Kashikashi za kuambiwa umefumaniwa zisikie kwa mwenzako tu! Utakuta
mtu mkubwa, bonge, lakini akidaiwa amefumaniwa, nguvu zote zinakwisha!
Sijui kwa nini?!
Mfanyabiashara mmoja wa jijini Arusha ‘pedeshee’ aliyejulikana kwa jina
la Aldina Hashim, mkazi wa Unga Limted, amechezea kichapo baada ya
rafiki yake kipenzi, Emmanuel Mwambije kudai amemfumania na mke wake,
Felista Mwambije.
Mwanaume Afumaniwa Gesti Na Mke Wa Rafiki Yake
↧
↧
Ili Aweze Kuzaa, Wema Sepetu ni Lazima Alale Juu ya Kaburi au Arithiwe na Ndugu Yake Steven Kanumba
Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo, marehemu Steven
Kanumba ‘The Great’, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae,
staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anatakiwa alale juu ya
kaburi.
Hayo yanakuja siku chache baada ya Wema aliyewahi kuwa mchumba wa
Kanumba kudai kusumbuliwa na tatizo la kukosa uwezo wa kuzaa hivyo mzee
huyo kujiongeza na kusema ni kwa
↧
BASATA Yalaani Tabia Chafu Na Isiyo Na Maadili Iliyoonyeshwa Na Msanii Shilole Katika Onesho Lake Ubelgiji
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya
Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za
Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya onesho
lake nchini Ubeligiji hivi karibuni.
Katika picha hizo ambazo zimelaaniwa na watanzania wengi nchini
kupitia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya
↧
Wanajeshi wa Pande Hasimu Wakabiliana Burundi......Milio ya Mabomu na Risasi Yaendelea Kusikika.
Makundi hasimu ya wanajeshi
yanakabiliana katikati ya mji mkuu wa Burundi- Bunjumbura, mahala
ambapo tangazo lilitolewa jana Jumatano kuwa Rais Pierre Nkurunziza,
amepinduliwa.
Makabiliano ya risasi yanaendelea kwa sasa, huku milipuko kadhaa ikisikika.
Redio na runinga ya taifa inang'ang'aniwa kwa sasa huku wanajeshi waaminifu kwa rais Nkurunziza ndio wanaoidhibiti.
Kwa mujibu
↧
Picha: Waziri wa Maliasili na Utalii Akimpongeza Askari wa Wanyamapori
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh.Lazaro Nyalandu akimpongeza Askari wa kike wa wanyama pori kwa kazi nzuri na ya kijasiri ya kuzuia majangiri ( Picha: Udaku specially)
↧
↧
Jipatie Nyimbo Zote Kali Toka RUBEGA.....Wasiliana na Wasanii Wakubwa ( Diamond, Ali Kiba, Jide na Wengine ) Live Hapa hapa RUBEGA
Hii ni habari njema kabisa kwa wapenzi wa muziki wa Kiswahili. Rubega wameamua kuja na njia mbadala ambayo itakuwezesha kusikiliza wimbo wowote wa kiswahili uutakao kama Bolingo,Bongo Hiphop,Genge,Injili,Jazz,Zilipendwa na Zouk .
Nyimbo zote hizi utazisikiliza BURE kabisa, chakufanya ni kufungua akaunti na kujisali. Kujisajili ni BURE.
Ili
↧
Utafiti wa TEDRO Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Lowassa Anaongoza kwa Kukubalika akifuatiwa na Mwigulu Nchemba.....Dr. Slaa Yupo Nafasi ya Tatu
Kutokana na kero zinazowakumbuka wananchi kuhusu suala la elimu,
maji na afya taasisi ya utafiti wa Maendeleo ya Elimu nchini Tanzania
(TEDRO) imetoa ripoti ya tafiti yake iliyofanya mikoa mbali hapa nchini
juu ya Viongozi wanaoaminiwa na wananchi kuwa wakikamata nchi wanaweza
kumaliza matatizo hayo.
Kutokana na ripoti hiyo ya Taasisi ya utafiti (TEDRO) inaonesha kuwa endapo
↧
Mapinduzi ya Burundi: Rais Pierre Nkurunziza Ahojiwa na Kituo cha habari cha Burundi RTBN.......Asema Yupo Tayari Kumsamehe Mwanajeshi Atakayesalimu Amri
Kituo cha habari cha Burundi RTBN kimemhoji rais Pierre Nkurunziza kwa
simu mwendo wa saa sita.
Katika mahojiano hayo ambayo Shirika la habari la Reuters lilifanikiwa kuyanukuu, Rais Nkurunziza amesema yupo tayari kumsamehe mwanajeshi yeyote atakayekubali kusalimu amri.
''Ninalishtumu kundi lililopanga mapinduzi, nawashkuru wanajeshi wanaorudisha hali ya kawaida na
↧
Tangaza Biashara Yako Au Bidhaa Yako Kwenye Mtandao huu Kwa BEI NZURI Kabisa
Tunakaribisha
matangazo ya aina zote.Bei zetu ni nzuri sana na kamwe
hutajuta kutangaza biashara yako kupitia mtandao huu....
Mpekuzi inatembelewa na Watu zaidi ya laki 2 kwa siku.Kati yao, 46% ni wanawake na 54% ni wanaume.
Kama una tangazo, basi wasiliana nasi kwa kutuandika email ambapo tutakutumia "quotation" na
↧
↧
Aliyemng’ata ‘house girl’ Avamiwa na Majambazi
KESI ya kumtesa mfanyakazi wa ndani inayomkabili mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige (42), imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jana kutokana na mshtakiwa kuvamiwa na watu wasiojulikana na kumkata kwa mapanga.
Shauri hilo litakuja tena Juni 16, mwaka huu endapo hali ya mshtakiwa ikiendelea vizuri.
Mbele ya Hakimu Yohana Yongolo, Wakili upande wa Jamhuri ulidai kwamba
↧
Mvua zakwamisha ujenzi daraja la Kigamboni
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha kutokamilika kwa wakati mradi wa ujenzi wa daraja la kisasa la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo linalojengwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa sasa umekamilika kwa asilimia 80.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Meneja wa mradi huo, Karim Mataka, alisema kutokana na hali hiyo wanatarajia
↧
Taasisi ya mifupa MOI yapata msaada
TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imepokea msaada wa kifaa cha kufanyia upasuaji chenye thamani ya Sh milioni 700 kutoka Chuo Kikuu cha Tiba cha Weill Cornell cha nchini Marekani.
Msaada huo umetolewa na chuo hicho ikiwa ni sehemu ya ushirikiano kati ya taasisi ya MOI.
Akizungumza jana Meneja Ustawi na Uhusiano wa taasisi hiyo, Almas Jumaa, alisema kifaa hicho kitatumika
↧
Mafuriko yaua askari mmoja wa JWTZ
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Lugalo, Barnabas Mataja (48), amefariki dunia baada kusombwa na maji katika Mto Mzinga.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Japhari Mohamedi, alisema tukio hilo lilitokea Mei 11, mwaka huu katika eneo la Kimbangulile, Kata ya Tambani, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.
Mohamedi alisema
↧
↧
Kugombea Urais CHADEMA Ni Sh. Milioni 1
Mwanachama atakayetaka kuwania urais kwa tiketi ya Chadema
atatakiwa kulipia Sh1,000,000 za fomu, ambazo atarejeshewa iwapo
hatapitishwa kuwa mgombea pekee wa vyama vinavyoundwa Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), chama hicho cha upinzani kilisema jana.
Sera hiyo ya kurejesha fedha pia itahusu watu
wengine watakaotaka kuwania ubunge na udiwani baada ya Chadema na vyama
vingine
↧
Mali za Hospitali Ya AMI Zakamatwa Kufidia Kodi Ya Pango Bilioni3
Madalali wa Mahakama Kuu jana waliondoa na kukamata mali za Hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Center ya Msasani Jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26, inayofikia zaidi ya dola za kimarekani milioni 1.6.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwakilishi wa kampuli ya MEM Auctioneers and General Brokers Limited
↧
Rais Pierre Nkurunziza Arejea Burundi Baada ya Jaribio la Kumpindua
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amerejea nchini humo, huku
naibu kiongozi wa mapinduzi akikiri kuwa jaribio la kumuangusha
Nkurunziza limeshindwa. Umoja wa Mataifa umetaka kurejeshwa haraka
utawala wa sheria.
Mshauri mwandamizi wa mawasiliano wa rais Willy Nyamwitwe, alisema
Nkurunziza amerejea nchini humo, lakini hakutoa maelezo zaidi kwa kile
alichosema ni sababu za kiusalama.
↧
Padri wa Kanisa Katoliki Anaswa Kichakani Ndani Ya Gari Akiwa Na Mrembo UCHI
KAMA mti mbichi unatenda haya, itakuwaje kwa mti mkavu?! Ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kwa Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa kufuatia kunaswa kichakani akiwa na mrembo.
Kiongozi huyo wa dini alinaswa hivi karibuni majira ya saa 8: 02 usiku akiwa ndani ya gari aina ya Toyota
↧
↧
Mafuriko Dar: Rais Kikwete Awataka Wakazi Waishio Mabondeni Wahame
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi wanaoishi mabondeni, wakubali
kuhama, kwani Serikali itawapatia maeneo yaliyo salama ili kuepukana na
adha ya mafuriko kila inapofika msimu wa mvua.
Akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua maeneo yaliyokumbwa na
mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam
na maeneo mengine nchini, Rais Kikwete aliwataka wananchi
↧
Albino Mwingine Akatwa Mkono
MWANAMKE mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Remi Luchoma (30), mkazi
wa kijiji cha Mwamachoma kata ya Mamba wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi,
amekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, kisha wakatokomea na
kiganja cha mkono huo kusikojulikana.
Kwa sasa, mtu huyo amelazwa katika Hospitali ya wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya
↧
James Lembeli Aitaka Ikulu Imsafishe Pia Lowassa Kama Ilivyowasafishwa Watuhumiwa Wa Escrow.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge kuchunguza madhara ya Operesheni Tokomeza, James Lembeli, amekosoa ‘mchezo mchafu’ wa serikali kuwasafisha baadhi ya viongozi wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali.
Amehoji kama suala ni kusafishana, kwanini juhudi kama hizo zisitumike kuwasafisha wengine pia kama Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Lowassa alijiuzulu wadhifa wake kutokana
↧
More Pages to Explore .....