Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ali Kiba Atimuliwa Kwenye Nyumba Aliyokuwa Akiishi.......Nyumba Ilikuwa ya Mwanamke Ambaye Amechukia baada ya Kusikia Ali Kiba na Jokate ni Wapenzi

$
0
0
Licha ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.   Kwa  mujibu  wa gazeti  la Risasi, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke

Mfanyabiashara Wa Madini Apigwa Risasi Arusha

$
0
0
MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Mathias Manga amepigwa risasi nyumbani kwake juzi usiku na watu wasiojulikana. Polisi imethibitisha tukio na kwamba majeruhi anaendelea vizuri na matibabu.   Akizungumza na waandishi  wa  habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Manga amepigwa risasi ubavuni saa

Kauli ya Banza Stone Baada ya Kuzushiwa Kifo

$
0
0
Baada ya kuzushiwa kifo ,muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Banza Stone amesema si jambo la busara la kuzushiana kifo   Akizungumza kwenye AMPLIFAYA   ya  Clouds  Fm jana june 24 alisema: "Mimi nilikuwa nasumbuliwa na kichwa sana na ki homa homa fulani kama miezi miwili lakini saaa hivi niko vizuri, naelendele poa na leo nilienda hospitali daktari kufanya sound check akaniambia

Rais Kikwete Awashangaa Wanasiasa Wanaokosoa Kitendo cha Serikali Yake Kukopa Fedha Nje

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amewashangaa wanasiasa wanaokosoa kitendo cha Serikali yake kukopa fedha nje ya nchi kuwa kinazidisha deni la taifa, kwamba hawana ufahamu na kufafanua kuwa katika kuharakisha maendeleo ya nchi, kukopa ni jambo la kawaida.   Alisema hata mataifa makubwa yaliyopiga hatua kubwa kwenye maendeleo yamekuwa yanakopa na akasisitiza kuwa uamuzi wa serikali kwenda nje

Urais 2015: Membe Awataka Wenzake Kuheshimu Matokeo

$
0
0
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka wenzake wanaowania kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Tanzania kuwa tayari kuyaheshimu matokeo yatakayoamuliwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa na Mkutano Mkuu wa CCM katika mchakato wa kumpata mgombea bora wa chama hicho baadaye mwezi ujao.   Kutokana na maamuzi ya vikao hivyo amesema asitokee mtu wa

‘Papa Msofe’ Afutiwa Kesi, Akamatwa tena

$
0
0
MFANYABIASHARA maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, wamefutiwa kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.   Hata hivyo, baada ya kuachiwa, Msofe alikamatwa tena na kufunguliwa kesi nyingine ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo.   Hakimu Mkazi, Renatus Rutta aliwaachia huru washitakiwa hao baada ya kufuta kesi

Kipindupindu Chalipuka tena Kigoma

$
0
0
WATU watatu wamefariki dunia katika Kijiji cha Kalagu  kwenye mwambao mwa Ziwa Tanganyika Wilaya ya Kigoma Vijijini   kutokana na  mlipuko wa   kipindupindi  huku wengine 10  wakiwa wamelazwa katika zahanati ya Gungu.   Akizungumza na chanzo cha habari Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dk. Leonard Subi,  alisema mpaka jana kulikuwa na wagonjwa 10 waliolazwa katika  Zahanati ya Mwakizega ya

Millard Ayo Abanwa Kuhusu Uhusiano wake na Jokate, Lulu Michael na Wolper

$
0
0
Mtangazaji mwenye sauti nzito Bongo kupitia Clouds FM, Millard Ayo, Jumatatu iliyopita alibanwa azungumzie uhusiano wake na warembo wenye majina makubwa nchini, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’,  Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo alimfungukia mmojammoja. Katika mahojiano maalum na Kipindi cha Sporah Show, mtangazaji alimbana Millard akimtaka aseme ukweli kuhusu warembo hao ambapo

Serikali Yavifuta Vyuo Vitatu na Kuvishusha Hadhi Vyuo 16

$
0
0
KATIKA jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vyuo kumi na sita.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mtendaji wa NACTE, Dk Adolf Rutayuga alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya vyuo husika kushindwa kurekebisha kasoro zilizobainishwa na

Lowassa Avunja Rekodi Jijini Arusha......Apata Mapokezi ya Kishindo, WanaCCM 120,392 Wajitokeza Kumdhamini

$
0
0
Edward Lowasa ameendelea kuvunja rekodi ya idadi ya watu wanaojitokeza kumdhamnini baada ya kupata wadhamini 120,392 jana  mkoani  Arusha.   Rekodi hiyo ya Arusha imezipiku ile iliyowekwa na mkoa ya Iringa alikodhaminiwa na wanachama 58,562.   Mbunge huyo wa Monduli aliwasili jijini Arusha saa 9:00 alasiri na kupokelewa kwa mbwembwe zilizoambatana na nyimbo mbalimbali za wasanii

Wanafunzi Nchini Marekani wavumbua Kondomu inayotambua Maambukizi ya Zinaa

$
0
0
Wanafunzi katika shule ya  Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Essex nchini Uingereza wameunda mipira ya kondomu inayobadili rangi pindi inapokutana na majimaji ya mtu anayeugua maradhi ya zinaa.   Kondomu hiyo iliyopewa jina la S.T.EYE inaweza kutambua maambukizi ya Chlamydia Kaswende na Kisonono huku ikiwa na uwezo wa kubadili rangi tofauti kulingana na bakteria waliopo.  

Shamsa Ford: Dickson (ex wake) amewahi kunitishia kutuua mimi na mtoto zaidi ya mara 10

$
0
0
Muigizaji wa filamu, Shamsa Ford amesema tangu aachane na aliyekuwa mume wake Dickson Matoke, amewahi kuwatishia kuwaua yeye na mwanae zaidi ya mara 10. Shamsa alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa ex wake huyo alikuwa na matatizo mengi ambayo alishindwa kuyavumilia.   “Namshukuru baada ya kuwa gizani sasa hivi nipo kwenye mwanga. Dickson kanifanya nijifunze vitu vingi

Faiza Ally akata rufaa, ataka kurudishiwa mtoto wake

$
0
0
Siku chache zimepita tangu Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kushinda kesi na kumchukua mtoto wake Sasha, aliyezaa na mwanadada Faiza Ally, kwa madai kuwa mzazi mwenzake huyo ameshindwa kumlea kutokana na kukosa maadili,  hatua hiyo imepelekea Faiza kukata rufaa ya kutaka arudishiwe mtoto wake.   Kupitia mtandao wa kijamii amesema kuwa “Nasitikishwa sana na maneno yenu

Aging socialite VERA SIDIKA is back, See what she did for men, +18 VIDEO

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); After taking a break from social media, aging socialite, Vera Sidika, is back with her usual madness. This time round, she decided to leave little to men’s imagination after releasing her best twerk video ever. She did it in her house and few men can get enough of her crazy moves.

Wolper: Mimi ni Freemason Kitambo tu

$
0
0
Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani yake. Akiongea na mwandishi wetu, Wolper alisema ni

Jokate Aoga Mvua ya MATUSI Toka kwa Mashabiki

$
0
0
Mwanamitindo  na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar. Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile

Ajinyonga Baada ya Kubainika Ana Virus Vya UKIMWI

$
0
0
MKAZI mmoja wa Mtaa Myegeya katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Mathias Ngimba (41), amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga  kwa kutumia kipande cha nguo kwa kile kilichodaiwa baada ya kupimwa afya yake alibainika kuwa ana maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi  (VVU).   Akizungumza jana Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikhela,  alisema tukio hilo limetokea Juni 20, mwaka huu

Linah Alinasa Penzi la Kaka Yake Zari ( Mpenzi wa Diamond)

$
0
0
Mrembo anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo.   Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe jijini Dar hivi karibuni, mwandishi wetu aliwaona wakiingia sambamba na kukaa beneti kama mtu na mpenzi wake jambo

Kituko Sakata la Mama Mjamzito Aliyejifungulia Bafuni baada Ya Wauguzi Kumfukuza

$
0
0
SIKU mbili baada ya tukio la wauguzi wawili wa zahanati iliyopo Kijiji cha Shishiyu, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu kudaiwa kumfukuza mama mjamzito aliyejifungulia bafuni katika nyumba iliyopo jirani na zahanati hiyo, uongozi wa halmashauri hiyo umewahamisha kituo cha kazi wauguzi hao badala ya kuwachukulia hatua. Wauguzi hao (majina yanahifadhiwa), wanadaiwa kumfukuza mama aliyekuwa

Urais 2015: Profesa Muhongo Aumbuka CCM Makao Makuu

$
0
0
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Waziri aliyejiuzulu kutokana na kashfa ya uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Profesa Sospeter Muhongo, jana aliumbuka  baada ya Chama chake kukataa kupokea lundo la makasha ya CD (santuri) zenye picha za wadhamini wake 675. Badala yake, alielezwa kwamba, hakuna kipengele kinachoruhusu kuwa na kumbukumbu hiyo. Profesa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images