Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CHADEMA Yabaini Kituo Hewa cha BVR Geita

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa  Geita  kimesema kimebaini   kwa kituo hewa cha kujiandikisha wananchi  kwenye daftari la wapiga kura kiitwacho Buharahara “B”   katika kata mpya Bomba Mbili. Hayo yalisemwa na  Kaimu Katibu wa Chadema Wilaya ya Geita,  Nguru Tanganyika, alipozungumza na waandishi wa habari.   Alisema Chadema haikitambui  kituo hicho ambacho kipo  

Sumaye: Upinzani wataingia Ikulu CCM Wakipitisha mtoa Rushwa

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutopitisha mgombea  urais   kwa njia ya rushwa kwa vile  kufanya hiyo kutawaingiza wapinzani Ikulu. Sumaye ambaye ni miongoni wa makada wanaowania   kuteuliwa  na CCM kugombea nafasi  hiyo,  aliyasema hayo juzi  mjini Bariadi  alipowashukuru  wana CCM  45 waliomdhamini mkoani hapa . Akizungumza  na baadhi ya

Zitto Kabwe Apinga Wabunge Kuongezewa Siku 10

$
0
0
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kitendo cha Rais Jakaya kikwete, kuongeza muda wa bunge kwa siku 10 kwa ajili ya miswada 10 inalenga kupitisha miswada isiyojadiliwa kwa kina. Amesema uamuzi huo utaiathiri nchi kwa kuwa wakati huu wabunge wengi wameelekeza akili zao katika majimbo wanayoongoza, hivyo hawatakuwa na muda mzuri wa kujadili kwa kina miswada hiyo kwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Tarehe 19 Juni 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  Tarehe 19  Juni 2015

Jengo La Ekamasuites Lodge Lililopo Kijitonyama Jijini Dar Lateketea kwa Moto

$
0
0
Jengo moja la Nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo eneo la Kijitonyama karibu na Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar es Salaam, imeteketea vibaya kwa moto muda mfupi uliopita, Kikosi cha Zima Moto kimechelewa kufika eneo la tukio .Habari  kamili  baadae

Serikali Yawaahidi Watanzania kunywa maji ya bomba bila kuchemsha

$
0
0
SERIKALI  inaendelea na jitihada mbalimbali za uboreshaji wa maji safi na salama ili maji yanayotoka bombani yaweze kunywewa moja kwa moja bila kuchemsha. Taarifa hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Maria Hewa (CCM).   Katika swali lake Maria Hewa alitaka kujua lini wananchi wataruhusiwa kunywa maji ya bomba

Gongo ilichukua headlines nyingi toka Rombo, kuna hii imetokea India pia

$
0
0
Hivi karibuni ishu ya wanaume wa Rombo kujihusisha na pombe haramu aina ya gongo na kusahau majukumu ya familia zao ilikaa kwenye headlines kwa muda mrefu na hata kufikia kuzungumzwa sana hata bungeni   Matumizi ya unywaji wa pombe hiyo si tu inanyweka Tanzania kwani leo headlines zimehamia nchini India baada ya watu 35 kupoteza maisha katika mji wa Mumbai baada ya kunywa pombe hiyo

Baada ya Kuhukumiwa Kifungo cha Mwaka Mmoja Jela, Mbowe Awapa Makavu CCM.......Asema ni Lazima Agombee Ubunge

$
0
0
Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza kuwania tena ubunge katika jimbo hilo.   Mbowe aliyeepuka kwenda jela kwa kulipa faini hiyo juzi, alitangaza uamuzi huo jana alipokuwa

Changamoto aliyonayo Wema katika siasa ni kuwabadilisha watu jinsi wanavyomfikiria -Meneja

$
0
0
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi. Martin ameiambia Mpekuzi kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.   “Watu wengi wametokea kumsupport kwa

Lowassa Apata Mapokezi ya Kishindo Jijini Mbeya.......Apata Wadhamini 53,156 Toka Mkoani Mbeya

$
0
0
Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati) wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015 kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.    Mbeya

Video: Kuna TV ya Venezuela ambayo watangazaji wa kike wanasoma habari wakiwa watupu

$
0
0
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Kuna TV ya online ya nchini Venezuela iitwayo Desnudando la Noticia ambayo wasomaji wa habari husoma wakiwa watupu.  Jionee mwenyewe. Sehemu Nyeti  Zimefichwa  Kulinda  Maadili.

Njau Amjaribu Tena Tundu Lissu.......Atangaza Kugombea Tena Ubunge

$
0
0
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Jonathan Njau, ametangaza kugombea kwa mara nyingine nafasi ya ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki, baada ya mwaka 2010 kushindwa kufurukuta kwa Mbunge wa jimbo hilo, Tundu Lissu.   Katika uchaguzi huo wa mwaka 2010, Njau alishindwa kwa tofauti ya kura 1,626.   Mwanasheria huyo mkongwe, aliyasema hayo

Askari Azua Taharuki Akimsaka Mahabusu

$
0
0
TAHARUKI imeibuka katika majengo ya Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa na kusababisha shughuli za mahakamani hapo, zikiwemo za kusikilizwa mashauri mbalimbali kusimama kwa muda wa takribani dakika 20.   Mtafaruku huo ulitokea baada ya askari kupiga risasi hewani mahakamani hapo wakati wakimsaka mahabusu aliyedaiwa kutoroka katika chumba cha mahabusu mahakamani hapo na

MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kushepu Maziwa, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kuondoa Michirizi na Zingine Nyingi

$
0
0
Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara ..   Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na zimethibitishwa          TUNAZO BIDHAA ZA:- 1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=

Nape Amshambulia Freeman Mbowe........Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa Hukumu Aliyopewa.

$
0
0
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema amekiaibisha chama kwa hukumu aliyopewa hivi karibuni.   Mbowe alihukumiwa hivi karibuni kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kutiwa hatiani na mahakama mkoani

Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"

$
0
0
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.   Panju alitangaza rasmi nia hiyo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini hapa, ambapo aliwataka wanachama wa CCM kumuamini na

Green Guard Wampa Kichapo Kizito Mgombea Urais wa CCM Aliyetaka Kutibua Mkutano wa Lowassa

$
0
0
Harakati za makada wa CCM wanaowania urais kusaka wadhamini mkoani zinaendelea kukumbwa na vituko baada ya wanamgambo wa chama hicho, maarufu kama Green Guards, kumshushia mkong’oto Dk Mussa Muzamill Kalokola aliyeingilia mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya mgombea mwingine.   Tukio hilo lililotokea juzi, ni mwendelezo wa matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mchakato huo,

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 20 Juni 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe 20 Juni 2015

Urais 2015: Mwakyembe Achukua fomu, Azungumzia Sakata la Richmond

$
0
0
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais, huku akisema hana chuki na mtu yeyote kwa sababu sakata la Richmond halikuwa la kwake bali ni la Bunge. Akizungumza jana mjini Dodoma, Dk Mwakyembe alisema ameamua kuomba kuteuliwa kwenye nafasi ya urais kwa sababu anataka kupeperusha bendera ya CCM katika

Ray J Kutumia Dola 30 Kwa Ajili Ya Birthday Ya Mbwa Wake

$
0
0
“I hit it first” hit maker Ray J, mwenye umri wa miaka 34, anampenda mbwa kwa kiasi ambacho ameamua kumfanyia sherehe maalum kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, sherehe ambayo itafanyika Petrock Hotel and Spa iliyopo Encino, California, ambapo wageni watapita kwenye red carpet kabla ya kuingia. Taarifa za TMZ zimeeleza, chakula kwa wageni, pia kutakuwa na sehemu maalum kwa ajili ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images