Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 1 July 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe 1 July 2015

Sakata la Walimu wa Kike Kuingiliwa Sehemu zao Za Siri Kishirikina Lachukua Sura Mpya

$
0
0
SAKATA la walimu wa Shule ya Msingi Nambaza iliyopo Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kufanyiwa vitendo vya kishirikina wakidai kuingiliwa kimwili, kuibiwa mali na fedha, sasa limechukua sura mpya. Hali hiyo inatokana na Mkuu wa Wilaya hiyo, Joshua Mirumbe kuagiza watuhumiwa (wachawi), ambao wananchi waliwabaini kuhusika na vitendo hivyo kwa kupigiwa kura, wakamatwe haraka na

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano, 2015/ 2016

$
0
0
OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015.Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.   Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo

Watu wanne wafariki Dunia Baada ya Basi Kugonga Treni Leo

$
0
0
Watu wanne wamefariki dunia  leo na wengine 21 kujeruhiwa  kufuatia basi aina ya Isuzu kugonga treni ya abiria  iliyokuwa ikienda bara katika kilomita 276/0 kati ya stesheni za Kimamba na Kilosa Mkoani Morogoro wilayani Kilosa majira ya saa 11:25 asubuhi ya leo.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya Uhusiano kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Elia Mshana

Jinsi ya Kutangaza Biashara yako Kwenye Mtandao Huu

$
0
0
I can help you promote your offline/online business, start-up, etc to my targeted blog readers and you will get a good value for your money. You can use Sponsored post, Banner ads or Text ads to advertise on my blog. Sponsored Post I can publish a sponsored post about your business,website, blog, start up, OR add your website address into an existing blog post as a sponsor of the

Polisi Yanasa Mtambo Wa Kutengeneza Bunduki

$
0
0
POLISI mkoani Rukwa imewakamata watuhumiwa 19 na silaha za aina mbalimbali zikiwemo bunduki 30, risasi 231 pamoja na mtambo wa kutengeneza bunduki za kienyeji.   Katika msako uliofanywa na Polisi mkoani hapa, pia waliweza kukamata nyara za Serikali yakiwemo meno, mikia miwili ya tembo na maganda mawili ya risasi.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana

Mwalimu Ahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Kwa Kumnajisi Mkjuu Wake

$
0
0
MWALIMU mstaafu, Rashid Mbogo (65) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi baada ya kupatikana hatia ya kumnajisi mjukuu wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano.   Akisoma hukumu hiyo, Hakimu wa mahakama hiyo, Chiganga Ntengwa alisema kuwa mahakama hiyo imeridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka na utetezi ambapo haukuacha shaka

Diamond Kuwasha Moto Miss Kilimanjaro

$
0
0
Tareheh 24 julai 2015 miss Kilimanjaro inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa ”KILI HOME MOSHI”ambapo Daimond atawaburuudisha wageni watakao fika katika ukumbi huo .

Watuhumiwa wa EPA Waachiwa Huru.

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru Kada wa CCM Rajabu Maranda na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi wizi wa Sh milioni 207 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).   Jopo la mahakimu watatu likiongozwa na Hakimu John Utamwa, Ignas Kitusi na Eva Nkya liliwaachia washitakiwa hao baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Tarehe 2 July 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Alhamisi  Ya  Tarehe  2 July  2015

Urais 2015: UKAWA Waahidi Neema Kwa Wachimbaji

$
0
0
SERIKALI itakayoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) imeahidi kuwapa kipaumbele wachimbaji wadogowadogo ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo katika shughuli za uchimbaji wa madini huku ikihakikisha kuwa kampuni kubwa za uwekezaji zikilipa kodi stahiki ya Serikali.   Hayo yalisemwa juzi na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba, alipokuwa akiwahutubia

Wanne Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Baada Ya Kukutwa Na Hatia Ya Kumuua Albino

$
0
0
MKAZI wa Kiwira, wilayani Rungwe, Hakimu Mwakalinga ambaye aliwahi kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kukutwa na hatia ya kumuua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Rungwe, John Mwakenja, amehukumiwa adhabu hiyo kwa mara nyingine baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mlemavu wa ngozi (albino).   Mwakalinga pamoja na washitakiwa wenzake watatu walihukumiwa adhabu hiyo katika

Lowassa: "Nimechoka Kuitwa Fisadi .......Mwenye Ushahidi wa Rushwa dhidi Yangu Ajitokeze Ili Aeleze nilitoa lini, wapi na kwa nani."

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliwataka wanaomhusisha na ufisadi kuacha mara moja kwa sababu hakuna hata chembe ya ukweli katika tuhuma hizo. Lowassa, aliyeonekana kuzungumza kwa hisia, alisema hayo jana mara baada ya kurejesha fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25. Mbunge huyo wa Monduli alikuwa mmoja kati ya makada tisa

CHADEMA Yaibwaga CCM Mahakamani........Matokeo ya Uchaguzi Wenyeviti 16 Yatenguliwa

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imezidi kupata pigo baada ya Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji 16 vya mji mdogo wa Mirerani, kwa maelezo kuwa ulikiuka sheria na utaratibu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.    Hii ni mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja kwa Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi huo ambao uliwaweka

Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni

$
0
0
Afande Sele amesema akiingia bungeni hawezi kuwasahau wasanii wenzake kama walivyosahauliwa na wasanii wabunge waliotangulia kuingia mjengoni. Rapper huyo  atawania kiti cha ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha ya chama cha ACT na amesemakuwa akiingia bungeni wasanii watarajie mambo makubwa kutoka kwake.   “Lengo langu kubwa kwa wasanii ni kupigania haki za wasanii,”

Familia Yampa ONYO Rose Ndauka

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili.   Kwa mujibu wa chanzo, Rose aliambiwa maneno mengi na familia yake ikimtaka ajirekebishe na haswa ajitume zaidi katika kazi zake anazofanya.   “Familia yake imeamua kumuweka chini na kumwambia mengi kuhusu maisha haswa ikimtaka ajirekebishe tabia yake kwa

Davido atoa uthibitisho mwingine kuwa hakuna ‘beef’ kati yake na Diamond

$
0
0
Bado una wasiwasi juu ya maelewano kati ya muimbaji wa Nigeria, Davido na Diamond? Pamoja na Diamond kujibu kwenye Interview mbalimbali kuwa hawana tatizo, Davido naye ametoa uthibitisho mwingine kuwa hakuna ‘beef’ kati yao. Ni jambo gumu kupost kitu kinachomhusu mtu ambaye hamna maelewano, ndio maana kwa post hii ya Davido watu wanapaswa kufahamu kuwa jamaa hawa wawili wanaiva chungu

Kanye West "Ala za Uso" London

$
0
0
Staa  wa Hip Hop, Kanye West hivi karibuni amekutana na aibu kubwa jijini London wakati akiwa kwenye tamasha la kuadhimisha Sikukuu ya Glastonbury baada ya kikundi fulani cha mashabiki kunyoosha bendera juu iliyochorwa picha ya mkewe Kim Kardashian akifanya ngono na Ray J. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali nchini Uingereza na Marekani,Kanye hakupenda kabisa kulizungumzia

Msumbiji Yahalalisha Mapenzi Ya Jinsia Moja

$
0
0
Nchi ya Msumbiji imepitisha sheria inayohalalisha mapenzi ya jinsia moja, na kuwa miongoni mwa nchi chache Barani Afrika zinazoruhusu mapenzi ya jinsia moja.   Sheria hiyo iliyowekwa na wakoloni wa nchi hiyo, Ureno awali ilifutwa na Bunge la nchi. Watetezi wa haki za wapenzi wa jinsia moja, wametaja hatua hiyo kama ushindi mkubwa.   Hata hivyo nchi nyingi za Afrika zimeweka sheria

Mzee Majuto Adai Kushobokewa na Vibinti

$
0
0
Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe. Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi amesema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa haswa na mabinti.   “Sijawahi kumshobokea binti yoyote ila wenyewe ndiyo huwa wananishobokea
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images