Kasi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuomba nafasi za udiwani na ubunge katika Jimbo la Monduli, inasuasua na tayari chama hicho kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Siasa kitakachokutana leo kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa hali hiyo.
Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli, Elisante Kimaro, alisema jana kuwa kusuasua kwa wanachama kuchukua fomu za kuomba kugombea nafasi hizo
Madiwani kwa Lowassa wasusa.....Kata zao zakosa Wagombea, Wasema Wanasubiri Tamko la Lowassa
↧
↧
Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali Ajiunga na Chama cha ACT-Wazalendo
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali amejiunga na Chama cha ACT - Wazalendo.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT - Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema hayo jana alipokuwa akimtambulisha kwa waandishi wa habari, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitengo cha Vijana wa NCCR - Mageuzi, Deo Meck ambaye naye amejiunga na chama hicho.
Machali ambaye
↧
Jinsi ya Kuandaa na Kutayarisha Dawa Lishe ya Kunenepesha,Kurutubisha na Kuongeza Mwili
Dawa-lishe ya kuongeza, kurutubisha na kunenepesha mwili, ni dawa maalumu kwa watu wenye uzito wa chini ( Under weight ) ambao wanataka kuongeza mwili na uzito.
Dawa hii huwasaidia watu ambao miili yao imedhoofu kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali.
Na kwa wale watu wembamba ambao wanataka kuongeza
↧
Magufuli Kuhutubia Mwanza Kesho Kutwa
Mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli, anatarajiwa kuwahutubia wakazi wa Mkoa wa Mwanza keshokutwa ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha.
Akizungumza jana na waandishi wa habari jana, Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, alisema Dk. Magufuli atawasili Mwanza siku hiyo mchana na kwenda moja kwa moja kwenye Uwanja wa Furahisha.
Alisema Dk. Magufuli atapokewa na
↧
Answar -Sun Waswali IDD EID FITRI Jangwani Dar es Salaam Leo
Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.
Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.
Swala ikiendelea.
↧
↧
PICHA: Ajali Mbaya ya Fuso na Hiace Yaua Watu Wanne na Kujeruhi 11.
WATU wanne wamefariki dunia na wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali
ya gari iliyotokea Wilaya ya Hai, Kilimanjaro ikihusisha gari aina ya
Hiace iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Sanya Juu na Moshi baada ya
kugongana na Fuso.
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence
Ngonyani, amesema ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi, ambapo majeruhi
nane wamelazwa
↧
MAJONZI: Mwanamuziki Banza Stone Afariki Dunia
Muimbaji wa muziki wa dansi aliyewahi kutamba akiwa na bendi
mbalimbali zikiwemo Twanga Pepeta na TOT Band, Ramadhan Masanja maarufu
kama Banza Stone amefariki dunia mchana wa Ijumaa, July 17.
Banza alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es
Salaam. Taarifa kuhusu kifo chake zimethibitishwa na kaka yake pamoja
na mmiliki wa Twanga Pepeta, Asha Baraka.
Kwa
↧
January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January
Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya
Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa
mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.
Kingunge
aliyejitoa kindakindaki kumpigania mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa
zamani Edward Lowassa, amekuwa akitoa matamko
↧
Mfanyakazi wa Clouds atiwa mbaroni kwa utapeli
Aliyekuwa mfanyakazi wa Clouds Media, Cynthia Maximillan, amejikuta
akitiwa mbaroni kwa madai ya kutapeli mamilioni ya shilingi ya
wafanyakazi wenzake na marafiki aliosoma nao.
Inadaiwa kuwa mrembo huyo alitiwa rumande kituo cha polisi Oysterbay,
baada ya kuwakusanya marafiki zake na kuwapa mchongo kuwa, kuna viwanja
vinapatikana huko Bagamoyo kwa shilingi mil 1.5 kupitia Chama cha
↧
↧
Wema amwangukia Kajala, ataka wamalize tofauti
Msanii wa filamu nchini na Mkurugenzi wa Endless Fame Production,
Wema Sepetu, amedai kuwa yupo tayari kumaliza bifu lake na msanii
mwenzake Kajala Masanja, baada ya kutokuwa katika maelewano mazuri kwa
muda mrefu.
Bifu hilo lilichukua sura mpya ambapo Wema, alikataa kabisa kumsamehe
mwanadada Kajala, na kujiapiza kuwa kamwe hawezi kumsamehe licha ya
Kajala kutaka kumaliza tofauti
↧
Maimatha Kuwashitaki Timu Wema
Mtangazaji maarufu
ambaye siku chache zilizopita amejiunga na Azam Tv, Maimartha Jesse
amewafikisha wafuasi wa Wema Sepetu wanaojulikana kwa jina la ‘Team
(Timu) Wema’ kwa mwanasheria wake kutokana na kuendelea na tabia yao ya
kumtukana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Nimechoka na ninaapa kwamba nitakula
nao sahani moja kwani mpaka sasa nimeshagundua kuwa kuna mmoja yupo
↧
Magufuli Apata Mapokezi ya Kishindo Jijini Mwanza Leo
Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.
Mgombea
Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe
Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa
jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao
walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili
leo
↧
Banza Stone Azikwa Jijini Dar es Salaam Leo
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa
la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia
na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza
Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda
mrefu, amezikwa
↧
↧
Makundi yanayomuunga mkono Lowassa yamiminika UKAWA.......Wadai wana kura milioni 10
MAKUNDI yanayomuunga mkono Waziri Mkuu Edward Lowassa yametangaza kutokiunga mkono Chama cha Mapinduzi na kuhamishia kampeni zake kwa mgombea urais atakayesimamsihwa na vyama vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (Ukawa).
Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam, viongozi wa makundi hayo ambayo ni pamoja na Four U Movement, Lowassa for Presidency,
↧
Diamond Platnumz Ashinda Tuzo ya BEST LIVE ACT Ya MTV MAMA.........Orodha ya Washindi Wote Iko Hapa
Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee Money’…
Kura zimepigwa na usiku wa leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa
↧
Aliyechana Fomu Ya BVR kwa Kukataa Kuvua Hijab Atiwa Mbaroni
WATU wawili wamekamatwa katika vituo viwili tofauti vya uandikishwaji
wa daftari la mpigakura kwa kosa la kuchana karatasi ya maelezo ya
mpiga kura (Fomu namba moja) na mwingine kwa kosa la kujiandikisha mara
mbili.
Akizungumza juzi na waandishi wa habari ofisini kwake, Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Jiji la Arusha, Juma Idd, kuhusu matukio hayo,
yaliyotokea Jimbo la Arusha Mjini,
↧
Hali ni Mbaya: Madiwa 20 wa CCM, Wenyeviti 6 Wa Vijiji na Viongozi wa Jumuiya za CCM Monduli kwa Lowassa Wahamia CHADEMA
WAKATI wakongwe wa siasa wakimhadharisha aliyekuwa Waziri Mkuu,
Edward Lowassa, kutofuata mashabiki wanaomtaka ahame CCM ambako
amelelewa na ndiko anakoheshimika, madiwani 20 wa chama hicho katika
Jimbo la Monduli, wamejiunga na Chadema.
Madiwani hao wameingia Chadema na kufuatwa na wenyeviti sita wa
vijiji pamoja na viongozi wa jumuiya za CCM, huku wakimwomba Lowassa
ambaye ni
↧
↧
Mwinyi Avunja Ukimya Kilichotokea Dodoma...... Asema Haikuwa Kazi Rahisi Kumpata Mgombea wa Chama
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amesema
kuwa shughuli ya kupata mgombea urais kwa tiketi ya CCM haikuwa rahisi
na akashukuru kwamba imemalizika kwa amani.
Mchakato
huo ulihitimishwa Julai 12 mjini Dodoma wakati Mkutano Mkuu wa CCM
ulipopitisha jina la Dk John Magufuli kugombea nafasi ya kuongoza
Serikali ya Awamu ya Tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza
↧
Lembeli: Sitagombea ubunge kupitia CCM
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Uamuzi
wa Lembeli umekuja wakati wanachama kutoka sehemu mbalimbali
wakitangaza uamuzi wao wa kujiengua CCM na kujiunga na vyama vya
upinzani, hasa Chadema ambayo imesomba asilimia kubwa ya wahamaji hao.
Akizungumza jana baada ya kuzagaa kwa taarifa katika
↧
Shilole na Nuh Mziwanda Wapigana Chini..........Mziwanda Amwita Shilole ASHA NGEDERE
Ile couple ya wasanii wa kibongo wasioishiwa skendo, Shilole na Nuh Mziwanda imeubuka upya kwa staili ya kipekee.
Tumezoea kusikia Shilole kamnasa makofi Mziwanda, mara kampiga chupa na mengine mengi ya aina hiyo.
Awamu hii wamekuja na mpya ya kuchambana live mitandaoni. Nuh kafananishwa na ganda la ndizi huku Shilole akifananishwa na Asha
↧