Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne Ya Tarehe 23 Juni 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  Ya  Tarehe  23  Juni 2015

Punguzo la Bei: Pendeza na Kessy Products........Anapunguza Maziwa na Kuyasimamisha,Anatoa Chunusi,Michirizi,Kurefesha Nywele,Ongeza Nguvu za Kiume n.k

$
0
0
Pendeza na Dr Kessy Products . Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka    (1)ondoa mvi sugu 50000/    (2) refusha Nywel Na kuzuia kukatuka 45000/    (3)Ongeza Shepu namba 8 kwa dawa za @kupaka 50000/ @kunywa/vidonge 8000/    (4) Ongeza mwili mzima 45000/  (5)

Urais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM

$
0
0
Mwananmke mwingine  ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.   Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais  ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.   Kingine atakachofanya

Serikali yakana kumtorosha Rais wa Sudani

$
0
0
Serikali ya Afrika Kusini imekana ripoti kwamba mawaziri wake walipanga njama ya kumtorosha rais wa Sudan Omar El Bashir wiki iliopita.   Katika tukio hilo nusura rais huyo akamatwe kufuatia agizo la mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita dhidi yake kutokana na mashtaka ya mauaji ya kimbari.   Mahakama ya Afrika Kusini ilimuagiza Bashir kusalia nchini humo huku ikijadiliana

"I Get Kichefuchefu When I Hear Diamond Platnumz' Name."...Ali Kiba

$
0
0
Ali Kiba says he deserved all awards he scooped at the recently concluded Kili Music Awards 2015 contrary to what some people say that he didn't deserve all 5 awards including entertainer of the year.    Kiba said he had all criteria to win and he is now well prepared to fight with anyone who thinks he is the real King of Bongofleva And when the paparazzi mentioned Diamond

Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono

$
0
0
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani hapa. Neno “bao la mkono” hutumiwa kama goli lililofungwa kwa kuupiga mpira kwa mkono kinyume cha taratibu za mpira,

NIT Kupima Magari Yote Yaliyoingia Nchini Bila Kukaguliwa.

$
0
0
Shirika la viwango Tanzania (TBS) lilianzisha huduma ya kukagua magari yaliyotumika kutoka nje ya nchi tangu mwaka wa 2002. Lengo ni kuhakikisha magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka nje ya nchi yanakidhi kiwango cha magari yaliyotumika na yanafaa kuendeshwa barabarani. TBS imekuwa ikipata mawakala wa ukaguzi wa magari nje ya nchi kwa kutangaza zabuni za kimataifa.   Kupima ubora

Sugu ashinda kesi dhidi ya mama mtoto wake Faiza, mahakama yaamua apewe mtoto

$
0
0
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha. Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.   Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana

Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) limemteua Charles Boniface Mkwassa, kuwa kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania(Taifa Stars)

$
0
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi leo ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, mholanzi Mart Nooij. Akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika pia wakati wa

MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kushepu Maziwa, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kuondoa Michirizi na Zingine Nyingi

$
0
0
Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara ..   Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na zimethibitishwa          TUNAZO BIDHAA ZA:- 1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=

Mjamzito Afanyiwa Ukatili wa Kutisha: Alifika Hospitali Akiwa na Uchungu, Wauguzi Wakamfukuza.......Dakika Chache Baadae Akajifungulia Bafuni

$
0
0
MJAMZITO aliyefahamika kwa jina la Rotha Bujiku, amejifungulia bafuni karibu na zahanati ya kijiji baada ya kudaiwa kufukuzwa na wauguzi waliokuwa zamu siku hiyo, kwa maelezo kuwa anajifungua kila mwaka.   Tukio hilo lilitokea wilaya ya Maswa katika mkoa wa Simiyu majira ya saa 2 asubuhi baada ya mjamzito huyo kufika katika zahanati hiyo kwa lengo la kupata huduma ya kujifungulia kwa

Bajeti Kuu ya Serikali yapita, mafuta bei palepale.....Malipo Wastaafu Kila Mwezi sasa ni 100,000

$
0
0
BUNGE  limepitisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2015/16 kwa asilimia 83. Bajeti hiyo, ilipitishwa jana mchana mjini Dodoma, baada ya wabunge kuipigia kura kwa kuitwa majina mmoja baada ya mwingine. Akitangaza matokeo hayo, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilila, alisema wakati upigaji kura unaanza, Bunge lilikuwa na wabunge 262, lakini walipokuwa wakiendelea  idadi iliongezeka

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 24 Juni 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe  24  Juni  2015

Urais CCM: Waliorudisha Fomu ya Urais Mpaka sasa ni 6 Tu, Muda Uliobaki ni Wiki Moja Tu.

$
0
0
WIKI moja kabla ya kwisha kwa muda wa warudisha fomu kwa makada wa CCM waliojitokeza kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania, ni wanachama sita tu kati ya 39 ndio waliorudisha fomu mpaka sasa.   Kwa mujibu wa ratiba ya mchakato wa kumpata mgombea wa urais ndani ya CCM, mwisho wa kurudisha fomu ni Julai 2, mwaka huu ambapo kila aliyechukua fomu anatakiwa kuwa na

TANZIA: Mbunge wa Geita, Donald Max afariki Dunia.

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geita (CCM) Mheshimiwa Donald Kevin Max (58)(picha) amefariki dunia. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb) kwa Waheshimiwa Wabunge wote pamoja na umma kwa ujumla, Mhe. Max amefariki dunia tarehe 23 Juni, 2015 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa

Mkulima Msaka urais Atua Morogoro Kusaka Wadhamini

$
0
0
MKULIMA wa Kigoma anayewania kupitishwa na CCM agombee urais kwa chama hicho, Idelphonce Bilole, ametua mkoani Morogoro akiendelea kutafuta wadhamini katika mikoa 15 nchini, huku akisisitiza elimu si kigezo cha yeye kushindwa kuwania nafasi hiyo ya juu.   Bilole aliyasema hayo jana katika ofisi ya CCM Wilaya ya Morogoro ambapo alisema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema

Dkt. Nchimbi Atangaza Rasmi Kutogombea Ubunge Songea

$
0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi wakiwemo wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Songea mjini mkoani Ruvuma, wamejikuta katika hali ya sintofahamu huku wengine wakimwaga machozi baada ya mbunge wa jimbo hilo, mh. Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangaza rasmi kutogombea tena ubunge katika jimbo hilo. Nchimbi aliyelitumikia jimbo hilo kwa miaka 10 alikutana na wanachama

Kinana: Wanaoona Misingi ya CCM haifai Waondoke

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameendelea kusisitiza kuwa chama kinarudishwa kwenye misingi yake akitaka mtu anayefikiri misingi hiyo haifai, aondoke atafute mahala pengine.   Kinana ambaye katika ziara zake tangu akiwa Kagera, Geita na sasa Mwanza, amekuwa akisisitiza viongozi wa CCM kuhudumia wananchi na kuwatendea haki, alisema hayo juzi kwenye mkutano

Mtoto wa Miaka 10 Auawa Kwa Kuchinjwa

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, linawasaka watu waliohusika kumuua mtoto aliyefahamika kwa jina la Eusebia Swai (10), ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu, Shule ya Msingi Mtemboni, iliyopo katika Wilaya ya Rombo, mkoani humo. Watu hao walimuua mtoto huyo kikatili kwa kumchinja shingo na kisha kuutelekeza mwili katika nyumba waliyokuwa wakiishi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo

CCM Yabariki Ubunge wa Wema Sepetu

$
0
0
Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo. Akizungumza na mtandao huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images