Kwa mara ya kwanza, ‘mnyama’ katika anga la muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘Top In Dar’ (TID) amekiri kutumia mihadarati aina ya bangi huku akijiapiza kuwa hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya ‘unga’ ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi ya watu.
Akizungumza na Gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum wikiendi iliyopita, TID ambaye ni mmiliki wa
TID: Ni Kweli Navuta Bangi
↧
↧
Ommy Dimpoz aoga mvua ya matusi mtandaoni
Mwanamuziki nchini Tanzania, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amejikuta
katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na mashabiki wake katika
mtandao wa kijamii muda mfupi baada ya kuweka picha ya tangazo la video
mpya ya Ali Kiba, kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015 kwa kile walichodai
kuwa anamsaliti rafiki yake mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Sambamba na hilo inadaiwa kuwa
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 30 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 30 Juni 2015
↧
Urais 2015: Lowassa afunga mahesabu ya Wadhamini Morogoro
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amehitimisha safari ya kusaka
wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania bara na mitatu ya visiwani
Zanzibar.
Akiwa Mkoani Morogoro Lowassa amepata wanaccm 104,038 waliojitokeza
kumdhamini katika safari yake ya matumaini aliyoa ianza mara baada ya
kutangaza nia ya kugombea urais uwanja wa sheikh Abeid Karume jijini
Arusha may 29 maka huu.
↧
Serikali Yawaonya Wauza Mafuta.....Ni Kutokana na Habari za Mgomo Kusubiri Bei Mpya
SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali wafanyabiashara wa mafuta, ikiwamo kuwafungia vituo vyao na pia kufuta leseni zao watakaobainika kugoma kuuza nishati hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amewaonya wamiliki wa vituo vya mafuta nchini wasije wakajiingiza katika mtego wa kufanya mgomo wa kuuza mafuta katika vituo vyao.
Mwijage alitoa tamko hilo wakati wa
↧
↧
Ofisa Mtendaji atupwa mahabusu kwa kutafuna fedha za shule
MKURUGENZI wa halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Rustika
Turuka amemweka mahabusu Ofisa Mtendaji Kata ya Kining’inila John
Maduhu, kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 21 za ujenzi wa maabara katika
shule ya sekondari Kining’inila.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juzi, Turuka alisema
mtendaji huyo aligundulika kula fedha hizo baada ya mlezi wa kata hiyo
↧
Urais CCM: Kigwangalla Awataka Wagombea Wenzake Waache Kujadili Afya Za Wengine
Mbunge wa Nzega, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wanaowania
kuteuliwa na CCM kugombea urais kuacha kukashifiana, kutukanana,
kudharauliana na kuzungumza juu ya afya za wengine kwa kuwa mpaka sasa
haijulikani nani atashinda.
Akizungumza na wana-CCM waliojitokeza kwenye
ukumbi wa CCM Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kumdhamini, Dk Kigwangalla
alisema baadhi ya wanaowania kuteuliwa na
↧
Pinda: Nikiwa Rais Ntaimarisha Muungano
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema iwapo chama kitampitisha na
kupewa ridhaa na wananchi kuwa rais, atahakikisha anaimarisha misingi ya
Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano.
Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akisaka wadhamini
huko Dimani, Mwera, Mjini na Wilaya ya Kaskazini B mjini Zanzibar.
Alisema Mapinduzi na Muungano ni mambo muhimu yanayohitaji kuenziwa na
akawataka wanachama wa CCM
↧
Urais 2015: Ngeleja Awaomba Watanzania Wampime Kwa Haya Mambo 15 Aliyoyafanya
Mbunge wa Sengerema ambaye pia ameomba kuteuliwa kuwania urais kwa
tiketi ya CCM, William Ngeleja amewataka Watanzania kumpima kwa mambo 15
aliyofanya wakati wa uongozi wake serikalini. Alisema hayo jana
wilayani Nanyumbu alipokuwa akisaka wadhamini.
Alisema wakati alipokuwa Naibu Waziri na baadaye Waziri wa
Nishati na Madini, aliweza kufanya mambo makubwa 15 ambayo amewataka
↧
↧
Urais 2015 : Mkapa Atoa 'ONYO' Kwa Wagombea Urais.
Rais wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ametoa wosia kwa wanasiasa wanaowania uongozi katika uchaguzi mkuu ujao nchini, wawe makini na matamshi wanayoyatoa wakati wanapotafuta nafasi wanazotaka ili kuendelea kudumisha amani na utulivu nchini.
Mkapa alitoa wosia huo juzi, kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 19 tangu kuanzishwa kwa Radio Maria Tanzania yaliyofanyika Kanisa
↧
Ali Kiba: Chekecha Cheketua (Official Video)
Ali Kiba: Chekecha Cheketua (Official Video)
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
↧
Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka
amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya
vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika
utendaji wake.
Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati
akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya
Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake
↧
Rais Kikwete Kuvunja Bunge July 9
Hatimaye imebainika kwamba Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafikia ukomo wake Julai 9, mwaka huu.
Hadi kufikia mwisho wa uhai wake, Bunge hilo lililoongozwa na Spika Anne Makinda (pichani), na Naibu Spika Job Ndugai, litakuwa limefanya mikutano 20 huku vikao vya mwisho vikiwa ni 38.
Ratiba ya nyongeza iliyotolewa jana na ofisi ya Bunge baada ya kikao cha Kamati ya
↧
↧
'Acheni UONGO, Nyerere Hakuwahi Kumkataa Edward Lowassa'
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amehitimisha ziara yake ya kutafuta wadhamini katika Mkoa wa Morogoro huku kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Issack Mwisongo, akisema Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere, hakuwahi kutamka kumkataa mbunge huyo wa Monduli kama ambavyo baadhi ya viongozi wanasema.
Katika Mkoa huo ambao ni wa 31, Lowassa alipata wanachama
↧
Kumekucha: Mwinyi, Mkapa, Aman Abeid Karume Wakutana Rasmi Kuwajadili Wagombea Urais Wa CCM
Hatimaye marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wameungana na wajumbe wenzao wa Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza kuwajadili makada waliojitokeza kuwania urais na kutoa ushauri utakaowezesha kupatikana kwa njia bora za kumpata mgombea wa chama hicho.
Tayari vikao vya baraza hilo vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu vimeshaanza na leo vinaingia katika
↧
Membe Arudisha Fomu Ya Urais......Akana Kuhusika Na Ufisadi Wa Mabilioni Ya Libya.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe, jana amerudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili aweze kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, kwa tiketi ya chama hicho.Mbali ya kurudisha fomu hiyo katika Ofisi Kuu ya CCM, Mjini Dodoma, Bw. Membe alitumia fursa hiyo kuzungumzia taarifa za uvumi dhidi yake kuwa anahusika na ufisadi wa mabilioni
↧
Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo pale pale – Aunty Ezekiel
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel, amekiri kuzaa nje ya
ndoa na kusema kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa bado anaamini ndoa
yake ipo palepale na mume wake Sunday Demonte.
Amesema kuwa ameamua kuzaa na Mose Iyobo, dansa wa Diamond kwa kuwa muda wa kuitwa mama ulikuwa umefika.
“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku
↧
↧
Dotnata Aingilia Kati Ugomvi Wa Wema Sepetu Na Kajala
Mwigizaji mkongwe, Husna Posh ‘Dotnata’ ameengilia kati ugomvi kati
ya mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Kajala Masanja kuwataka
waachane na hali hiyo kwani bifu lao halina faida kwao na katika jamii.
Akizungumza na Tanuru la Filama, Dotnata alisema kuwa kwa
akili ya kibinadamu ugongvi huo hauwezi kuisha kutokana na kila mmoja
kumuona mwenzake ndiyo mbaya.
"Namuomba
↧
Waliokosa Ajira Watakiwa Kutoa Taarifa Bodi Ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)
SERIKALI imewataka wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu ambao bado hawajapata ajira kutoa taarifa kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi).
Katika swali lake, Machali alitaka kujua Serikali inawasaidia vipi
↧
Mbunge Aiomba Serikali Ipige Marufuku Pombe za Kienyeji na Za Viwandani ( Bia)
MBUNGE wa Mji Mkongwe, Ibrahim Sanya (CUF), ameitaka Serikali kupiga marufuku unywaji wa pombe kwa kuwa ni kichocheo cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Akiuliza swali bungeni jana, Sanya alisema ni wakati mwafaka kwa Serikali kupiga marufuku uuzwaji wa pombe hizo zikiwemo za kienyeji na pombe za viwandani.
“Kama hilo haliwezekani basi katika bajeti ijayo iongeze tozo pombe kwa
↧
More Pages to Explore .....