Kiongozi
wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa
Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za
kutambulisha viongozi wake.
Mwanaharakati
na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi
wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na
ziara ya kutambulisha viongozi wake.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Apokelewa Kifalme Mpanda.
↧
↧
Vituo vya BVR Mara vyafungwa kwa ubovu wa mashine
Zoezi
la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwa kutumia
mfumo BVR katika maeneo mengi ya mkoa wa Mara limeingia dosari
baada ya mashine zinazotumika kushindwa kufanya kazi na
nyingine kuharibika, hatua ambayo imesababisha vituo vingi
kufungwa na kuibua malalamiko mengi kutoka kwa wananchi.
Kasoro hizo zimeripotiwa katika
↧
Katibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana Aanza Ziara Mwanza Leo.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, leo anatarajia kuanza ziara ya siku kumi mkoani hapa, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama.
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa CCM Mkoa Mwanza, Miraji Mtaturu kwa waandishi wa habari, imeeleza kuwa Kinana ataanzia ziara yake katika Kijiji cha Nyamadoke, Wilaya ya Sengerema akitokea mkoani Geita.
↧
Wananchi Wafunga Zahanati
WANANCHI wa Kijiji cha Ibondo Kata ya Katoro Wilaya ya Geita, wameifunga zahanati ya kijijini hapo kwa madai kuwa inatoa huduma mbovu licha ya kutoza wagonjwa fedha.
Tukio hilo lilitokea jana ambapo baadhi ya wananchi waliozungumza na Mpekuzi walieleza kuwa wanataka mganga mkuu na muuguzi wa zahanati hiyo waondolewe kwa sababu wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kazi.
Kwa mujibu wa
↧
Hoteli JB Belmont Yafungwa Mwanza kwa Kushindwa Kutimiza Masharti ya Mkataba.
HOTELI yenye hadhi ya nyota tano ya JB Belmont iliyoko jijini hapa, imefungwa kwa kile kilichoelezwa kuwa imeshindwa kutimiza masharti ya mkataba baina yake na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
JB Belmont ambayo inatumiwa zaidi na wageni wa kimataifa wakiwamo viongozi wa juu wa Serikali na wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa, ilifungwa jana asubuhi kwa tangazo linaloaminika
↧
↧
Jaji Warioba: Sitaongea Chochote Kuhusu Uongozi kuelekea Uchaguzi
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema hatoongea chochote kinachohusu masuala ya uongozi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unatarajia kufanyika Oktoba.
Jaji Warioba alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya Vuguvugu la Uhuishaji Maadili inayofanywa na chama cha wataalam Mbalimbali wa wakristo(
↧
Kocha wa Taifa Stars Maart Nooij na Benchi Lake Lote La Ufundi Watimuliwa Kazi
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Maart Nooij akisindikizwa na ulinzi mkali usiku wa kuamkia leo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Tanzania na Uganda wa kuwania kufuzu fainali za CHAN katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar ambapo Taifa Stars ilichapwa 3-0.
*******
Kamati
ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao
chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Juni 2015
↧
Kesi ya Askari Polisi Kuiba silaha, Risasi Yaahirishwa
KESI ya wizi wa silaha aina ya SMG na risasi zake 42 inayomkabili
aliyekuwa Konstebo wa Polisi, GX 7274, Hamad Taimu Shilingi (25) katika
Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeahirishwa hadi Julai
Mosi mwaka huu.
Hakimu wa Mahakama hiyo, Enock Matembele aliamuru mshtakiwa arudishwe
rumande hadi Julai Mosi mwaka huu ambapo mahakama hiyo itaamua iwapo
mshtakiwa huyo apewe
↧
↧
Watoto 92 Wanaishi na Virusi Vya Ukimwi Bunda
IMEELEZWA kuwa katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kuna watoto wanaofikia 92 wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Ofisa Maendeleo ya Jamii katika Wilaya
ya Bunda, Caroline Wanzagi.
Wanzagi alisema kuwa watoto hao wanaendelea kupata huduma ya matibabu
na misaada mbalimbali kutoka katika mashirika, taasisi na serikalini.
Alisema kuwa
↧
Serikali Kushusha Ushuru wa Mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.
Mbali na Wizara ya Fedha ambayo itakuwa na mengi ya kufafanua au
kurekebisha kutokana na mapendezo yake mbalimbali yaliyomo kwenye
Bajeti, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Dk Mary
Nagu, naye atakuwa na ‘kibarua’ cha kujibu hoja za wabunge
↧
Risasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni
MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika
kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu
zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai
ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha.
Vurugu hizo zilisababisha takribani watu 15 kukamatwa akiwemo Mbunge
wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (
↧
Mwakyembe Ajivunia Kumshauri Vyema Rais Kikwete
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe amesema
kati ya mambo anayoweza kujivunia wakati wa utawala wa serikali ya awamu
ya nne ni kuwa miongoni mwa washauri wazuri wa Rais Jakaya Kikwete.
Alisema ni mmoja wa mawaziri wanaomshauri katika kusimamia na
kutekeleza mambo ya maendeleo ambayo yamewezesha kuboresha huduma
mbalimbali za kijamii.
Aidha, amesema ni
↧
↧
Mwandosya: Lowassa Asisite Kuniunga Mkono
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya
amemuomba mgombea mwenzake katika kinyang’anyiro cha kutafuta ridhaa ya
kuteuliwa kuwa mgombea kupitia CCM, Edward Lowassa asisite kumuunga
mkono kama walivyofanya watangaza nia wengine ili mambo yaishe mapema.
Aidha, amewaonya wanaotishia kukihama chama endapo hawatapitishwa,
akisema huo ni upuuzi na pia vitisho
↧
Lowassa Azidi Kupata Mapokezi Makubwa Kila Anakoenda.......Songea Alazimika Kukaa Juu ya Paa la Nyumba, Asema Jina Lake Haliwezi Kukatwa
WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini Chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.
Lowassa aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma katika ofisi kuu za CCM Mkoani humo, wakati akitoa shukrani baada ya
↧
Sugu Amfikisha Mahakamani Faiza Ally
Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ amemfikisha kortini
aliyekuwa mkewe, Faiza Ally akitaka apewe mtoto wao, Shaa (2) ili amlee
kwa vile mama yake huyo si mwadilifu.
Ijumaa iliyopita, saa 2:00 asubuhi, Faiza alipanda kwenye kizimba cha
Mahakama ya Mwanzo, Manzese/ Sinza iliyopo Sinza-Makaburini jijini Dar
↧
Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti mpya
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) asubuhi ya leo limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.
Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku
90) kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa
mamlaka kamili.
↧
↧
Video ya Interview ya Wema Sepetu Kuhusu Mtoto na Diamond, Mimba ya Zari na Alivyotoa Mimba
”Kukosa mtoto wakwangu inaniuma naishia kupenda watoto wa watu”- Wema
Hii ni Part iv ya Wema Sepetu aliyofanya katika kipindi cha Take
One na Zamaradi , kafunguka mambo mengi na kumuongelea Zari .
↧
Jack Patrick Akirudi, Vanessa Atakuwa na Nafasi Kwa Jux?
Super model ambaye yupo gerezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric .
Awali mwana dada huyo aliwahi kuwa na mahusiano yakimapenzi na mwanamuziki wa bongo fleva Juma Jux ,lakini baada ya mwanadada huyo kutupwa garezani kwa miaka kumi ,Jux ameamua kunzisha mahusiano na Vanessa Mdee huku wakiwa wanaponda raha za kufa mtu. .
Awali
↧
Jamani Housegirl wangu Huyu Ananitafuta ubaya! ......Naombeni Ushauri
Jamani naomba ushauri kuhusu hili.
Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto wanne. Hivi karibuni tumepata
housegirl mpya kutoka Singida, amemaliza form four hakubahatika
kuendelea na masomo kwa sababu ya kukosa sifa za shule za serikali.
Ni
mzuri wa kawaida, yaani hana muonekano ule wa mahousegirl-naamaanisha
muonekano choka mbaya kweli anafaa hata kuwa mke wa mtu.
Katika
↧
More Pages to Explore .....