Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Aunt Ezekiel: Nitamuunga Mkono Wema Sepetu Katika Safari Yake ya Kugombea Ubunge

$
0
0
Diva  wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel, amefungukia kuhakikisha anampa sapoti ya nguvu shosti wake, Wema Sepetu katika harakati zake za kuwania ubunge. unt amesema kuwa pamoja na kwamba yeye hafahamu siasa hata kidogo na hatarajii kujiingiza huko, lakini anatambua Wema ameamua kutangaza nia ya kugombea, hivyo kama

Tume Ya Uchaguzi Yatangaza Kuanza Uandikishaji BVR Dar es Salaam na Pwani

$
0
0
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia  Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam.  Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na

Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye

$
0
0
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha. Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika: “Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili

Atiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumuua Baba Yake kwa Shoka

$
0
0
MKAZI wa kijiji cha Igongwa wilayani Maswa mkoani Simiyu, Majingwa Ndushi (32) amekamatwa na jeshi la Polisi baada ya kutoroka akikwepa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kumuua baba yake mzazi, Ndushi Majingwa (65) kwa kumkata na shoka kichwani.   Mbele ya mahakama hiyo, ilidaiwa na Mwendesha Mashtaka wa jeshi hilo, Mkaguzi wa polisi Nassibu Swedy, kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa

Kesi ya Gwajima Yapigwa Kalenda

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa kuhifadhi silaha.   Kesi hiyo ilitajwa jana kwa ajili ya washitakiwa kusomewa maelezo ya awali lakini iliahirishwa kwa kuwa Hakimu Mkazi Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo

Amuua Mwenzake Kwa Kisu Wakigombea Mwanamke

$
0
0
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti katika Wilaya za Tarime na Rorya akiwemo mtu aliyeuawa wakati wanagombania mwanamke.   Waliokufa ni Chacha Mwita (24) aliyechomwa kisu kifuani na mwenzake wakigombea mwanamke wa baa huko Sirari.    Wengine ni Juma Nguka (25) aliyeuawa na watu wenye hasira baada ya kutuhumiwa kupora pikipiki yenye namba za usajili MC 936 ACA, mali ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 3

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  July  3

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Hukumu ya Kesi ya Mramba na Wenzake Kutolewa Jumatatu.

$
0
0
HUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wenzake imeahirishwa kwa mara ya pili kwa sababu hakimu anaumwa.   Kesi hiyo ilitajwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomwa kwa hukumu, baada ya kuahirishwa kwa mara ya kwanza Mei 30 mwaka huu.   Hata hivyo, Hakimu Mkazi, Saul Kinemela

Roboti Lamuua Mfanakazi wa Kiwanda cha Magari

$
0
0
Hiki ni moja ya viwanda vinavyotengeneza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani. Roboti zikichomelea magari katika kiwanda cha Volkswagen. Hapa ndipo mfanyakazi wa Volkswagem alipofariki kwa kuuawa na roboti kaskazini mwa jiji la Frankfurt, Ujerumani.   Frankfurt, Ujeruman ROBOTI moja iliyokosa mwelekeo imemuua mfanyakazi mwenye umri wa miaka 22 katika kiwanda cha kutengeneza

Esha Buheti Akiri Kuchepuka Nje ya Ndoa.

$
0
0
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake. Akizungumza na na gazeti la Ijumaa, Esha aliweka wazi hisia zake kuwa kwa sasa ana kifaa kipya chenye hadhi na amekuwa akitupia picha zake mitandaoni kisha anazitoa. “Najua wambeya watataka kumchunguza mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka

Muziki wa Tanzania umepenya vipi wakati tunawakilishwa na msanii mmoja tu? – Dudu Baya

$
0
0
Dudu Baya anapingana na kauli kuwa muziki wa Tanzania umepenya Afrika. Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo amesema muziki wa Tanzania haujapenya kwakuwa anayeiwakilisha Tanzania ni mmoja tu – Diamond.   Amesema ili muziki wa Tanzania uweze kusemwa umepenya kimataifa ni lazima kuwepo na wasanii wengi wanaofanya vizuri kama ukubwa wa Diamond kwa sasa.

Snura asema baada ya Ramadhan ni video mpya na filamu ‘Siku 5′

$
0
0
Snura amedai kuwa baada ya mwezi wa Ramadhan atatoa video ya wimbo wake uliovuja ‘Unajidabua’ pamoja na filamu mpya iitwao Siku 5. Muimbaji huyo amesema wimbo huo haujapata promotion kubwa kwakuwa ulivuja tu.   “Kiukweli wimbo haujafika mbali kwakuwa hata kuitoa rasmi sijautoa,” amesema.    “Kwahiyo siwezi kuuzungumzia. Lakini sasa hivi nimeufanyia video ndo nitautoa rasmi baada ya

Wabunge 11 Wa UKAWA Watimuliwa Bungeni Kisa Kupinga Muswada wa Sheria ya Petrol

$
0
0
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Watanzania limewasimamisha wabunge 11 kwa kudharau mamlaka ya Spika jana.   Hatua hiyo ni baada Spika wa Bunge hilo, Anne Makinda, kuwashitaki katika Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, wabunge hao wa Kambi Rasmi ya Upinzani, wakiongozwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi hiyo, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema).  

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya July 4

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  July 4

Chuchu nje nje: Huddah apost picha za aibu kwenye Instagram!

$
0
0
Huddah Monroe anafahamika kwa maisha yake controversial hivyo si jambo la ajabu kwa followers wake wa Instagram kumuona akila bata kwenye beach za Ulaya huku akiwa na nguo inayoonesha nipples zake! Jionee mwenyewe!

Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe abadili mawazo kugombea ubunge

$
0
0
Marehemu Chacha Wangwe MTOTO wa marehemu, Chacha Wangwe, Zakayo Wangwe, ambaye alitangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime hivi karibuni, amebadili mawazo na kutangaza kugombea udiwani Kata ya Turwa. Uamuzi huo aliuchukua jana na kuwaeleza waandishi wa habari kwamba, amejitathmini na kuona agombee udiwani badala ya ubunge. “Nimepokea simu na meseji nyingi kutoka kwa watu wangu

Jose Chameleone aahidi kumpiga jeki Wema kwenye safari yake ya kuwania ubunge

$
0
0
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida. Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.   “S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum..

ACT yailalamikia CHADEMA kuhujumu mikutano yake.

$
0
0
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency(ACT), kimebaini kuwepo kwa mipango inayoratibiwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuhusika kuhujumu mikutano yake mbalimbali.   Hujuma hizo zimebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu wa Mipango na Mikakati Taifa  wa ACT Habibu Mchange, aliyesema kuwa chama hicho kimekuwa kikihangaikia ACT na kusahau kushughulikia

Ray C: Sitanii niliposema natafuta mwanaume wa kunioa

$
0
0
Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa. “Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.   “Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images