo kupita, Aunt pamoja na watu wengine nao walifika

James Lembeli na Easter Bulaya Watambulishwa Rasmi CHADEMA

$
0
0
Maelfu ya wananchi jana walijitokeza  kuwapokea wanachama wapya kutoka  Chama Cha Mapinduzi CCM ambao ni Mzee James Lembeli na  Easter  Bulaya ambao wamekihama chama Chama cha Mapinduzi kwa madai mbalimbali  ikiwemo kuhujumiwa.   Aidha,  Dk. Wildroad  Slaa na Mwenyekiti wa Chadema  Freeman Mbowe nao  walikuwepo pamoja  na wanachama wengine akiwemo Mbunge wa Kawe Halima Mdee.  

Wafuasi 10 wa CHADEMA na CCM Wakatana Mapanga Kisa ......

$
0
0
WATU zaidi ya 10 wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejeruhiwa katika mapigano, yaliyosababishwa na mabishano ya kisiasa wakati wakinywa pombe.   Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana mjini hapa, tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Kegonga tarafa ya Ingwe wilayani Tarime mkoani Mara.   Imeelezwa kuwa miongoni

Joshua Nasssari Achaguliwa tena Kupeperusha Bendela ya CHADEMA Jimbo la Arumeru Mashariki

$
0
0
Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari akizungumza namna alivyotekeleza ahadi zake katika kipindi kilichopita wakati wa mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Usa River ambapo  alichaguliwa bila kupingwa ili kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni

Picha: Diamond awashukuru watanzania kwa ushindi wa tuzo ya MTV MAMA

$
0
0
Mshindi wa tuzo ya mtumbuzaji bora wa Afrika kwa muziki wa MTV MAMA, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amewashukuru watanzania kwa kumwezesha kupata tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika huku akiwataka wasanii wa Tanzania kuungana kwa pamoja ili kuufikisha muziki mbali zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari jana katika hoteli ya Tansoma jijini Dar es salaam, Diamond aliwashukuru watanzania
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images