Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

SODDOM and GOMMORAH, This Happened At a Club in Mombasa. +18 VIDEO Only

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; Forget the partying in Nairobi, Mombasa residents have decided to take things to another level.    Most clubs in the Coastal City are full of exotic dancers who display their  s3ductive dance moves to s3x hungry tourists and local

Sanaa yamtoa Johari Kwenye Umama Ntilie

$
0
0
Mkongwe wa filamu nchini Tanzania, Blandina Chagula ‘Johari’   Msanii wa filamu nchini Tanzania Blandina Chagula, amefunguka na kudai sanaa imemsaidia sana kutoka kwenye kazi ya upishi na uuzaji wa chakula ambapo biashara hiyo alikuwa akiifanyia jijini Dar es Salaam, kabla hajajiunga na Kundi la Sanaa la Kaole baada ya kuhitimu mafunzo ya Hotel Management.   Amesema kuwa

Zari Still Loves her Ex Husband Ivan Semwanga !.........Read What She Said.

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; Zari The boss Lady may have differences with her ex-husband Ivan Ssemwanga but she still thinks Ivan is a good and responsible father because he loves his kids. Through her Facebook Zari posted Chris Brown's photo with her daughter

Walemavu wafunga barabara Dar es salaam kisa kuvunjwa meza za biashara

$
0
0
Walemavu waandamana katika eneo la Ilala kupinga kuvunjwa meza zao. Jeshi la Polisi katika eneo la Ilala yanapofanyika maandamano ya walemavu. Baadhi ya walemavu waliozuia barabara kupinga kuvunjiwa meza zao za biashara.   ***** Kundi la walemavu mbalimbali wameandamana jijini Dar es salaam leo mchana  na kuelekea ofisi za mkuu wa mkoa wa zilizopo eneo la Ilala  kwa madai

Mose Iyobo: Aunt Ezekiel Amekwamisha safari ya London

$
0
0
Staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.   Dansa wa mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ Mose Iyobo, ambaye pia ni mpenzi wa staa maarufu wa filamu nchini Tanzania,Aunt Ezekiel, amefunguka kuwa hajajumuika na dansa wenzake kwenda jijini London, Uingereza kutokana na hali ya mpenzi wake.   Mose, amesema kuwa alishindwa kujumuika na wenzake akihofia hali

Did Wema Sepetu Disclose The Woman Who Might Cause Zari And Diamond’s Break Up?

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; This Is Diamond Platnumz Rumored Girlfriend Who Lives In London ! Wema and her following are seriously looking for a way to piss off Diamond and his wife. It’s evident that sooner than later this parties will clash badly.   The

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 22 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  Tarehe  22  May 2014

Kidoa Ayasifia Makalio Yake, Ampa Makavu Agness Masogange

$
0
0
Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia. Kidoa amesema amekuwa akimshangaa mrembo  huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino.   “Masogange cha mtoto kwangu, ni kweli kalio analo lakini siyo

Ray: Kanumba Alikufa Na Nyota Yangu

$
0
0
Msanii Vincent Kigosi ‘Ray’ amekiri kwamba kufariki kwa Steven Kanumba kumemsababishia kuporomoka kisanaa na kiuchumi kwa kukosa ushindani thabiti kwenye game. Akizungumza na gazeti  la  Ijumaa, Ray alisema Kanumba alipokuwa hai, alikuwa na changamoto kubwa katika ubunifu wa kazi na hata ushindani wa maisha ya kawaida.   Akatolea mfano baadhi ya mambo yaliyokuwa yaking’arisha nyota

Mkanda wa Ngono Wa Jini Kabula Wasambaa Mitandaoni

$
0
0
Staa aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, anadaiwa kurekodiwa mkanda wa ngono na kusambazwa katika mitandao ya kijamii. Chanzo cha habari hii kimeeleza kwamba, tukio hilo lilitokea hivi karibuni baada ya mtu anayedaiwa kuwa ni mchumba wa staa huyo kumrekodi video hiyo na baadaye walipopishana kauli, akaamua kuisambaza kwa

Mama Avua Nguo Kumlaani "Serengeti Boy" Aliyegoma Kumlipa Baada Ya Kumpa Penzi

$
0
0
Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume tofauti ambapo amekuwa akifanya hivyo kwa kupanga chumba

Mrema Akanusha Kufukuzwa TLP

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Augustino Mrema ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Vunjo amekanusha kufukuzwa katika chama chake.   Alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya kuzagaa habari kuwa yeye sio Mwenyekiti wa chama hicho.   Alisema amekuwa akishangazwa na habari zinazotolewa na kikundi cha watu wanaojiita

Mamia Ya Wanafunzi Wa Kitanzania Watimuliwa Kenya......Chanzo Kinadaiwa Ni Kisasi Cha Kuhamisha Wahamiaji Haramu Wa Kenya

$
0
0
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mamia ya wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika shule za msingi nchini Kenya, wameripotiwa kufukuzwa nchini humo. Tayari 50 kati yao, wamerejeshwa nchini huku wengine kadhaa wakiwa bado wamekwama katika eneo la Narok Magharibi. Baadhi ya walioathirika ni wale ambao wako katika hatua za mwisho za kuhitimisha elimu yao ya msingi katika darasa la nane.

Tundu Lissu Aishambulia Serikali Bungeni....Asema Rais, Mawaziri Wamekithiri Kwa Ahadi Hewa

$
0
0
MSEMAJI wa Kambi Rasmi ya Upinzani na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ameichachafya serikali akidai imekithiri kwa ahadi hewa ambazo zimekuwa zikitolewa na Rais Jakaya Kikwete na mawaziri kuhusiana na Kura ya Maoni ya Katiba Pendekezwa. Lissu alitoa kauli hiyo jana katika Mkutano wa 20 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma wakati akiwasilisha mapendekezo ya kambi pinzani kuhusu

Uamuzi Mgumu CCM......Kambi Za Wagombea Zahaha Kila Kona Dodoma, Hatima Ya Akina Lowassa Mikononi Mwa Mangula

$
0
0
Ni uamuzi mgumu, ndivyo unavyoweza kusema wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inapoanza vikao vya juu mjini Dodoma leo.   Vikao hivyo ni mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.   Kikao cha kamati hiyo kinatarajiwa kuanza saa nne asubuhi, ambapo wajumbe wa kikao hicho watajadili masuala mbalimbali,

Aunty Ezekiel ajifungua mtoto wa kike, amuita Cookie

$
0
0
Muigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie. Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram: “Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.   "Ahsante Mungu

Al shabaab wavamia tena Kenya, watoa onyo kali kwa wananchi

$
0
0
Mamlaka nchini Kenya imesema kuwa walinda usalama wamekabiliana na washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab, katika wilaya ya Ijara katika kaunti ya Garissa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.   Mapema, wapiganaji hao waliokisiwa kuwa zaidi ya 50 kutoka Somalia, wanasemekana kushambulia kambi za polisi katika eneo la Yumbis, takriban kilomita 30 kutoka Daadab.

Urais 2015: Mwanamke wa kwanza CCM ajitokeza kutangaza nia

$
0
0
Mwanamke wa Kwanza ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Salum Ali atangaza kugombea urais.   ********** Mwanamke wa Kwanza ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Salum Ali, amevunja ukimya na kuamua kuweka wazi nia yake ya  kutaka kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba.   Akizungumzia uamuzi huo, mwanasiasa huyo ambaye pia ni Balozi wa Kudumu wa

Lowassa Na Wenzake Sasa Wako Huru....Adhabu Yao Imekwisha LEO......Taarifa Kamili Iko Hapa

$
0
0
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari wa Sekretarieti kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma leo tarehe 22 Mei 2015.                        TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka kanuni za Maadili na kupewa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 23 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe 23  May  2015
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images