Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephati Gwajima
amesema kwamba mwananchi au mwanasiasa yeyote asiyempenda Mbunge wa
Monduli Edward Lowassa akale limao
Askofu Gwajima alisema hayo juzi mara baada ya Edward Lowassa kumaliza
hatuba yake wakati akitangaza nia ya kutaka kugombea urais katika
uchaguzi mkuukwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM.
Kabla ya
Gwajima: Asiyempenda Lowassa Akale Limao!!!
↧
↧
Makalio ya Agness Masogange Yasababisha Ajali
Lile kalio la haja la muuza nyago maarufu kwenye video za wasanii wa
Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ limesababisha ajali kati ya
bodaboda na Bajaj maeneo ya Sinza-Mori baada ya mrembo huyo kushuka
kwenye gari akielekea saluni.
Shuhuda wa tukio hilo alisema kuwa bodaboda ilikuwa ikitokea upande
wa Baa ya Meeda na Bajaj ilikuwa ikitokea upande mwingine ambapo
muendesha bodaboda
↧
Marais EAC wataka uchaguzi wa Rais Burundi uahirishwe
WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wameitaka Burundi
kuahirisha uchaguzi kwa takribani mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali
ya amani nchini humo na kulitaka Bunge kusimamia mchakato huo.
Aidha, wametoa wito wa Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN)na
wadau wengine kuunga mkono juhudi za EAC katika kumaliza matatizo ya
Burundi.
Akisoma maazimio ya viongozi
↧
Profesa Mwandosya na Makongoro Nyerere Kutangaza Nia za Kugombea Urais Leo ......Titus Kamani na William Ngeleja kesho
Utangazaji nia ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanza kwa kishindo, huku machifu wote wa Mkoa wa Mbeya wakitarajiwa kumuunga mkono Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya, ambaye leo anatarajiwa kutangaza nia mkoani Mbeya.
Miongoni mwao ni Chifu wa Rungwe, Mbozi na Chifu wa Jiji la Mbeya, Mwashiga ambaye atawaongoza pia wazee wote wa jiji
↧
Urais 2015: Kigwangalla aja na kipaumbele cha ajira .....Hapa Anaeleza Ni Kwa Nini Amechagua kuzalisha Ajira kuwa Kipaumbele cha Kwanza
Nchi yoyote ili iendelee lazima watu wake wawe na amani, uhuru, furaha, uzalendo, uwajibikaji, nidhamu ya kazi, ubunifu na uchapakazi. Ili watu wetu wawe na vitu hivi lazima tujenge misingi ya usawa na motisha.
Usawa utawafanya watu waone nchi yao inawajali na hivyo watavumilia jua na mvua. Motisha itawafanya watu wawe tayari kupigania na kuifia jamii na nchi yao.
Motisha itawafanya
↧
↧
Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.
Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu
↧
Profesa Muhongo Kutangaza Nia Ya Kuwania Urais LEO
WAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania
urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati
na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.
Kwa mujibu wa kambi ya mwanajiolojia huyo maarufu duniani, atatangaza
dhamira yake hiyo akiwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
(OUT) Tawi la Musoma mkoani Mara.
Muhongo
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 2 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 2 Juni 2015
↧
Diwani NCCR-Mageuzi afukuzwa Uanachama
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Diwani wake wa Kata ya
Kasulu Mjini, Isack Rashid kikimtuhumu kutoa siri za chama na kuzusha
migogoro kati yake na viongozi wenzake.
Akitoa taarifa kwa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya
Kasulu, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, William Rutuli alisema kuwa
halmashauri imepokea barua kutoka chama hicho juu ya uamuzi huo.
↧
↧
Mrema alia na hujuma za CCM dhidi ya jimbo lake
Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema, ameonesha kukata tamaa
kutokana na kupewa tuhuma mbalimbali na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kuhusiana na ubadhilifu wa fedha jambo ambalo ni kunyume na ukweli
uliopo.
Akichangia Bungeni mjini Dodoma, amesema kuwa anajua tuhuma hizo ni
kutokana na kutaka kumuangusha kisiasa ili kuweza kuchukua jimbo la Vunjo,
na kudai kuwa kamwe wananchi wake
↧
Maelfu ya wananchi kumsindikiza Lowassa kuchukua fomu ya Urais
Waziri Mkuu Wa zamani Edward Lowassa anatarajia kwenda makao makuu ya chama cha Mapinduzi maarufu kama White House mkoani Dodoma june 3 akisindikizwa na maelfu ya wananchi.
Kwa mujibu wa Mnyetishaji wetu aliyezungumza na mtandao huu, amearifu kuwa wakazi wa Manispaa ya Dodoma watakwenda kumpokea Mbunge wa Monduli Edward katika wilaya ya Manyoni akitokea mkoani
↧
Mtoto Wa Nyerere Avuruga Urais CCM.....Adai Lowassa, Pinda, Wassira na Mwigulu ni WEZI na Wanahonga.....Atangaza Nia ya Urais Butiama
Mbio za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi
kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu
Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia
ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya
Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark
↧
Dk Slaa: "Watanzania Wanataka Safari ya Uhakika na Siyo ya Matumaini......Chagueni UKAWA Maana ni Safari ya Uhakika"
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa
amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwaka huu, unaingia kwenye
uchaguzi ukiwa na safari ya uhakika na siyo ya matumaini kama
ilivyotolewa na mmoja wa watangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi
Mkuu ujao.
Dk Slaa alisema, kauli hiyo ni moja kati ya nyingi
zinazotolewa na viongozi wengi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambazo
↧
↧
Wanaotangaza Nia ya Urais Wasichafuane na Kupakana Matope na Badala yake Wajipange Kuwaeleza Watanzania Jinsi ya Kuboresha Maisha Yao
Hakika Mungu ni mwema sana. Ametuwezesha leo kuwa na nguvu ya
kutafakari hatima ya nchi yetu ambayo inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa
Mwaka 2015 hapo Oktoba.
Mwishoni mwa wiki iliyopita tulishuhudia makada
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakijitokeza kuwania urais kupitia chama
hicho na tayari wameanza kuchuana kutangaza nia yao baada ya vikao vya
Kamati Kuu Taifa (CC) na Halmashauri
↧
Mwanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe atangaza nia kuwania urais CCM
Hamasa ya wanaCCM kutangaza nia ya kuwania urais imemwibua
mwanafunzi Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma katika Chuo Kikuu cha
Mzumbe, Maliki Malupu (34).
Malupu alitangaza nia ya kugombea urais kupitia
CCM akiahidi kushughulikia suala la elimu, afya, kilimo na michezo huku
akijua kuwa umri wake haujatimia miaka 40 inayotakiwa kikatiba.
Akitangaza nia hiyo mjini Morogoro jana
↧
Mambo 9 Aliyoyasema Fredrick Sumaye LEO Wakati Akitangaza nia yake ya Kuwania Urais Kupitia CCM
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mhe. Fredrick Sumaye ametangaza nia ya kuwania
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Hoteli ya
Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro jijini Dar leo.
Sumaye amesema kuwa ameamua kutangaza nia akiwa Dar es Salaam maana
anataka kuwatumikia Watanzania wote siyo wa nyumbani kwake pekee.
Kauli mbiu yake ni ‘Uongozi Bora, Komesha
↧
Pigo jingine CCM: Mbunge Eugene afariki Dunia, bunge lahairishwa
Mbunge wa jimbo la Ukonga Dar es Salaam kupitia tiketi ya (CCM) Eugen Mwaiposa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Dodoma.
Kwa mujibu wa Naibu Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ambaye amelitangazia bunge leo majira ya saa 7 mchana, marehemu Mwaiposa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Ndugai amesema kuwa kwa sasa msiba upo
↧
↧
Alichokiongea Profesa Muhongo LEO Wakati Akitangaza Nia Yake ya Kugombea Urais Kwa Tiketi ya CCM
1.Niko mbele yenu sio kufanya kampeni ya urais, niko mbele yenu kuomba ridhaa ya yenu kugombea nafasi ya urais muda ukifika.
2. Siko hapa kumlaumu mtu au ukimshambulia kwa sababu ukimlaumu mtu umAsikini bado uko palepale. Nikisema historia yangu yote muda hautatosha, kisomo nimesoma mpaka mwisho wa kusoma, kama ni taalumu nimefikia mwisho.
3.Nimepata bahati ya kusoma vyuo vikubwa
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 3 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 3 Juni 2015
↧
Watano Kuchukua Fomu za Urais Leo.....Ataanza Mwandosya(Saa 4), Atafuata Wassira (Saa 5), Lowassa (Saa 7), Amina ( Saa 8) na Nyerere ( Saa 9)
Vumbi la kinyang’anyiro cha uteuzi wa kuwania urais ndani ya Chama
Cha Mapinduzi (CCM), linaanza rasmi Dodoma leo kwa wanachama wake watano
kuchukua fomu wakiomba uteuzi huo.
CCM imepanga kuanzia leo Juni 3 hadi Julai 2, mwaka huu, kuwa siku za
kuchukua na kurudisha fomu za wanachama wake wanaoomba uteuzi kuwania
urais.
Uteuzi huo ni kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
↧
More Pages to Explore .....